Elections 2010 Dr Slaa aitikisa Karatu

Hivi mmiliki wa hilo gazeti linalo andika habari za kichochezi tena waki dini ni nani? kwa nini hachukuliwi hatua? au nayo serikali inaungana nae katika kujaribu kuleta mfarakano wa kidini?
 
Yaani hata TBC nayo wametangza mwisho kabisa eti wanasema habari zilivyowafikia punde utadhani walikua hawajui nn kipo karatu! Agrrr....
CHADEMA inabidi wajue kuwa mambo yao hayatakwenda kiurahisi hivyo, walichotakiwa kufanya ni kukusanya habari zao wenyewe na ku lobby kwenye Tv station ili ziweze kurushwa.., hapa tayari wameshamiss another oppotunity ya kumtangaza mgombea wetu.. come on guys..!
 
Hivi mmiliki wa hilo gazeti linalo andika habari za kichochezi tena waki dini ni nani? kwa nini hachukuliwi hatua? au nayo serikali inaungana nae katika kujaribu kuleta mfarakano wa kidini?
Rostum Aziz
 
Dr.naona unaperuzi hapa ivi hii ishu ya media coverage mnaichukuliaje? Maana kusema kweli leo watu wengi walikua wanategemea waone kilichotokea huko cha ajabu Tv zote zimeipotezea! Kama alivyosema member mmoja hapo juu nadhani muanze lobing au hata kulipia baadhi ya matukio!
 
Sahihisho:

Nilinoa!Ningeuliza hivi:

Je, hivi ni kweli kuwa mke wa Wilbroad Slaa, Rose Kamili, bado ni Diwani wa CCM wa Kata ya Bassotu, wilayani Hanang?
 
Sahihisho:

Nilinoa!Ningeuliza hivi:

Je, hivi ni kweli kuwa mke wa Wilbroad Slaa, Rose Kamili, bado ni Diwani wa CCM wa Kata ya Bassotu, wilayani Hanang?
Hamna taabu.
Mke wa Swatzeneger, gavana Mrepublican wa California ni Mdemocrat, tena kutoka ukoo wa Kennedy.
 
We will take our chance.

Ni heri kukosa Mbunge Slaa kuliko kuwa na Watanzania Makondoo wanaotaka watafuniwe kila kitu na hata hivyo kumeza bado watasema hawawezi. Sijui kuwaingizia mirija kwenye makoromeo yao na kuwapitishia Wakura wakiitacho "NYUKA?" (uji).

Tumewachokeni wote mnaosema JIMBO LA KARATU. Muanze kufahamu kuwa TGV limeshaondoka kuelekea Magogoni. Au mnapanda na sisi kuelekea huko au mkae kimya. Mstari umeshachorwa.............

UKO NA SLAA AU UKO NA MAFISADI.

Kila la kweri chadema ila karatu bila Wilbroad Qambalo Dr. asituletee mwingine itawafanya tukose jimbo.
 
Sahihisho:

Nilinoa!Ningeuliza hivi:

Je, hivi ni kweli kuwa mke wa Wilbroad Slaa, Rose Kamili, bado ni Diwani wa CCM wa Kata ya Bassotu, wilayani Hanang?

Sio tu ni diwani bali pia ni mgombea wa Kiti cha ubunge kupitia CCM katika jimbo la Hanang. Sasa swali lina uhusiano gani na haya tunayojadiri hapa? Watanzania tusidanganywe sana, inakuwaje watu mnakuwa concerned na itikadi ya mke wa rais? Kama mke wa Rais angekuwa anassuport mtandao wa ugaidi au majambazi au biashara za madawa ya kulevya ingekuwa issue ya kujadiri. lakini kuwa chama tofauti na mumewe what is wrong? Hembu fikiria wale vijana mamia wa UDOM waliopokea kadi za CCM kwa JK wiki 2 zilizopita, ikitokea mmoja leo nikakutana naye mtaani na tukaooana unataka kunambia hiyo nisababu tosha ya mmoja wetu kubadirisha itikadi yake?

Lakini pia nadhani ufanye assignment yako kujua hostoria ya kisiasa ya Dr. Slaa hutauliza maswali mengi. La msingi ujue hizo ni propaganda za CCM, wanataka kuwaaminisha watu kuwa kutofautiana itikadi na misimamo ya vyama vyetu inamanisha uadui, nani kasema hivyo, ndio maana nchi yetu ina vyama vingi lakini hatufikirii kuingia vitani kukatana mapanga, tunasababu za msingi tunazotofautiana na ndizo zilizotufanya tuwe na vyama vingi.

