Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,071
- 15,209
You're very stupid and your argument is fallacious stupid. If you want to see him, go find him yourself and stop foolish nonsense here!Says the low IQ moron. Stop being this clueless fool and useful idiot for an evil regime.
Nothing good has ever comes out of being a bootylicker.
..sikubaliani nae, sabab kuwa muumini kuna wajibu, viongozi wana wajibu wao pia..hutoi sadaka km fadhila kwa viongozi, kiimani sadaka ina thawabu binafsi bila kujali imetumikaje..wewe toa sadaka kwa ajili ya kutengeneza makao yako mbinguni, humtolei kiongozi..GT msome mleta mada vzr btn the line
tuko pamoja ,mayb sikukuelewa au hukunielewa ila now umenielewesha,ahsante..sikubaliani nae, sabab kuwa muumini kuna wajibu, viongozi wana wajibu wao pia..hutoi sadaka km fadhila kwa viongozi, kiimani sadaka ina thawabu binafsi bila kujali imetumikaje..wewe toa sadaka kwa ajili ya kutengeneza makao yako mbinguni, humtolei kiongozi..
Nini kinakukera yeye kukumbusha waumini wenzake wajibu wao kiimani? Muumini mmoja mmoja kiimani wanaumba mwili wa Kristo au Kanisa, wanafanishwa na viungo vya mwili..mkono, kichwa, masikio..ili mtu akamilike viungo vyote vinafanya kazi pamoja..kiungo kimoja kikiumia mwili wote umeumia..muumini mmoja akiwa anateswa ni sawa na waumini wote wanateswa! Maarifa yako ya kibinadamu ya kusema yeye achukue jukumu peke yake..machoni pa Mungu au kiimani ni sawa na upuuzi!Kwani wewe huwezi kuchukua jukumu la kumtafuta mpaka usakizie wengine?
..Romans 12:4-5You're very stupid and your argument is fallacious stupid. If you want to see him, go find him yourself and stop foolish nonsense here!
"Stop foolish nonsense" what kind of grammar is this?You're very stupid and your argument is fallacious stupid. If you want to see him, go find him yourself and stop foolish nonsense here!
Mkuu soma 1wakorinto 10:20.....sikubaliani nae, sabab kuwa muumini kuna wajibu, viongozi wana wajibu wao pia..hutoi sadaka km fadhila kwa viongozi, kiimani sadaka ina thawabu binafsi bila kujali imetumikaje..wewe toa sadaka kwa ajili ya kutengeneza makao yako mbinguni, humtolei kiongozi..
Maana yake tuendelee kuwezesha uovu!Sadaka ziendelee tu mkuu
..shetani ni nani sasa, na wewe inakuwaje unaingia au unabaki kwa shetani hata na kutoa sadaka..? shetani anaweza kuwa wewe pia ndio maana umebaki nae hata unasita kutoa sadaka sababu ni kipofu kiroho..huoni!Mkuu soma 1wakorinto 10:20...
Inasisitiza kuhusu kutokutoa sadaka kwa mashetani, sio kila sadaka Mungu anaikubali.
Sadaka isiyotumika Kwa kusudio la kazi ya Mungu ya ustawi wa watu kiroho na kimwili...hiyo ni sadaka ya shetani.
Unatoa sadaka Kwa shetani siyo Mungu.
..sadaka si kipimo peke yake cha utumishi wa kazi ya Mungu..inaweza kuwa ni kitu chema lkn si wakati wote, msikilize Kuhani Mzee Samweli anamwambia nini mfalme Sauli juu ya sadaka.. 1Sam 15:22Mkuu soma 1wakorinto 10:20...
Inasisitiza kuhusu kutokutoa sadaka kwa mashetani, sio kila sadaka Mungu anaikubali.
Sadaka isiyotumika Kwa kusudio la kazi ya Mungu ya ustawi wa watu kiroho na kimwili...hiyo ni sadaka ya shetani.
Unatoa sadaka Kwa shetani siyo Mungu.
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.
Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?
Kama kwa mtu wa hadhi ya Dr Nchimbi kanisa halisimami nae, je sisi waumini tusio maarufu itakuwaje?
Kimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.
Sasa kwa hii hali inayomkuta Dr Nchimbi na kanisa halimsaidii au linasimama na watesi wetu/mashetani maana yake umuhimu wa sisi kutoa sadaka haupo tena. Kama tukitoa maana yake hatumtolei Mungu tena maana sadaka zetu zinafanya kazi za kishetani.
