Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Wewe utakuwa umevurugwa ile mbaya...
Huyo Mzee wa IPP kwanza anapenda Sifa sana,mara nyingi huwaalika mabarozi wa Nchi za Nje ofisini kwake wakati yeye si Mtumishi wa Umma, Habari zake ITV hupewa Dakika nyingi hata kama anaongea Uzushi zushi tu,na Habari muhimu kupewa DK chache sana, Nina imani Mengi atauchukia Mtandao wa JF maana Leo amepewa Makavu Live.baada ya kuwa amejisahau na kujiona ni Mungu Mtu kila analofanya watu wanaogopa kumkosoa,wewe Mzee wa ipp kwanza ni Mpenda Michepuko hakuna mfano nje ya kazi na biashara zake si mwadilifu hata kidogo, kwa kifupi Mengi si Mtu wa kumwamini kabsa ni Mtu hatari kuliko wengi wanavyodhani, Pia mengi huwa ni Limbukeni wa kingereza akitembelewa na Mzungu mmoja au wawili huku waswahili wapo 1000 yeye huzungumza kingereza ili amfurahishe Mzungu pasipo kuwajali waswahili kama wanamwelewa. Mengi ni Dalali wa kila kitu aliwahi kupiga udalali Pesa za misaada juu ya Ukimwi zilitoka ulaya zikapitia kwake . Chezea a Mengi wewe....
 
Kiraga ni miongoni mwa GT wa zaman kidogo hapa jukwaani... sijawahi kuona ameshabikia umembea... Kulikoni?...
Nabii fulani karuka ukuta nyumba ndogo Silver Oak wakati mke wake kapaki gari getini na bastola?

Mpaka kwenda kukodi taksi Muhimbili huku kajificha na kapelo.

Nabii fulani kwenu mliokuwa hamjui habari za mjini.

As Robert Penn Warren put it in "All The King's Men" "Man is conceived in sin and born in corruption, and he passeth from the stink of the dydie to the stench of the shroud. There is always something".
 
Kiraga ni miongoni mwa GT wa zaman kidogo hapa jukwaani... sijawahi kuona ameshabikia umembea... Kulikoni?...

First thing first, kwa Kiranga GT ni tusi.

Secondly. It is precisely because I do not subscribe to hagiography that I counter this misleading elevation with actual facts.
 
mambo ya uzawa ,udalali na ubabaishaji

 
Last edited by a moderator:
Mambo badooo...nyimbo ya Remmy

 
Last edited by a moderator:
kama wewe mwanaume...njoo uwanjani..si yangu hayo..

 
Last edited by a moderator:
Mnaweza kumlinganisha mwizi wa fedha za umma prof.mlongo na Dr.mengi? mengi aliwahi kuiba hela za umma? au anatumia zake
 
na kweli uwanjani wana shindwa wanakimbilia ..kwenye immunity..

 
Last edited by a moderator:
Kuna mijitu ina wivu sana na kubarikiwa kwa mengi, yaani iko tayari kutetea mafisadi kama mlongo, kwaajili ya wivu tu?!
 
haha Muhongo alileta data za kiwendawazimu kwa mbwembwe ,hooligans wa CCM wakapiga kelele nyingi km kawaida yao ya kutotmia akili.Data kuwa MEngi sijui ana Dar Ngapi,wakati waarabu na wahindi walikuwa na eneo kubwa kuliko yeye sana.Jumla yake hizo Dr sijui zingepatikana wapi ktk offshore ya Mtwara.Thanx God haikuchukua muda kuwaacha uchi
 
Episode one ya Escrow Saga,wasanii wameshinda,episode two na three,wasanii wataumbuka -WAKATI UTASEMA.
 
Kuna mijitu ina wivu sana na kubarikiwa kwa mengi, yaani iko tayari kutetea mafisadi kama mlongo, kwaajili ya wivu tu?!

Hakuna mwenye wivu nae.
Miradi yake anapata upendeleo mkubwa kutoka serikalini kwa ticket ya kuwa mzawa .
Mererani unaambiwa hajawahi kulipa kodi miaka yote na wafanyakazi hawajalipwa haki zao.
Ni mtu muovu mwenye wivu na mbinafsi.
 
Huyu Mzee ni kama Nabii Fulani, he has "powers from within", ukimtibua... safari!.
  1. Alianza na wamiliki wa DTV na CTN kuhusu haki za kuonyesha kombe la dunia, vituo vyote vimekufa.
  2. Alitibuana na Katibu Mkuu, Mambo ya Ndani, Silvanus Adel, Adel alimwaga unga wake!.
  3. Akatubuana na Gazeti la Mtanzania kutoa siri kuwa anadaiwa na mabeki, Mtanzania likafilisika hadi kuuzwa!.
  4. Akatibuana na Lowasa Mengi akiwa Mwenyekiti wa NEMCI, Lowasa akang'oka!.
  5. Alipishana kauli na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Shamin Khan, shamim aling'olewa!
  6. Alipishana kauli na Masilingi, wakati wa "mchezo mchafu", Masilingi aling'olewa!.
  7. Alipishana kauli na Iddi Simba kwenye mambo ya Uzawa, Iddi Simba alimwagwa!.
  8. Alipishana kauli na Basil Mramba akiwa waziri wa fedha kuhusu kodi ya Jack Pot Bingo, Mramba aling'oka!.
  9. Alipishana kauli na Adam Malima, almanusura Adam, yangemkuta, Sitta akamuombea msamaha!, ndio salama yake!.
  10. Alipishana kauli na Tido kuhusu TV inayolipwa na kodi za wananchi kugombea matangazo na TV binafsi!, Tido aling'oka!.
  11. Akapisha kauli na Yusuph Manji, sasa Manji anafilisiwa!.
  12. Akapishana kauli na Waziri wa Mambo ya ndani, Masha, Masha kang'olewa!.
  13. Akaja Rostam Aziz, sasa ameikimbia nchi!,
  14. Alipishana kauli na Balozi wa Uingereza kwenye kashfa ya Silvadale!, Balozi wa Uingerezwa aliondoshwa!.
  15. Alipishana kauli na wandeshaji wa Kipindi cha "Kiti Moto", Kiti Moto kilikufa!
  16. Ndipo sasa amekuja Prof. Mhongo!.

