Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Kwa taarifa yako magu ndio tatizo la uchumi wetu. Hao wengine unaowasema ni wale aliowashikia akili.
Pia unweza ukawa sahihi kujenga kiwanja kikubwa kwa mujibu vyombo vya habari ni uhujumu halali wa uchumi.
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Hakuna awamu toka Nyerere hadi Kikwete iliyowahi kuchezesha kamari non stop ila hii ya Magu. Huu ni ushahidi wa serikali kuwa na hali mbaya hali iliyopelekea tra kuwekeza zaidi kwenye kamari.
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Wia ini ze raiti traki uchumi unapaa karibu tutaanza kutoa misaada hata kwa marekanj🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Toka Mpango aingie hiyo ofisi kila mwaka anataja hii changamoto, wakati mwingine unajiuliza wizara yote ya fedha hasa TRA wameshindwa kabisa kupata jibu la HOW to tax the informal sector! hizo ofisi wanakaa kufanya nini??? na kwa kweli eneo pekee lililobaki kuchangia maendeleo kupitia kodi ni sekta isiyo rasmi..nilitarajia kuona nguvu nyingi inatumika kupata JIBU..maana hata hilo la vitambulisho vya wamachinga alielisema ni Rais..nadhani hatuna watu (problem Solvers) kwenye serikali wako bize na routinal duties tu!! kazi zinazohitaji kufikiri HAWAWEZI! sawa ngoja serikali ifilisike wakae kutizamana ndio watatia akili kutafuta majibu labda!
 
Toka Mpango aingie hiyo ofisi kila mwaka anataja hii changamoto, wakati mwingine unajiuliza wizara yote ya fedha hasa TRA wameshindwa kabisa kupata jibu la HOW to tax the informal sector! hizo ofisi wanakaa kufanya nini??? na kwa kweli eneo pekee lililobaki kuchangia maendeleo kupitia kodi ni sekta isiyo rasmi..nilitarajia kuona nguvu nyingi inatumika kupata JIBU..maana hata hilo la vitambulisho vya wamachinga alielisema ni Rais..nadhani hatuna watu (problem Solvers) kwenye serikali wako bize na routinal duties tu!! kazi zinazohitaji kufikiri HAWAWEZI! sawa ngoja serikali ifirisike wakae kutizamana ndio watatia akili kutafuta majibu labda!
wako busy na wapinzani
 
Magufuli angekuwa raisi mwenye sifa....ila kaenda kujichanganya kwa huyu antihomo
Sisi binadamu ni viumbe wa ajabu sana hata kama magufuli angefanya vizur bado pangehitajika kukitoa chama madarakani ujue ccm imechokwa hii toka 1995 inaishi kibabe kwa hiyo hata kifanyike kitu cha maana bado itakuwa bure raia wanashauku ya kutaka kupata kitu kipya wamechoka kisikia kila siku jambo moja wapingaji hawatapungua watazid kuongezeka ndo mana ccm inapata shida sana ninachokwambia nina uhakika nacho mfano hata ujeruman iliwah tokea watu walisema hatupend chama na viongoz wake tumechoka kuwasikia na kuona sura zao tunahitaj watu wapya ila kila kitu kilikuwa poa.
 
Toka Mpango aingie hiyo ofisi kila mwaka anataja hii changamoto, wakati mwingine unajiuliza wizara yote ya fedha hasa TRA wameshindwa kabisa kupata jibu la HOW to tax the informal sector! hizo ofisi wanakaa kufanya nini??? na kwa kweli eneo pekee lililobaki kuchangia maendeleo kupitia kodi ni sekta isiyo rasmi..nilitarajia kuona nguvu nyingi inatumika kupata JIBU..maana hata hilo la vitambulisho vya wamachinga alielisema ni Rais..nadhani hatuna watu (problem Solvers) kwenye serikali wako bize na routinal duties tu!! kazi zinazohitaji kufikiri HAWAWEZI! sawa ngoja serikali ifilisike wakae kutizamana ndio watatia akili kutafuta majibu labda!
umeandika kwa uchungu sana !
 
Kila siku tunaambiwa uchumi unakua kwa kasi ya ajabu

Hahahahaha!!!

Tz ya viwanda

Banana na wanyonge, wamachinga walipe kodi

Shubaaa.....
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
 
Kanuni ya no ni lzm wote msoma no na MWALIMU wa no lzm muisome ili somo lieleweke,kila kitu chali,madini chali,Kilimo chali,viwanda vimebaki kwenye makaratasi, uchumi wa kati umebaki majukwaani tu.huwezi kuukata mti ukupao kivuli ili kuukomoa
 
Back
Top Bottom