Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Hili ndio swali ninalojiuliza kwa sasa baada ya Dr.Mpango kueleza hali halisi ya mambo ingawa ni wazi hotuba yake pia imeacha maswali mengi vichwani mwa watu.

Je, gazeti hili litamuacha Dr.Mpango bila kumuandika vibaya?

Je, halitaanza kumtuhumu kuwa anatumika na wapinzani au bwana Maembe?

Je, litakwepa kumtuhumu kuuwa anamuhujumu bwana mkubwa?

Mbali na gazeti hili, watu ndani ya chama chake nao hawataanza kumuandama kuwa anatumika?

Tusubiri.
 
Kanuni namba nane ya mwanatanu inasema nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko, walau kaeleza ukweli mchungu bila kuambizana ukweli tunakwenda kuangamia wote, the economy of this country is sinking.
 
Kichwa cha habari cha gazeti lile pendwa.
DR MPANGO SIO RAIA WA TANZANIA ALIZALIWA NCHI JIRANI ALITEKWA NA WAZUNGU NA KULETWA TANZANIA.


ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kwa sasa baada ya Dr.Mpango kueleza hali halisi ya mambo ingawa ni wazi hotuba yake pia imeacha maswali mengi vichwani mwa watu.

Je, gazeti hili litamuacha Dr.Mpango bila kumuandika vibaya?

Je, halitaanza kumtuhumu kuwa anatumika na wapinzani au bwana Maembe?

Je, litakwepa kumtuhumu kuuwa anamuhujumu bwana mkubwa?

Mbali na gazeti hili, watu ndani ya chama chake nao hawataanza kumuandama kuwa anatumika?

Tusubiri.
Headind isome tanzanite sio tanzania
 
Of course hilo ni swali ambalo wengi tunajiuliza lakini nikiwaza yaliyotokea pale UDSM kwenye lile kongamano, ndio kabisa maswali yanazidi kuongezeka
Mnatumia nguvu kubwa kwenye masuala ambayo hayna maana. Ni uongo mtupu, mkiambiwa muonyeshe mahali kwenye hotuba ile panapoonyesha hayo mabaya aliyoyasema mnakimbia.
 
Wacha uanguke ccm iache kuiba kura, tutaijenga nchi ccm ikitoka madarakani. Zile sifa zilizotoa kiburi cha kunyanyasa na kuua wengine kimeisha rasmi.
Msitutie umaskini na vita zenu na CCM. Nitajie nchi mmoja iliojengeka baada ya kudhoofika na vikwazo vya nje? Nyie mnadhani sanction ni kama kubadilisha nepi za watoto wenu. Usione Iran na NK wanalia ukadhani ni utani. Siku ukila mlo mmoja ndo utaelewa Kichwa maji wewe.
 
Mnatumia nguvu kubwa kwenye masuala ambayo hayna maana. Ni uongo mtupu, mkiambiwa muonyeshe mahali kwenye hotuba ile panapoonyesha hayo mabaya aliyoyasema mnakimbia.
Unatetea nini wewe? Huoni jamaa anavyoiangusha nchi? Au wewe ni miongoni wa wale wachache mnaobugia na kishindilia miugali ya bure at tax payers expenses na kuvimbiwa matumbo
 
Wapunguze kodi, taasisi na bodi za udhibiti bidhaa, Ningependa kuwaambia tena watu wanaofurahia pale uchumi unaposhuka kisa CCM inaumbuka kwamba umaskini ukizidi Tanzania hauchagui mwanachama wa CCM pekee.
Ni bora iwe hivyo..na kuna mpango wa kuwahamasisha watu wapunguze kutumia hela kwenye matumizi yasiyo ya lazima..jiwe lazima ataisoma namba yeye..Viwanda vya bia na soft drinks vitafungwa..makampuni ya simu yatajuta kuwekeza..pesa kwenye kibubu bank zinakufa....mabasi ya mikoani yatasafiri matupu.wenye magari binafsi wataweka mafuta kidogo kwa ajili ya safari muhimu tu..nguo hakuna kununua mara kwa mara nk...Jiwe atahutubia Taifa kazi imemshinda..wote semeni AMEN
 
4. It is high time now to unite this Nation! Kaa na Wote, hususani wale unaodhani na kuwaona Ni maadui, ondoeni sanda usoni mwa kila mmoja, ili muone Jukumu lenu kwa Taifa badala ya Vyama. Jadilini Kama nchi, nchi hii Ni ya Wote, tuvumiliane!

Kwa nini usingeiandika hii kwa wino wa dhahabu aisee! Au hata kui'bold' tu ionekane!

Unashauri mambo mazuri. Taabu ni moja ambayo wewe na wengi hawataki kuyaamini.

Huyo unayemshauri amekwishaonyesha siku nyingi kwamba hayo unayomshauri hana uwezo wa kuyafanya kwa sababu tu ya hulka aliyo nayo.

Watu tunazaliwa na kukua na kuwa na tabia zetu wenyewe. Baadhi ya tabia hizo tunaziokota kwa jamii tunayokulia. Tabia hizi za kuokota kama sio nzuri zinarekebishika. Lakini kuna baadhi ya tabia ni kama sura anayokuwa nayo mtu, ni yake pekee haifanani na ya mtu mwingine. Hiyo huwezi kuirekebisha kwa njia yoyote.

Sasa sijui kama utanielewa? Mimi pia napenda sana haya uliyoyaweka hapa, lakini kwa kusoma alama za mhusika, uwezo wa kufanya hivyo hana. Huenda ndio maana kila mara anaomba kuombewa , maana anajua sio rahisi kwake kubadilika kwa juhudi zake mwenyewe.

Hiyo namba moja (1) hukustahili kuiweka hapo. Wewe 'unaunganisha' halafu 'utenganishe'?
 
Kilchotokea baada ya sera ya ukinunuwa dai risiti na ukiuza toa risiti, usumbufu wanaoupata

Huu mfano wako uliotoa hapa ni moja ya mambo ambayo yangempa Magufuli hadhi kubwa kama yangetekelezwa vizuri na kama angeachana na siasa za chuki kwa maoni yangu.

Wengine wanaweza kukwambia kuwa kama wewe unalalamika juu ya kuminywa na kufaidika huko, wewe ungewekwa kwenye kundi la wapigaji; nami ningekubaliana nao.
 
Back
Top Bottom