Dr. Mponjoli: Police smash alleged luxury car theft ring

well,well he is due for release this december,being a model prisoner has earned him a reprieve.Contrary to reports,no assets have been found in his name(nani alisema hiki si kichwa?) His lawyers are on standby to fight any deportation order saying having been linked to the EPA scandals he stands no chance of a fair trial in tanzania.Lets hope the champagne lifestyle he adored will continue. Having now seen the inside of a cell,he now comes out a fearless man and most probably with advanced versions of how to play the game
 
huyu kijana amesahau fadhila, babake mzee malakasuka enzi zake na kampuni ya ujenzi walikuwa wakipeana miradi mikubwa ya kujenga benki na dr amon nsekekla, mzee akawa tajiri akawapeleka huko ulaya wakasome badala ya kusoma na kurudi kuja ku-expand business ya baba yao, wamegeuka kuwa majizi huko ulaya. mzee wao amefilisika nyumba yake ya mbeya iliyokuwa inaitwa white house choka mbaya hata umeme na maji umekatwa, sasa anaishi lile flat la national housing pale victoria, wanakopaki zile benzi za kukodisha harusini, isije ikawa na zile benzi ni za mponjoli
Come easy go easy!
Si baba wala mwana wana msingi wa uadilifu hivyo haishangazi.
 
Hizo hela zilizokutwa kwenye account sio proceeds za magari, bali ni hela alizokuwa akiiba na balali
hela za magari zote amejirusha, kwa hiyo uk police wamechukua hela za bot na kuzifanya zao, je sisi watz tutapata nini kutoka kwa mponjoli.
Jamaa alikuwa anashirikiana na baadhi ya viongozi wa bot na mkurugenzi mmoja aliyeteuliwa juzi juzi kukimbiza hela za bot to uk
 
..kama kuna pesa nyingine ameandikisha kwa washikaji basi hawatachelewa "kumdhulumu."

..nasema hivyo kwa kuzingatia kwamba mtu kama huyu atakuwa amezungukwa na marafiki wenye tabia na akili kama zake.

..tena sasa yuko jela usijeshangaa kwamba huku mitaani wananchi wanamsaidia "kumtunza-tunza" mke wake.
 
Alafu jamaa alisoma seminary, Ni padre inaonekana Bible haikumsaidia kabisa!!!!
 
Duh lakini tuseme ukweli, jamaa kazivuta kichizi ndio maana naambiwa asilimia 90 ya magari mazuri Dar yanaitwa Mponj!..kumbe yana historia ndefu hivi!
 
Stolen cars syndicate man has jail sentence doubled

A Tanzanian man convicted in the UK of masterminding a stolen cars export racket has had his jail sentence more than doubled, on the day he was due to be released.

Mponjoli Malakasuka was due to be freed from a three-and-a-half year sentence for his part in a 1.5 million pounds sterling (approx. 3.3bn/-) scam to export prestige motors from the UK to Tanzania and elsewhere.

But British police, trying to claw back the money he made from the crime, took the case back to court for an enforcement hearing under the Proceeds of Crime Act.

As a result, the 36-year-old who was residing in Aster Way, Yew Tree Estate in Walsall, UK, was handed an additional four years in jail unless he pays up within 28 days.

A judge at a previous hearing made the order on the basis that Malakasuka had hidden assets in Tanzania, and that he should pay out ?828,000 (approx. 1.8bn/-).

An enforcement hearing on Tuesday this week ruled that he had not complied with the order and imposed the further four years in prison as a default.

Malakasuka was originally sentenced for conspiracy to steal after he hired cars for companies before reporting them stolen and shipping them to Tanzania.

Even if the convicted fraudster, who was sentenced for conspiracy to steal, serves the extra four years, the debt will remain.

Malakasuka, whose gang operated across the UK from the West Midlands to London, could now face deportation on his release.

British detective inspector Andy Bannister, of the West Midlands Police financial investigation team, said: "Throughout the process, Malakasuka has sought to thwart the confiscation investigation by not complying.?

"This is a clear message that the police and the criminal justice system will not allow individuals to retain the benefit of their crime without suffering severe consequences. The public rightly expects criminals not to be able to benefit from crime, and this is another example of how we are making sure they can't," Bannister added.

Informed sources have told THISDAY that Malakasuka also has key information on the looting of funds from the Bank of Tanzania's external payment arrears (EPA) account in 2005/06.

The sources familiar with Malakasuka's alleged role in the EPA scandal say he holds ?deep secrets? related to the scam, including how much of the money siphoned out of the EPA account actually exchanged hands.

Investigators into the EPA scandal have expressed particular interest in his alleged role in the matter between 2004 and 2007, when he resided in the UK after leaving the US.

British police are understood to have discovered Malakasuka's connection to the EPA scam while probing his finances. They discovered that he controlled 71 different bank accounts with more than 1.25 million British pounds (approx. 2.5bn/-) in cash.

He was jailed for three-and-a-half years by a UK court last July, after pleading guilty to conspiracy to steal.

 
..... tuwape muda!


Kwi kwi kwi
Invisible be serious

Julius,

Dr Ponjo ni hatari sana , alishafanyiza sana hapo Dallas kabla ya kurudishwa nyumbani . Trust me $ 350, 000 kwa dokta ni change tuu ! Huyu jamaa atatoka jela na atarudi kwenye fani yake...

Ngabu, hizo pesa ni £ 350,000 na sio dola. Kijana anatisha
 
£350000= ni nyingi sana kwa Uingereza.Hata Wanigeria criminals hawawezi kuwa nazo hizo.Lazima hela za EPA zimo humo.Tufungue macho wa TZ!
 
naona wamemtoa mponjoli kwenye kipindi cha crime watch link hiyo hapo.
http://www.bbc.co.uk/programmes/b00qsv4b


Naangalia hii kwenye BBC iplayer.Kwa mara ya kwanza nimeona fresh pic ya Fraudster Malakasuka ,huyu Mtz mwenzetu.
Amechafua jina la nchi ,maana watu wengi UK,wako anxious sana na wizi wa magari.

Mpongoli nafikiri anareflect serikali na CCM ya sasa.WIZI WIZI.
Maana watu wanaonunua magari haya ,lazima ni beneficiary ya dirty deals za EPA,
Meremeta,Richmond etc etc.

Sasa Tanzania tuko at par with Nigerians kwenye criminal circles nchini UK.
I cry for my beloved country.We at mess now.
 
Alafu jamaa alisoma seminary, Ni padre inaonekana Bible haikumsaidia kabisa!!!!

Padre? hivi huyu Dr. Mponjoli ni nani hasa? asili yake wapi, mkoa gani, wilaya gani, elimu yake ikoje, ana umri gani? alifikaje UK? Kwa ufupi CV yake ikoje naona maelezo yake yako vipande vipande.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom