huyu mr mponjoli ndiye mfandili mkubwa wa JOSEPH MBILINYI au mr 2. mbunge wa m,beya mjini . na ndiye yeye alimpeleka marekani kwa mara ya kwanza. na wakawa wanaishi na kupiga deal pamoja. na baada ya mponjoli kukamatwa na kufungwa kule marekani ndio ikabidi mr 2 arudi dar na baadae ndio akawa mbunge wa chadema . so deal hizo zote mr 2 anazijua vizuri . na ndio zilizomtoa hadi kumfikisha hapo alipo
Acha uongo wewe....Mr. 2 alikuwa hafanyti naye deals zozote sema alikuwa mwenyeji wake coz wako ni washkaji way back bongo