Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Nimeamka asubuhi ya Leo na katika mtandao mmoja nikakutana na Ujumbe Murua wa Mtumishi wa Mungu TD Jakes. Ujumbe huo kwa tafsiri isiyo Rasmi Ni "Uongozi Mzuri huunganisha watu Wote, na kiongozi Mzuri huangalia na kupigania lile jema linalowaunganisha watu wake kuliko lile linalowagawa"!
Mh. Rais, najua unapita humu mara chache. Naomba unisikilize haya machache hata Kama Ni upuuzi.
1. Umezungukwa na Watu wasiopenda kukueleza the real situation. Ni watu wasiopenda kukupa pressure ili nao wasipate pressure. Ni watu wanaofaidika na utawala wako. Kamwe hawataweza kukushauri ipasavyo endapo Maslahi Yao yanaweza kuwa shakani.
2. You were not elected to make war but PEACE. Nakuomba, achana na waliowahi kukuudhi au kukudharau, stay focused, Mungu amekupa dhamana, fanya kile utakachojaaliwa, vingine waachie wengine watamalizia. Hata ukipewa miaka 100, kamwe hutakaa ukamilishe hayo unayowaza. Serikalini sii mahali pa kupigana na waliowahi kupigana nawe, Ni mahali pa kuwatumikia Watanzania.
3. Achana na Watu WANAOPENDA kukupamba masaa yote, na pia achana na Tabia ya kupenda kusifiwa na kudhani upo sahihi 100%. Mwanadamu aliezaliwa na Mwanamke kamwe hawezi kuwa mkamilifu. Watu wanaofanya kazi ya mapambio watakuzinga usione shimo lililopo mbele na utatumbukia!
4. It is high time now to unite this Nation! Kaa na Wote, hususani wale unaodhani na kuwaona Ni maadui, ondoeni sanda usoni mwa kila mmoja, ili muone Jukumu lenu kwa Taifa badala ya Vyama. Jadilini Kama nchi, nchi hii Ni ya Wote, tuvumiliane!
5. Wapo watu kwa Nia njema kabisa wanahitaji kukusaidia hasa katika Uchumi wa nchi hii, Walimsaidia Mzee Mkapa, wametaka kukusaidia ila Sina uhakika Kama ulipata barua zao au niliowataja hapo Namba 1 walizuia. Hebu watafute kina Mwakasege ukae nao hata for half an hour, it won't be the same again. Ita jopo la Wachumi wape task watafute na wakubaliane njia nzuri ya kuendesha Uchumi wa nchi hii Kisha ufanyie kazi.

Don't make War, Make Peace. Unite them, don't divide them, You need them all!

H.E Mr.President, I'm sorry if there is any part of my post which sounds disrespectful, it wasn't my intention.
 
Kuna msemo wa Kiswahili unasema, " alalae usimuamshe..."

Unajuwa kipindi cha nyuma pre 2015 wafanya biashara wa Uganda, Zambia na nchi yengine za jirani ikiwemo mpaka Zimbabwe walikuwa wanakuja sana Tanzania na kuitegemea katika kufanya biashara zao. Kwa wao tulikuwa ni "half China"

Kilchotokea baada ya sera ya ukinunuwa dai risiti na ukiuza toa risiti, usumbufu wanaoupata na kufilisiwa mali zao in some cases imewafanya wahamie Kenya na baya zaidi Waganda imewabidi waamke na kuanza kufanya direct import kutoka India na China, wakati zamani walikuwa hawana akili hizo. They say, desperate situations result in desperate measures.

Kwa maana hiyo, wateja hawa wote tunawakosa masokoni na matokeo yake ni kukosa mapato na kuanguka kwa sectors mbali mbali zilizokuwa zinategemea hawa wateja kuanzia usafiri, hotels and catering, wachukuzi, madukani na madalali wao.

