Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,795
- 287,769
- Thread starter
- #201
Kuanzia dakika ngapi?
sina kumbukumbu mkuu , lakini hiki nilichokiandika pale juu amekiongea kwa kutiririka , sina muda mzuri wa kucheki ilikuwa dk ya ngapi , ila ukifuatilia video hii utaona , inataka time kidogo , kwa muda huu nahesabu hela ofisini .
NB: KUANZIA DK YA 30 MKUU .