Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

IPP wanafanya wachaga pekee?? Bonite wanafanya wachaga pekee?? Hiyo habari ya Migodi yake kuwa wachaga ni uongo na upuuzi wa kupuuzwa sababu hata aliyekua mshirika wake mkubwa na msimamizi wa migodi yake Henry Nyiti hakuwa Mchaga.. By the way huko kwenu Tunduru si kuna migodi?? omba kazi huko

Unanipangia sehemu ya kuomba kazi? Mengi akatafete gesi huko Moshi Kilimanjaro. Mtwara hatumtaki. Mengi ni tapeli, mbinafsi
 
IPTL inayoitwa hewa leo ndiyo iliyokuwa ikiiuzia Tanesco umeme na kulipwa capacity charge, PAP inayoitwa hewa leo ndiyo iliyoridhiwa na hukumu ya jaji Utamwa irithi mali na madeni ya IPTL...Singasinga Sethi kwa kuwa tu ni mzawa basi hastahili kununua IPTL wala kulipwa kilicho cha IPTL....Kurithi mali na madeni tafsiri yake ni kurithi na pesa inayopaswa kulipwa IPTL kutoka Escrow na ndio maana Gavana hakuwa na shaka na hili baada ya kujiridhisha...Lakini kwa kuwa wanasiasa na hasa wabunge wasaka tonge wamelainishwa kwa vijisenti na wanayo kinga ya kibunge basi wanahakikisha wanakuwa wao walalamikaji;wao wasikiliza malalamiko na wao watoa hukumu....Huku ni kuingilia kabisa mihimili mingine...Na wakishatimiza malengo yao utawasikia wakijigamba mitaani kwamba tumemkomoa...Wakati umefika sasa wa kuwanyima kura na kuhakikisha sheria ya kinga ya bunge inarekebishwa ili watu wasio na hatia na wasio na uwezo wa kusema bungeni waweze kujitetea kabla ya kuchafuliwa CV zao...Mmemchafua Askofu Kilaini bure bila sababu za msingi.

kama IPTL haikuwa hewa, kwa nini pesa zilitoka BoT na kuingia kwenye akaunti ya PAP stanbic? kwa nini IPTL haikuwa na akaunti. na kama PAP yenyewe haikuwa hewa mbona hawakulupa kodi? japokuwa kulikiwa na kusaka tonge, ni wazi serikali iliingizwa mkenge. suala la gavana kuridhia ni kutkana na ushauri wa mwanasheria mkuu. gavana alihangaika sana aki-focus macroeconomic stability ya tz.
 
Mwanzo nilikuwa nadhani watu wote hawajui kuwa mengi ni mpuuzi na mwizi ila anawalaghai watu kwa vitu vidogo vidogo wakati yeye anaiba mabilioni kumbe mpo baadhi ya watanzania mnamjua mengi vema nilidhani niko peke yangu.

Huyo Mzee wa IPP kwanza anapenda Sifa sana,mara nyingi huwaalika mabarozi wa Nchi za Nje ofisini kwake wakati yeye si Mtumishi wa Umma, Habari zake ITV hupewa Dakika nyingi hata kama anaongea Uzushi zushi tu,na Habari muhimu kupewa DK chache sana, Nina imani Mengi atauchukia Mtandao wa JF maana Leo amepewa Makavu Live.baada ya kuwa amejisahau na kujiona ni Mungu Mtu kila analofanya watu wanaogopa kumkosoa,wewe Mzee wa ipp kwanza ni Mpenda Michepuko hakuna mfano nje ya kazi na biashara zake si mwadilifu hata kidogo, kwa kifupi Mengi si Mtu wa kumwamini kabsa ni Mtu hatari kuliko wengi wanavyodhani, Pia mengi huwa ni Limbukeni wa kingereza akitembelewa na Mzungu mmoja au wawili huku waswahili wapo 1000 yeye huzungumza kingereza ili amfurahishe Mzungu pasipo kuwajali waswahili kama wanamwelewa. Mengi ni Dalali wa kila kitu aliwahi kupiga udalali Pesa za misaada juu ya Ukimwi zilitoka ulaya zikapitia kwake . Chezea a Mengi wewe....
 