Kukaa kimya ni kukaa upande wa watesi wetu, na kitendo hiki ni cha kishetani. Kufikia Xmas mwaka huu kama kanisa katoliki na makanisa mengine pamoja na waislam wataendelea kukaa kimya, nashauri waumini wote wakristo na wasio wakristo tusimame upande wa Mungu kwa kukataa kutoa sadaka ambazo zinafanya kazi za kishetani, yaani viongozi wake wanasimama na viongozi waovu wa serikalini.
Tukigoma kutoa sadaka kwa viongozi wa dini zote, hakika ushirika wa viongozi wa dini na serikali utapungua na tutawawajibisha viongozi wetu wa kidini wasiwe machawa wa mifumo kandamizi.
Wewe siyo muumini wa kanisa hilo.Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?
Kamzidi hadi Samia. Ni bora basi ashike madaraka yeye!N
NDejembi kapitishwa bungeni kwa 100% kwa mujibu wa taarifa rasmi
Ya kwako ni mbovu zaidi.Kama haujaelewa hoja nyepesi, kapime IQ level yako mkuu.
We ni bwege lisilo na akili, kuwa mtiifu kwa hao matapeli kinawahusu nini watanzania? RC kuwa na waumini wengi mantiki yake nini ktk hoja yako, Nchimbi nendeni nyumbani kwake! We ni mpuuzi km wengine, kafanye mambo yako!Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.
Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?
Kama kwa mtu wa hadhi ya Dr Nchimbi kanisa halisimami nae, je sisi waumini tusio maarufu itakuwaje?
Kimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.
Sasa kwa hii hali inayomkuta Dr Nchimbi na kanisa halimsaidii au linasimama na watesi wetu/mashetani maana yake umuhimu wa sisi kutoa sadaka haupo tena. Kama tukitoa maana yake hatumtolei Mungu tena maana sadaka zetu zinafanya kazi za kishetani.
Kukaa kimya ni kukaa upande wa watesi wetu, na kitendo hiki ni cha kishetani. Kufikia Xmas mwaka huu kama kanisa katoliki na makanisa mengine pamoja na waislam wataendelea kukaa kimya, nashauri waumini wote wakristo na wasio wakristo tusimame upande wa Mungu kwa kukataa kutoa sadaka ambazo zinafanya kazi za kishetani, yaani viongozi wake wanasimama na viongozi waovu wa serikalini.
Tukigoma kutoa sadaka kwa viongozi wa dini zote, hakika ushirika wa viongozi wa dini na serikali utapungua na tutawawajibisha viongozi wetu wa kidini wasiwe machawa wa mifumo kandamizi.
Unasifu majinga tu yanayojali matumbo yao. Halafu mnawapa sifa wasizokuwa nazo sema tu wamewapumbaza.VIongozi wa RC si watu wa kukurupuka, wamefuatilia, na wanaendelea kufuatilia, taarifa ambazo tena ni classified kumhusu wanazo! Sema, ni kwamba any ngoja nifute nilichotaka kuendelea kuandika kwanza
..unaijua misingi ya ukristo km iko sawa na uislamu? Kwa hiyo vile waislamu walinyamaza jumbe kuwekwa kizuizini ndivyo na wakatoliki nao wanyamaze..? Lkn hizi ni imani mbili tofauti kabisa..!Kitendo cha Lissu kusema Maaskofu wamtafute tayari ameiingia cha kike kwenye udini
Jumbe aliwekwa ndani hakuna mtu alisema masheikh wamtafute sababu ndege wenye mbawa moja huruka pamoja, alikula nao, kwa hiyo wote wananuka shombo. watajuana wenyewe
Huu udini unaoletwa na chadema haufiki popote, ndio maana ulizimishwa kwa nguvu zote potelea pote na Collateral Damage iliyotokea.
Na huku upande wa kulia tupo gado, any time
..kasome Warumi 12:4-5 hata km wewe si mkatoliki utaelewa kwa nini ni wajibu wakatoliki kumtafuta nchimbi..We ni bwege lisilo na akili, kuwa mtiifu kwa hao matapeli kinawahusu nini watanzania? RC kuwa na waumini wengi mantiki yake nini ktk hoja yako, Nchimbi nendeni nyumbani kwake! We ni mpuuzi km wengine, kafanye mambo yako!
..ni bora mara 1000 kupumbazwa na wanaokataa uovu na kutetea haki kuliko kulipwa fedha kulinda uovu!Unasifu majinga tu yanayojali matumbo yao. Halafu mnawapa sifa wasizokuwa nazo sema tu wamewapumbaza.