Elections 2010 Dr Slaa aitikisa Karatu

Maudhi mengine Bwana, Siasa ni uchafu, inanuka kero tupu. Sasa sijui Mbowe kshikishwa na CCM? Kama una akili timamu huwezi kumuachia Dr.Slaa agombee Uraisi huku ukijua hatashinda matokeo yake Bunge litasinzia, litabaki halina msisimko.

Your vote will make a difference!!
 
Maudhi mengine Bwana, Siasa ni uchafu, inanuka kero tupu. Sasa sijui Mbowe kshikishwa na CCM? Kama una akili timamu huwezi kumuachia Dr.Slaa agombee Uraisi huku ukijua hatashinda matokeo yake Bunge litasinzia, litabaki halina msisimko.

He he hee! Ha ha haa! Usitafute sumu Fugwe.
 
at last i hv someone to vote for...! nimepata mtu wakunifanya nikae kwenye foleni ya uchaguzi bila kuchoka..!

Dk Slaa u ROCK!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Maudhi mengine Bwana, Siasa ni uchafu, inanuka kero tupu. Sasa sijui Mbowe kshikishwa na CCM? Kama una akili timamu huwezi kumuachia Dr.Slaa agombee Uraisi huku ukijua hatashinda matokeo yake Bunge litasinzia, litabaki halina msisimko.

Kwani Bunge ni la Dr. Slaa peke yake? kama unamkubali Dr. Slaa kwenye Ubunge mpe kura yako kwenye Urais siyo kuleta mtizao hasi.
 
Huoni hata aibu kulamba makombo ya RA kila siku hadi kakununulia Laptop ili ukenue meno vizuri, hupati kitu hapa tutolee udini wako na Tumain mazuzu mlioahidiwa Mahakama hewa ya kadhi isiyo na hadhi. Mlaumu bosi wenu aliyewaahidi na kuwajaza waislam kwenye top post rais makamu bara na visiwani wote waislam utadhani hakuna wakristo.
 
Unataka akuoe wewe usijichekeshe chekeshe denda kwa RA wako aliyekununulia Laptop.

safi sana quinene mpe vidonge vyake MS mzandiki mkubwa asiyekuwa na hoja kama anataka ndoa akaolewe na slaa mbona hamsemi mkwere wake mwenye mke kila mkoa hapa bara.
 
familia yake kumuunga mkono
mgombea mwenza wa cahdema
kampeni za dk slaa kanda ya pwani , tanga na Zanzibar
timu ya kampeni ya dk slaa
majibu ya maswala ya mahakama ya kadhi na oic kutoka kwa wananchi
hapa ndipo penye mgogoro

Kikwete anayo majibu ya hiyo red? Acheni unafiki nyie, mara mnataka kuandamana kumpinga Kikwete nchi nzima kwa kuwa amewasaliti kuhusu mahakama ya kadhi, mara mnakuja hapa kumponda Dr. Slaa, na kumsifia Kikwete. Hivi mbona hamna msimamo kiasi hicho nyie watu?
 
Maudhi mengine Bwana, Siasa ni uchafu, inanuka kero tupu. Sasa sijui Mbowe kshikishwa na CCM? Kama una akili timamu huwezi kumuachia Dr.Slaa agombee Uraisi huku ukijua hatashinda matokeo yake Bunge litasinzia, litabaki halina msisimko.
Kikwete kashindwa kazi kwanini unafikiria Watanzania bado wanataka aendelee kuwa Ikulu?
 
simple question

sasa mansap alkuwepo jukwaani?
kwenye uraisi hakuna ubia na mamsapu........Nyerere alisema. ukiona raisi ambaye mkewe yupo mtaani kila siku ujue hata ndani, mume anaambiwa cha kufanya!! Mkwere na wakeze!!

Mmefulia! ramani imepotea, hamjui pa-kwenda, mnahaha na siasa za maji taka humu!! cheap S**T
 
tunamuugopa dk slaa
Ha ha ha ha aa kwa mara ya kwanza umeconfess kwamba Dr Slaa tishio kwa CCM. Imekula kwenu mwaka huu! Na vile vyeo mlivyopeana kwa kutazamana usoni mwaka huu hupati tena. Hamia CHADEMA, tutakupa japo ukurugenzi. Maana mwaka huu nchi ni yetu.
 
Maudhi mengine Bwana, Siasa ni uchafu, inanuka kero tupu. Sasa sijui Mbowe kshikishwa na CCM? Kama una akili timamu huwezi kumuachia Dr.Slaa agombee Uraisi huku ukijua hatashinda matokeo yake Bunge litasinzia, litabaki halina msisimko.
Asee watanzania bana ivi mnataka mabadiliko au mnataka msisimko? yaani safari bado ni ndefu sana!! kinachonishangaza ni kwa nini watu mnataka wenzenu wa karatu wawachagulie mbunge akawatetee bungeni wakati nyie mnachagua makapi? Tatizo watu mnafikiria the next meal tu....:doh:
 
familia yake kumuunga mkono
mgombea mwenza wa cahdema
kampeni za dk slaa kanda ya pwani , tanga na Zanzibar
timu ya kampeni ya dk slaa
majibu ya maswala ya mahakama ya kadhi na oic kutoka kwa wananchi
hapa ndipo penye mgogoro
kwani umeona nchi hii ni ya dini ya kiislam hadi tubabaikie mahakama ya kufungisha ndoa peleka huko mambo ya kidini. ukitaka mambo hayo nenda Iran kwa bosi wako.
 
Malaria sugu lazima uone giza kwa sababu muda wa mafisadi na wapambe wao waelekea mwisho. Anza kubadili upepo mjahidina mfitini
 
Sasa nina sababu ya kupiga kura mwaka huu, nitakupigia Dr. Slaa - Chadema babu kubwa.
 
wakati unapoenda kupokea mshahara wako kwa RA huwa unaenda na mamsapu wako na watoto?
Bigirita mkuu, achana naye huyu MS, yeye hana hoja ila kazi yake kuvuruga mada zenye mashiko humu jamvini. Soma michango yake yote utaelewa. NEVER URGUE WITH A FOOL .......................
 
Back
Top Bottom