KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,186
Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Hakuzungumzia viwanda 100 kila mkoa ifikapo 2020? Je, watalii na ndege zetu kuwaleta wasiokuwa mashoga?
Hayo yote aliyoyasema hapo Dr. Mpango hayakuwa na lazima ya kuwa yalivyo kama njia zao za kuleta mabadiliko zingekuwa ni za kutumia akili kuliko mabavu.
Tena wananchi wengi wangeelewa vizuri sana maana ya mipango yao hiyo. Sote tulisikia masifa mengi ya watu wa nje yalivyokuwa yanamiminika, hata wengine wakitamani Magufuli akawe rais wao! Tukawaulize kama mpango huo bado wanao.
Nadhani masifa haya ndiyo yaliyotuletea matatizo yalipoingia vichwani mwao na kusahau maana ya utawala bora.
Huu ni mwanzo. Nchi yetu itatikisika sana miaka hii michache ijayo.