Sijui Hao mafirst lady wetu waliokuwa chama kimoja na waume zao marais waliisaidia vipi Tanzania? sana sana walipofika Ikulu wakageuza kuwa jumba la kupanga deal mara leo watoke na NGO kesho watoke na biashara. Mama Kamili amewasaidia wakulima wa Hanang hata ameweza kulala Lock Up pamoja nao kutokana na udhalimu wa CCM lakini yupo pale kwa ajili ya wananchi. CHADEMA ina Imani na Dr. Slaa, wananchi tunayoimani naye, aliyoyafanya bungeni na nje ya Bunge hayakuathiriwa na utofauti wa itikadi na mkewe, why bother leo??

Tumuunge mkono Dr. Slaa Tumpe kura zetu, Tarehe 01.11.2010 tuamke na mwanga mpya, mwanga wa matumaini, Vote For Slaa
 
Namuamini sana Dr lakini kwahili naona kama anaenda kuliweka jimbo la karatu rehani

huwezi kupata mafanikio makubwa katika maisha kama utakuwa muoga wa kuchukua maamuzi magumu na kuthubutu...
Waoga wa kujaribu/kuthubutu always wanabaki hapa hapo walipo
 
For the time being, the leaders of our publicly owned mass media are afraid to cover news that favour anyone other than CCM. Reginald Mengi's privately owned media outlets are no better. Mengi, and indeed all Tanzanian business people, were once strongly warned by Former PM Fredrick Sumaye that they would get into all sorts of trouble if they did not support CCM.

CHADEMA will have to win without coverage from the public mass media. The heads of our national TV and radio would lose their jobs if they covered CHADEMA substantially and positively. They are not courageous enough to risk that. They play by rules that were set by a den of vipers.

The most effective mass medium in Tanzania is radio. CHADEMA must have constant and friendly access to a nationwide radio station. That ought to be achievable.

In the end, it is the sheer determination of our people that will send the oppressive CCM machinery packing. It happened in Kenya. It happened in Zambia. It will happen in Tanzania. It must. The alternative is too dastardly to contemplate. Who could stomach another five years of what we have?
 
hata spiks sita
r.a
el
chenge
karamagi.
Dk slaa

Hovyo!!!!!!!! Kwani yeye kakwapua nini au kafanya nini baya katika uongozi wake wa miaka kumi na tano hadi umfananishe na hao? Kwani anakwenda kuomba kusafishwa au kuwaaga wananchi wake? Intent ni tofauti kabisa hivyo chambua vitu vingine na siyo mapokezi.

By the way unahitaji maombezi maana naona umenyweshwa maji ya bendera ya CCM inayochuja rangi. Pole!
 
Maudhi mengine Bwana, Siasa ni uchafu, inanuka kero tupu. Sasa sijui Mbowe kshikishwa na CCM? Kama una akili timamu huwezi kumuachia Dr.Slaa agombee Uraisi huku ukijua hatashinda matokeo yake Bunge litasinzia, litabaki halina msisimko.
 
For the time being, the leaders of our publicly owned mass media are afraid to cover news that favour anyone other than CCM. Reginald Mengi's privately owned media outlets are no better. Mengi, and indeed all Tanzanian business people, were once strongly warned by Former PM Fredrick Sumaye that they would get into all sorts of trouble if they did not support CCM.

CHADEMA will have to win without coverage from the public mass media. The heads of our national TV and radio would lose their jobs if they covered CHADEMA substantially and positively. They are not courageous enough to risk that. They play by rules that were set by a den of vipers.

The most effective mass medium in Tanzania is radio. CHADEMA must have constant and friendly access to a nationwide radio station. That ought to be achievable.

In the end, it is the sheer determination of our people that will send the oppressive CCM machinery packing. It happened in Kenya. It happened in Zambia. It will happen in Tanzania. It must. The alternative is too dastardly to contemplate. Who could stomach another five years of what we have?

I AGREE 100%; Change is coming; no one will stop; radio coverage a solution but not the utmost still; most media owners are hypocritic; they will charge you more;Chadema better use the small penny for education on the ground than media. The Tanzania will be back to Tanzania come 1.11.2010 with their media (they are sick)
 
Back
Top Bottom