Ole Sendeka amekuwa Dalali wa Ubaya yaani Sendeka ni Mpambe wa a Mengi akiwa Dsm mda mwingi hushinda ofisini kwa mengi, na sasa Sendeka kapewa Pesa ili akomae anajifanya kuwa na Uchungu wakati si kweli , amekomaa ili amfurahishe boss wake Mengi.
Mwanzo nilikuwa nadhani watu wote hawajui kuwa mengi ni mpuuzi na mwizi ila anawalaghai watu kwa vitu vidogo vidogo wakati yeye anaiba mabilioni kumbe mpo baadhi ya watanzania mnamjua mengi vema nilidhani niko peke yangu.
mengi sio dokta wangu kama unavyosema. namkubali tu kwa sababu ni mfanyabiashara aliyefanikiwa, na mie napenda biashara. ila sikubali hizo games anazocheza, anakera sana kulalamika hovyo. ni mtu wa kutafuta huruma na wa-tz wameshaleweshwa na huruma zake. prof muhongo namkubali kwa misimamo yake, nilifurahi aliposimamia ile deal ya ophir. sijakataa waziri kukutana na wawekezaji ofisini kwake, ila walichohoji PAC ni kwa nini afanye deal na singsinga ili hali jamaa hakuwa halali? na TRA walithibitisha hilo, mpaka sasa iptl ni hewa kwa kuwa pap ni hewa. pia sikupenda uongo aliozungumza bungeni ati hapakuwa na pesa za umma; kodi ni pesa ya mtu binafsi? TRA wamethibitisha kwamba kodi haikulipwa hasa na pap.
Mengi atatumia kila mbinu kumuondoa madarakani mtu yeyote, kulinda maslahi yake yaliyojificha kwenye dini na misaada ya kejeri. Atatumia hela kwa Olesendika, Sita n.k kutimiza haja zake. Shame.
sasa nataka bunge limtafute aliyefirisi bank ya umma ya NBC
Mengi amefanya Mengi ni alama ya uzawa wetu. Muhongo jeuri Kaipata baada ya kufanya udalali. Mengi ni mpambanaji na watu wengi wamenufaika na utajiri wake anajitoa saana na Kodi analipa. Muhongo anakera Kwa jeuri na kiburi cha kitoto. babu yangu aliniambia Elimu ni kalamu Si akili. na Ndio maana mchango wa wasomi hauonekani na ukiuona ni wa kitumwa
Kuhusu vitalu vya gesi, Mengi ni dalali na hilo halina ubishi.
Kuhusu la report ya PAC ngoja tusubiri utetezi ili ukweli ujulikane.
Hivi zecomedy nao wamemalizika?
Mengi yuko kwa maslahi yake binafsi na wachagga wenzake. Asiisogelee gesi kabisa. Ni bepari mnyonyaji, mbinafsi, tapeli
I wish one day, ijulikane ni wazawa wepi wanafanya biashara kubwa na TANESCO. Kati yao ni nani anapata the lion share. Mengi hakosi. Tatizo la Muhongo ni kusema ukweli kwa maneno ya ukweli mtupu. We are poor to invest on oil and gas exploration, it is simple and clear. Do you know Muhongo is not politician, poor him. He does not know how to play the game politician play. Kuuma na Kupuliza, na unafiki. Kama ni maadili kwa nini Zito hakuachia ngazi baadaya ya tuhuma nzito toka kwa Mbowe na CHADEMA, akaenda Mahakamani. Tuhuma za Zito zilikuwa ni Usaliti na Rushwa pia kutaka kupindua uongozi wa CHADEMA. Ni tuhuma nzito sana. Leo wafanyakazi wa Serikali wakituhumiwa na bunge, bunge lina pendekeza hukumu hata kwa watu ambao hawapo bungeni, wala kujitetea.
Tumewapoteza wengi na tutawapoteza wengi kwa sababu tu wanaziba mirija ya wachache kama Mengi na Mkono. Aiibu.
History will tell.
Nilishawahi kuomba kazi kwenye mgodi wa Mengi wa tanzanite Mererani. Nikanyimwa kwa sababu sio mchagga. Mgodi wake amejaza wachaga watupu. Asiisogelee gesi yetu huyu mnyonyaji