Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Kanuni namba nane ya mwanatanu inasema nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko, walau kaeleza ukweli mchungu bila kuambizana ukweli tunakwenda kuangamia wote, the economy of this country is sinking.
Mpango nilimuheshimu sana alipojieleza issue ya Makonda kwenye kodi ya makontena.

Mpaka hapo nilikuwa namchukulia kuwa just another Magufuli stooge. Ila pale nilipomsikiliza nikaona kama kuna matumaini ya japo kidogo ya mtu mwenye professional standards na respect for intellectual honesty.

Dr. Mpango ana mengi ya kujibu, na pengine kakosea mengi.

Ila kuna sehemu moja kajionesha kwamba ni mtu wa integrity kuliko siasa za kujipendekeza.

Jinsi alivyo deal na Makonda.

Tatizo likaja kuonekana wazi kwamba hata washauri wa rais wanapofanya maamuzi sahihi, rais anazembea.

Pale Dr. Mpango alikuwa presidential kuliko Magufuli, alimu expose Magufuli kwamba ukali wote wa Magufuli ni kwa watu fulani tu.

Wwatu kama Dr. Mpango wakimpa cards Magufuli acheze sawa, Magufuli analeta siasa za kuwaogopa watu fulani.

Pale nilimkubali sana Dr. Mpango kusema ukweli.

Na nikaweka points kwamba kumbe inawezekana huyu mtu akasimamia ukweli.

Na hizi habari za kusema uchumi unafanya vibaya nimekuwa nikizisema kitambo hapa JF.

Dr. Mpango angeendelea kuimba uchumi unakua, ningemuona mnafiki.

Ila karudi ku i redeem serikali kwamba kuna watu wanaweza kusema ukweli mchungu, hata katika context ya serikali, ambayo, ukweli ni jinai.
 
Unatetea nini wewe? Huoni jamaa anavyoiangusha nchi? Au wewe ni miongoni wa wale wachache mnaobugia na kishindilia miugali ya bure at tax payers expenses na kuvimbiwa matumbo
Anaiangusha nchi kivipi?
Nini kilichopanda bei, mpaka mseme maisha magumu? maisha magumu everywhere, get a second job, kampuni za ulinzi zinahitaji watu, mbona diaspora tunalinda, tuna kazi mbili?
Hayo ndiyo maisha.
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Muda si mrefu Mkuu tutaongea Lugha moja..
Pumbafff sana CCM.
 
Machinga anamaanisha serikali haikusanyi pesa kwa wale wafanyao biashara holela...
Ok, serikali ina bank on wamachinga kukusanya mapato ya kuendesha nchi? Nyerre alisema corrupt governments hazikusanyi kodi, zinabaki kukimbizana na watu wadogo wadogo barabarani!
 
Anaiangusha nchi kivipi?
Nini kilichopanda bei, mpaka mseme maisha magumu? maisha magumu everywhere, get a second job, kampuni za ulinzi zinahitaji watu, mbona diaspora tunalinda, tuna kazi mbili?
Hayo ndiyo maisha.

'Tone' ya uwasiliashi naipenda kweli. Maudhui, taabu tupu!

Sasa sina mashaka tena, nishakusoma vizuri na kukuelewa.
 
Of course hilo ni swali ambalo wengi tunajiuliza lakini nikiwaza yaliyotokea pale UDSM kwenye lile kongamano, ndio kabisa maswali yanazidi kuongezeka
Wale wasomi wa UDSM, ni makasuku, wakiongozwa na Prof Kabudi.
Ingalau Dr Mpango kwa kuusema ukweli halisi ulivyo ametetea usomi wake.
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Aache unafiki, uchumi upo vizuri mno
 
Mtu amezaliwa nchi ya jirani mtu amekulia bush mtu hana hulka ya uongozi hapo unategemea vitu kwenda sawa?
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Kumbe serikali imeshindwa kuongeza mishahara? Nilijua inakamilisha kwanza miradi muhimu ya maendeleo kama alivyoeleza mkuu wa nchi siku ya Mei Mosi.
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kwa sasa baada ya Dr.Mpango kueleza hali halisi ya mambo ingawa ni wazi hotuba yake pia imeacha maswali mengi vichwani mwa watu.

Je, gazeti hili litamuacha Dr.Mpango bila kumuandika vibaya?

Je, halitaanza kumtuhumu kuwa anatumika na wapinzani au bwana Maembe?

Je, litakwepa kumtuhumu kuuwa anamuhujumu bwana mkubwa?

Mbali na gazeti hili, watu ndani ya chama chake nao hawataanza kumuandama kuwa anatumika?

Tusubiri.
Nchi imejaa hofu.
Yaani hata kutaja hilo gazeti unaogopa
 
Kuna kitu kinaitwa ''AN ENTREPRENEUR AND HIS ENVIRONMENT'' hakija kaa sawa Kwenye uchumi wa Tanzania kwenye Kitabu changu ninacho kiandika nimejaribu kuelezea vizuri
Nilijua umeelezea kumbe umejaribu kuelezea, napenda sana kusoma vitabu ila si vya wanao jaribu
 
Back
Top Bottom