Elections 2010 Dr Slaa aitikisa Karatu

PASCO,

Well said,
Ili tukomae tunahitaji watu wa aina ya MS, tunahitaji "utumbo utumbo" wa aina ya MS.
Anao uhuru wa kutoa maoni yake na "kusikilizwa"
Tufocus kwenye hoja zaidi
Tutajengeka,
Tutaimarika
 
slaa%20afunika.jpg
slaa%20afunika.jpg
View attachment 11978

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Freeman Mbowe akimkabidhi fomu ya kugombea urais Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Willibrod Slaa katika uwanja wa Bwawani, Karatu jana.
 
na hili wimbi la mbu lili ibuka hapa mjini, hii malaria sio sugu tena.
 
CCM wamebaki bumbuazi.
Walidhani upinzani utamuunga mkono Lipumba kumbe ngoma ndo kwaaanza ipo LELE!

..sasa CCM wamemtuma marando CHADEMA kwenda kuchimbachimba ili kupata mbinu za ushindi
 
MS uko gizani ndiyo maana unaona kizatu, wewe na mabwana zako mnongozwa na nguvu za giza nuru mtaipata wapi? Chomoka haraka harakaa huko njoo nuruni, oh masikini malaria sugu.
 
We will take our chance.

Ni heri kukosa Mbunge Slaa kuliko kuwa na Watanzania Makondoo wanaotaka watafuniwe kila kitu na hata hivyo kumeza bado watasema hawawezi. Sijui kuwaingizia mirija kwenye makoromeo yao na kuwapitishia Wakurya wakiitacho "NYUKA?" (uji).

Tumewachokeni wote mnaosema JIMBO LA KARATU. Muanze kufahamu kuwa TGV limeshaondoka kuelekea Magogoni. Au mnapanda na sisi kuelekea huko au mkae kimya. Mstari umeshachorwa.............

UKO NA SLAA AU UKO NA MAFISADI.

Hapo chini kwenye BOLD, hata Yesu na Nyerere walisema "Sintakuwa nanyi milele........" Kwa nini msitafute wabunge wengine walete msisimko? Kwa nini mnaendelea kuwachagua haohao CCM mkifahamu kuwa wanaleta usingizi?
Mmekuwa mkilalamika kuwa KIKWETE anaogopa kufanya MAAMUZI MAGUMU, haya basi. Mmepata mtu anayefanya maamuzi magumu na mnaanza kuleta story nyingine nyingiiiii..... Kama wewe ni mwanamume basi naanza kuamini wimbo wa Lady JD kuwa "Wanaume kama Mabinti". Kama wewe na wanaolilia jimbo la Karatu ni Wanawake basi sintashangaa maana ni HULKA (nafahamu kuwa siyo wote, akina mama msiniuwe).


Maudhi mengine Bwana, Siasa ni uchafu, inanuka kero tupu. Sasa sijui Mbowe kshikishwa na CCM? Kama una akili timamu huwezi kumuachia Dr.Slaa agombee Uraisi huku ukijua hatashinda matokeo yake Bunge litasinzia, litabaki halina msisimko.
 
Huyu jamaa nahisi muda si mrefu ataanza kuokota makopo maana malaria imekuwa sugu kupitiliza!
 
mimi sio mdini, mimi ni muislam ambae katiba ya tz inamtambua na kumthamini. lkn bado nina simple question
nini msimamo wa chama chako cha chadema kuhusu mahakam ya kadhi?

Jibu lako liko kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Ibara ya 3 (1) Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia, isiyokuwa na dini...., na Ibara ya 19 (2) Kazi ya kutangaza dini,kufanya ibada na kueneza dini itakuwa jambo la hiari la mtu binafsi, na shughuli na uendeshwaji wa jumuia za dini zitakuwa nje ya ya shughuli za mamlaka ya nchi, mwisho wa kunukuu. Kwa mujibu wa waislam, mahakama ya kadhi ni ibada kwao.
 
Hayo yanaitwa maruweruwe kichwani.
naona kinawauma sana yeye kugombea.

Hebu niambie CCM ina kipi cha kujivunia ndani ya 5 years mlizoiba kura?
 
We jamaa wewe yaani waniacha hoi ile mbaya.
Hivi hii user name inatumiwa na watu wengi au ni wewe peke yako ndio unatumia muda wako wote wa ujana kuleta hoja za kibaradhuli dabala ya kufanya kazi?
Nakuonea huruma, hivi umegongwa price tag ya kiasi gani?
tumuache ajaribu
kushindana bado dk slaa
 
Usijeshangaa ukijikuta Mirembe. Malaria inapanda kichwani polepole na hata kampeni hazijaanza.
 
vi2onn.jpg

Msafara wa Rais Ajae, Dr Slaa, ukitoka uwanja wa ndege Arusha, Burka kuelekea Karatu.

iq9btu.jpg

Walipofika Makuyuni magari tokea Karatu yaliongezeka kwenye msafara.

23jfr12.jpg

Walitanda barabarani kumlaki akiingia Karatu.

28k23bt.jpg

Alisimamishwa mara kwa mara na wananchi wakitaka kumpa mkono wa pongezi.

28vyfcg.jpg

MwanaKotide akimtambulisha Rais Ajae Dr. Slaa. Nyuma yake wakishangilia ni Lwakatare, Baregu na Mbowe.
 
2vbohtj.jpg

Dr. Slaa akikabidhi fomu kwa Mwenyekiti Mbowe
jhyfyg.jpg

Karatu wakiridhia Dr. Slaa awe mgombea Urais.

mucwtt.jpg

People's Power! Wana wa Karatu wakiwa wamehamasika.

nyomi.jpg
Nyomi kisawasawa uwanja wa Bwawani. (Nimeunganisha picha mbili)
 
Dr. Slaa go go go ggooooooooo, tuko pamoja nawe, zna tunamwomba Mungu akupe afya njema, uliongoze Taifa hili la Watanzania waliodhurumiwa kwa muda mrefu, mafisadi hawana chao mwaka huu--go Slaa, CDM hureeeeeeeeeeee!
 
Kusema kweli hotuba ilitulia kweli kweli, nafikiri kama alivosema Comrade Mnyika, vijana tuna jukumu kubwa la kuleta mabadiliko nchini mwetu, nafikiri watu wenye kubeza nguvu ya Dr. Slaa kushinda huu ucchaguzi they are wrong, if not basi upeo wao mdogo sana.

Personally i believe in chronological events, geologist yoyote yule atakubali, the past is the key to the future, so CCM na roots zake, na uozo wake does tell Watanzania kuwa ushindi wa Dr. Slaa ni mapungufu yao wenyewe ambayo wamezongwa nayo au kushindwa kwao kwenye responsible and accountable leadership ndio silaha yetu kwenye ushindi wa CDM.

Am so sure kuwa kama hawezi kukubali kuwa the whole 5yrs under their incumbent they had a failure and this will bring a decline and bring the end of CCM kama sio collapse, they better believe so sisi tunasonga mbele na nchi yetu tajiri ya resources za kutosha.
 
Ee mungu baba, sikia kilio chetu watanzania, waparanganye wote wenye hila juu ya kiongozi mahiri Slaa ambaye twaamini umemuinua iliatutoe kwenye makucha ya mafisadi wanao tumaliza! Wagawane Mungu wetu kwa kuwapa lugha zisizo elewana, ili umoja wao uvunjike, nguvu yao ilegee na hata wasiweze kuiba haki ya kila mtanzania. AMINA
 
Back
Top Bottom