Chezea Mengi wewe,,,,,, huyo Babu mme wa Jack si Mtu wa kumwonea huruma kwani yeye huwa Hana huruma pindi akidhamilia kutenda jambo hususani kwa wale wanaokuwa wamegusa Udalali wake.
 
Unanipangia sehemu ya kuomba kazi? Mengi akatafete gesi huko Moshi Kilimanjaro. Mtwara hatumtaki. Mengi ni tapeli, mbinafsi

Mengi akikusikia atakumeza maana Ugonvi wake na Waziri mhongo umeanzia hapo hapo, mengi anataka kumiliki 80% yote ya Ardhi yenye Gesi kisha afanye Udalali na Uranguzi . Chezea Mengi wewee........
 
Kiukweli Mengi ni wale wale tuu, kwamba anaiwazia mema Tz sidhani kabisa. Ogopa sana mtu anayejionyesha ni mtu wa kutoa misaada huwa wanakuwa na hidden agenda.
 
Huyo Mzee wa IPP kwanza anapenda Sifa sana,mara nyingi huwaalika mabarozi wa Nchi za Nje ofisini kwake wakati yeye si Mtumishi wa Umma, Habari zake ITV hupewa Dakika nyingi hata kama anaongea Uzushi zushi tu,na Habari muhimu kupewa DK chache sana, Nina imani Mengi atauchukia Mtandao wa JF maana Leo amepewa Makavu Live.baada ya kuwa amejisahau na kujiona ni Mungu Mtu kila analofanya watu wanaogopa kumkosoa,wewe Mzee wa ipp kwanza ni Mpenda Michepuko hakuna mfano nje ya kazi na biashara zake si mwadilifu hata kidogo, kwa kifupi Mengi si Mtu wa kumwamini kabsa ni Mtu hatari kuliko wengi wanavyodhani, Pia mengi huwa ni Limbukeni wa kingereza akitembelewa na Mzungu mmoja au wawili huku waswahili wapo 1000 yeye huzungumza kingereza ili amfurahishe Mzungu pasipo kuwajali waswahili kama wanamwelewa. Mengi ni Dalali wa kila kitu aliwahi kupiga udalali Pesa za misaada juu ya Ukimwi zilitoka ulaya zikapitia kwake . Chezea a Mengi wewe....

Utakua humfahamu Mengi wewe ndio mana unaandika porojo tu na majungu uzushi pole sana. Anzisha tv yako nawewe ujipe mda mwingi.
 
Mengi akikusikia atakumeza maana Ugonvi wake na Waziri mhongo umeanzia hapo hapo, mengi anataka kumiliki 80% yote ya Ardhi yenye Gesi kisha afanye Udalali na Uranguzi . Chezea Mengi wewee........

Naona mmejaziwa bundle za kutosha na Mhongo ili mu mtusi Mengi jitahidini.
 
Off topic: Hivi mengi naye ni Dr wa PhD? au Pi hechi dii?
Ila mzee Machache kapiga kazi hadi Prof. katoka, hapo ndo atajua kazi ya hela za juice.
 
Unanipangia sehemu ya kuomba kazi? Mengi akatafete gesi huko Moshi Kilimanjaro. Mtwara hatumtaki. Mengi ni tapeli, mbinafsi

