Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Upo serious ? Unajua maana ya odds au unahisi zile ni namba tu unaongeza na kupunguza ... Soma japo kidogo "probability" kwenye mathematics utaelewa.
mkuu we na ma probability yako hayo sijui ma linear equations si tuko wote huku mavumbini tunasaga lami..!!?anyways sikua serious kiivyo...!!
 
Wia ini ze raiti traki.

Watumishi wananeemeka Sana Kwa kupata haki zao za kupanda madaraja na mishahar
 
Nisamehe mkuu maana nimekuja rudia comment yako kumbe uko vice versa
Ni muhimu kustick kwenye kauli ya Rais kwa sasa ili twende pamoja. Kumbuka makinikia yapo bandarini na tukiyauza yale tutapata mazilioni. Juzi rais amerudia kusema yule profesa aliyesema makinikia yna dhahabu asilimia 0.2 tu alimtumbua! tutulize boli.
 
aiseee !!! unatisha mkuu , hata kama mama yako ni kiongozi wa ccm haiwezekani wewe peke yako kuukataa ukweli
Mkuu nimesikiliza hotuba na KUISOMA PIA.

1541618651264.png

http://www.mof.go.tz/docs/HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO 6.11.2018.pdf

Ikiwezekana, post video, na hotuba ya maandishi halafu mtu yeyote anionyeshe paliposemwa uchumi umeporomoka.
 
Sio lazima aseme,nenda tu kitaani ndio utajuwa wafanya biashara na wanachi wapo hali gani.
Ingekuwa mada ni kitaani maisha magumu, sawa. Ila mada ni Waziri Mpango kukiri hali ya uchumi imeporomoka. Ndiyo maana tunaulizia ushahidi. Hayo mambo ya kitaa, kuna watu wengi tu bado wanajivinjari mitaani, usijumlishe.
 
Hivi uchumi ukiporomoka outcome yake unaiona wapi kama sio kitaani kwa wananchi?au unadhani jiwe na yeye atakuwa anatembea kwenye vumbi lapa moja imekatika?
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Nice
 
Nakuwekea hotuba yote ya Waziri Mpango ili ubandue vipande unavyoona vinafaa kuongeza nyama kwenye hoja zako hizoView attachment Hotuba ya Dr Mpango Bungeni.doc
 
Back
Top Bottom