Watu wa karibu na Mhongo, mshaurini atubu na kwenda kuangukia mapema, watu wa Mungu sio wa kuchezea!.

Vinginevyo!.

Pasco.


Kurejea kwa Prof. Muhongo kwenye cabinet, sasa ni ama 'Mzee wetu' zile nguvu zinapungua kwa kadri umri unavyosonga, ama Profesa ni zaidi ya Mzee wetu!, kule kwao Mosoma 'ameaga!'

Pasco
 
Huyu Mzee ni kama Nabii Fulani, he has "powers from within", ukimtibua... safari!.
  1. Alianza na wamiliki wa DTV na CTN kuhusu haki za kuonyesha kombe la dunia, vituo vyote viwili vimekufa!.
  2. Akatishiwa kifo, kawataja wamiliki wa DTV, Shabbir na Murtaza Dewji wakatiwa ndani!.
  3. Alitibuana na Katibu Mkuu, Mambo ya Ndani, Silvanus Adel, kwa kuamrisha wahindi hao waachiwe, Adel alimwaga unga wake!.
  4. Akatibuana na Gazeti la Mtanzania kutoa siri kuwa anadaiwa na mabenki, Mtanzania likafilisika hadi kuuzwa!.
  5. Akatibuana na mmiliki wa Channel Ten, Muitaliano, Franco Tramontana, Franco alitimuliwa nchini!.
  6. Akatibuana na Lowasa, Mengi akiwa Mwenyekiti wa NEMCI, Lowasa akang'oka!.
  7. Alipishana kauli na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Shamin Khan, Shamim aling'olewa!.
  8. Alipishana kauli na Masilingi, wakati wa "mchezo mchafu", Masilingi aling'olewa!.
  9. Alipishana kauli na Iddi Simba kwenye mambo ya Uzawa, Iddi Simba alimwagwa!.
  10. Alipishana kauli na Basil Mramba akiwa waziri wa fedha kuhusu kodi ya Jack Pot Bingo, Mramba aling'oka!.
  11. Alipishana kauli na Adam Malima, malima amemwagwa!.
  12. Alipishana kauli na Tido kuhusu TV inayolipwa na kodi za wananchi kugombea matangazo na TV binafsi!, Tido aling'oka!.
  13. Akapisha kauli na Yusuph Manji, sasa Manji yamemkuta ya kumkuta na soon anafilisiwa!.
  14. Akapishana kauli na Waziri wa Mambo ya ndani, Masha, Masha kang'olewa!.
  15. Akatibuana Rostam Aziz, kwenye fisadi papa, Rostam sasa ameikimbia nchi!,
  16. Alipishana kauli na Balozi wa Uingereza kwenye kashfa ya Silvadale!, Balozi wa Uingerezwa aliondoshwa!.
  17. Alipishana kauli na wandeshaji wa Kipindi cha "Kiti Moto", Kiti Moto kilikufa!
  18. Alitibuana na Ze Comedy, kipindi kimekufa!
  19. Ndipo sasa amekuja Prof. Mhongo!, tusubirie tuone Muhongo atadumu kwa muda gani kabla ya kumkuta, hayajamkuta!.
Watu wa karibu na Mhongo, mshaurini atubu na kwenda kuangukia mapema, watu wa Mungu sio wa kuchezea!.

Vinginevyo!.

Paskali
Hatimaye muda wa tukio hili ndio huu umewadia.

Watu walio karibu na huyu Dogo wa Darisalsama, wamtahadharishe dogo, siku zake zinahesabika.

P.
 
Hatimaye muda wa tukio hili ndio huu umewadia.

Watu walio karibu na huyu Dogo wa Darisalsama, wamtahadharishe dogo, siku zake zinahesabika.

P.
Ila akili za wabongo kuzielewa mpaka uwe taahira, maana sasa kutimuliwa Muhongo kila mtu anataka apewe Credit kwamba ndiye aliyesababisha

- Siyo cha MENGI, LEMA & NASSARI, KAKOBE, ZITTO nk

- Ujinga mtupu
 
Ila akili za wabongo kuzielewa mpaka uwe taahira, maana sasa kutimuliwa Muhongo kila mtu anataka apewe Credit kwamba ndiye aliyesababisha

- Siyo cha MENGI, LEMA & NASSARI, KAKOBE, ZITTO nk

- Ujinga mtupu
Na wewe ulitaka nani apewe credit?
 
Na wewe ulitaka nani apewe credit?
Ni kawaida tu mtu kuondolewa kama uliwekwa, na siyo kwamba umeondolewa eti kwakuwa ulikosana na fulani ambaye hana hata ushawishi kwa boss wako. Mnawaamini watu mpaka mnawapa uwezo kimungu kwamba eti ukikosana nao basi - UPUUZI MTUPU
 
Back
Top Bottom