Kama wamasai anavo watetea ardhi yao ya asili nae mengi huko mtwara hakumuhusu.
Hata iweje haiwezekani serikali ije itowe kitalu cha kuvuna gas kwa mengi...haitowezekana kila mtu mtanzania ana haki hio wala serikali isijaribu kuleta futina hio...ndio mwanzo wa fujo na majaribu.
Kama anayo fedha aingie katika mchakato kama wengine wanapo omba alipie na aoneshe kuwa ana uwezo wa ku explore gas katika muda ulopangwa.
Kupewa bure bila ya masharti ni wizi na dhuluma kubwa kwa watanzania.
Kila mmoja tuna haki ya kupewa ..kwanini mengi peke yake ?
Huko wanako dundana na ambako hakuna utulivu ni kwa sababu ya kugaiana vitalu kwa watu wa tabaka fulani ili kama njia ya kuwanyamazisha kelele zao.
Lakini leo huko Nugeria kuna boko haram kwasababu tu watu wachache wamegawana vitalu na kufaidi peke yao.
Huko gabon ni familia ya Bongo na marafiki na wafanya biashara wachache ..hatima yake Gabon hakuna cha maana na serikali inalindwa na Ufaranza.
Huko Congo ya Brazaville pia waligawa vitalu kwa wana familia na wafanya biashara wachache wanao jiita wazawa hatimae mpaka leo hakuja tulia vuta ya wao kwa wao.
Hata Angola tuna ina mtoto wa Do Santos ndio tajiri kuliko wanawake wote wa Afrika.yote ni 10% kutoka wazawa wachache walopewa vitalu peke yao kutajirika.
Utajiri wa gas ni wetu sote na serikali pekee iwe ndio share holder kwa niaba yetu.
Inachotakiwa ni kwa mengi kupigania uwazi na ubora wa mikataba hii na sio ubinafsi wa kutaka apewe yeye...hilo halitowezekana
 
Ni kweli huyo Mzee Mengi huwa anapenda Ligi sana na Mara nyingi hutumia Mapesa kibao ili apate Ushindi, Mengi ana Mengi maovu Kama lilivyo jina lake aliwahi kukopa NBC bank kisha wakachoma nyaraka ili kuficha ushahidi hatinae NBC ilifirisika ikaja kuokolewa na Uwekezaji, Mengi anawalipa wafanyakazi wake mishahara Mibovu huku akitumia Pesa nyingi kwenye Fitina juu ya Prof Mhongo Kisa eti amemnyima asifanye Udalali vitalu vya Gesi. Huyo Mengi huanzisha jambo kisha hutengeneza mazingira ya kupata huruma za Wananchi, ampapo wengi huingia kichwa kichwa kumtetea Mengi pasipo kujua kuwa Mengi ni Dalali na Hana Uchungu na Pesa za walipa Kodi bali yeye anaangalia masilahi yake.

Hapo utakua na chuki na Mengi nimewahi kufanya kazi Ipp na mzee Mengi anawajali sana wafanyakazi wake.
 
Anawajali sana wachaga wenzake na kidogo wanakaskazini.We utakua ni mchaga wewe.

Tambua Mengi kwenye swala la ajira na uadilifu haangalii uchaga wala ukaskazini. Mengi ni mzalendo wa kweli kwenye taifa hli ameajiri wafanyakazi wengi sana kwenye makampuni yake.
 
Sijawahi kumsikia Professor muongo kama Professor Muhongo, kwa udalali wake anafaa kuitwa Professor Ndumilakuwili
 
Naona Muhongo kamwagiwa Ugali sasa kwa hasira katuma Vijana wake waje wamwage mboga
 
mengi anabakia dalali wa vitalu na muhongo dalali wa iptl
 
mengi anabakia dalali wa vitalu na muhongo dalali wa iptl

Mengi ni mchimbaji wa madini,nawala sio dalali anachimba madini mirerani,anajichimba ruby maramba tanga sasa huo udalali wake uko wapi?
 
Watu wa 'Mungu' Kiranga nakuomba hapa. Au Pasco unazungumza kinabii?

Nabii fulani karuka ukuta nyumba ndogo Silver Oak wakati mke wake kapaki gari getini na bastola?

Mpaka kwenda kukodi taksi Muhimbili huku kajificha na kapelo.

Nabii fulani kwenu mliokuwa hamjui habari za mjini.

As Robert Penn Warren put it in "All The King's Men" "Man is conceived in sin and born in corruption, and he passeth from the stink of the dydie to the stench of the shroud. There is always something".
 
Back
Top Bottom