Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Ni kawaida tu mtu kuondolewa kama uliwekwa, na siyo kwamba umeondolewa eti kwakuwa ulikosana na fulani ambaye hana hata ushawishi kwa boss wako. Mnawaamini watu mpaka mnawapa uwezo kimungu kwamba eti ukikosana nao basi - UPUUZI MTUPU
Jaribu uone
 
Naanza kuona kwa mbali miradi ya REA (umeme vijijini) ikianza kusuasua utekelezaji wake. Hii wizara ni ngumu hata aje mtakatifu ataundiwa tu zengwe kama alivyoundiwa BWANA YESU!
 
Tunaaminishwa tu kwamba profesa Muhongo ni mbaya sana lakini nyuma ya pazia kuna lundo la michezo michafu. Hii wizara ya nishati na madini ndio miaka yote imekuwa na kashifa mbalimbali kwenye masuala ya umeme na madini kabla hata muhongo hajawa waziri. Tumtegemee mtakatifu aje aiongoze hiyo wizara
 
nikikumbuka kauli za muhongo dhidi ya wa-tz siamini kama leo hii ni yeye amechafuka hivyo. eti mitaji ya watanzania ni ya kuwekeza kwenye matunda na juice. alijaa dharau kupitiliza mpaka akataka kutoa CV ya ole sendeka kwamba ana elimu ndogo kushinda yeye msomi!
msomi ndo mwizi sasa wapi na wapi sasa....ndo maana nawaambiaga watu kuwa angalia kichwa chako usije ukasoma sanah ukawa chizi bure na tapeli kama hao..profesa mzima mwizi
 
Wahenga waliwahi kunena kuwa unaweza kumdanganya mtu mmoja kwa wakati mmoja, lakini ni vigumu kuwadanganya watu wote kwa wakati wote....ulafi wa kupindukia na wa bila soni umewaponza na utawahukumu.
sasa wale askari wenu waende wakapige risasi huko sio kwa raia wema bwanah...au walle wanaopaki gari vbaya..huko ndo risasi zinahtajika haswaaa
 
Ni kawaida tu mtu kuondolewa kama uliwekwa, na siyo kwamba umeondolewa eti kwakuwa ulikosana na fulani ambaye hana hata ushawishi kwa boss wako. Mnawaamini watu mpaka mnawapa uwezo kimungu kwamba eti ukikosana nao basi - UPUUZI MTUPU

Kama ulishindwa kuamini yaliposemwa hayo kipindi kile na mifano watu wakatoa, hata hili la picha ya kwenye TV huamini?!! Lilikuwa ni suala la muda tu, yametokea sasa Muhongo chali...! Chezeya Mengi weye!!
 
Kama ulishindwa kuamini yaliposemwa hayo kipindi kile na mifano watu wakatoa, hata hili la picha ya kwenye TV huamini?!! Lilikuwa ni suala la muda tu, yametokea sasa Muhongo chali...! Chezeya Mengi weye!!
Basi natabiri na wewe lazima ULALE tu huwezi kukaa siku TATU bila KULALA - Utalala tu.
 
Duu watu mnafukua. Ndiyo kumbe wanawapa hao wazungu wanavuta nyingi. Alimtukana sana Mzee Mengi mzalendo wetu. Eti watanzania wana uwezo wa kutengeneza juisi. Mhongo ulaaniwe. Mh kamata account zote za bank za Huyu mhongo na tmaa chief executive. Majizi haya.
 
Mkuu kweli una orodha ndefu ya jamaa waliopishana na Mengi.
Lakini cha kusisitiza kwa Mengi ni kwamba ana down to earth touch.
Huyu anaombewa sana na wale albino na vilema na watu msikini.

Na si kwamba ni mtakatifu, la hasha.
Hata akiongea juu ya wajasiriamali wa kitanzania kuwezeshwa , wengi ya walio serikalini hawamuelewi kabisa.
Huyu Muhongo ndo akapitiliza, na kudharau watanzania wajasiriamali wote kuwa ni wenye upeo wa kutengeneza juisi tu.
Wengi hatukumsamehe Muhongo kwa matusi hayo.
Baada ya kuadhibiwa rasmi, sasa tumsamehe.

P
 
Wote madalali tu, sema position ya Muhongo ilkua rahisi kudalali ingawa ni hatar. Ila Mengi ndo adhan kauwin udalali mnh, asijiachiee
Kumbe kuna watu mlikuwa mnawajua hawa madalali tangu kitambo?.

P.
 
Back
Top Bottom