Kwa ufupi hali ni mbaya sana madukani mpaka Mungu wa ukweli hapendi wakati ndio kwanza tunaambiwa uchumi unakuwa. Waswahili.wanasema, "Mficha maradhi..."
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .[/QUOTE Naishauri serekali iwasikilize zitto na bashe watumie mawazo yao waache ubishi nakutunisha misuli kuna vitu vinahitaji akili sio maguvu na kufokafola
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Hakika
 
Dr Mpango ni muongo,anamgombanisha Rais na wananchi atumbuliwe haraka sana,hali ya uchumi ni nzuri mno,Rais kafanya kazi nzuri sana kuinua uchumi.
By jingalao,Barbarosa,magonjwa mtambuka,muda wote,Rutashoborwa,stroke and other Lumumba crazies.
Haaaahaaaaa
 
Ni faida asilimia ngapi kwenye bidhaa mjasiriamali anatakiwa kupata ambayo ni faida nzuri ?
200% kwa perishable produce and high fashionable products
100% kwa expired products and low fashionable products
50% kwa non expired non fashionable products.

Hiyo ni kwa retail
 
Nimeamka asubuhi ya Leo na katika mtandao mmoja nikakutana na Ujumbe Murua wa Mtumishi wa Mungu TD Jakes. Ujumbe huo kwa tafsiri isiyo Rasmi Ni "Uongozi Mzuri huunganisha watu Wote, na kiongozi Mzuri huangalia na kupigania lile jema linalowaunganisha watu wake kuliko lile linalowagawa"!
Mh. Rais, najua unapita humu mara chache. Naomba unisikilize haya machache hata Kama Ni upuuzi.
1. Umezungukwa na Watu wasiopenda kukueleza the real situation. Ni watu wasiopenda kukupa pressure ili nao wasipate pressure. Ni watu wanaofaidika na utawala wako. Kamwe hawataweza kukushauri ipasavyo endapo Maslahi Yao yanaweza kuwa shakani.
2. You were not elected to make war but PEACE. Nakuomba, achana na waliowahi kukuudhi au kukudharau, stay focused, Mungu amekupa dhamana, fanya kile utakachojaaliwa, vingine waachie wengine watamalizia. Hata ukipewa miaka 100, kamwe hutakaa ukamilishe hayo unayowaza. Serikalini sii mahali pa kupigana na waliowahi kupigana nawe, Ni mahali pa kuwatumikia Watanzania.
3. Achana na Watu WANAOPENDA kukupamba masaa yote, na pia achana na Tabia ya kupenda kusifiwa na kudhani upo sahihi 100%. Mwanadamu aliezaliwa na Mwanamke kamwe hawezi kuwa mkamilifu. Watu wanaofanya kazi ya mapambio watakuzinga usione shimo lililopo mbele na utatumbukia!
4. It is high time now to unite this Nation! Kaa na Wote, hususani wale unaodhani na kuwaona Ni maadui, ondoeni sanda usoni mwa kila mmoja, ili muone Jukumu lenu kwa Taifa badala ya Vyama. Jadilini Kama nchi, nchi hii Ni ya Wote, tuvumiliane!
5. Wapo watu kwa Nia njema kabisa wanahitaji kukusaidia hasa katika Uchumi wa nchi hii, Walimsaidia Mzee Mkapa, wametaka kukusaidia ila Sina uhakika Kama ulipata barua zao au niliowataja hapo Namba 1 walizuia. Hebu watafute kina Mwakasege ukae nao hata for half an hour, it won't be the same again. Ita jopo la Wachumi wape task watafute na wakubaliane njia nzuri ya kuendesha Uchumi wa nchi hii Kisha ufanyie kazi.

Don't make War, Make Peace. Unite them, don't divide them, You need them all!

H.E Mr.President, I'm sorry if there is any part of my post which sounds disrespectful, it wasn't my intention.
Umeongea kwa uchungu bro.....lakini ndio mtu wenu, proudly sikumpa kura kaathiri maisha ya wengi sana.....tena amewaathiri watu wachache ambao ni muhimu, mbaya zaidi katuamini vijana lakini ndio tunaharibu zaidi, umekuwa utawala ambao wengine peponi wengine bustani ya eden
 
Sasa sababu ananzijua kwanini asitatue
Hata uzitaja hizo sababu za kudorora kwa uchumi kwake ni kujitoa mhanga tu maana alichokisema ni kile ambacho jiwe lisingependa kisemwe. Hawezi kurekebisha chochote isipokuwa kwa neno la 'mtukufu' wa magogoni!
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Kweli mkuu hujaongeza mishahara kwa watumishi wa umma unategemea nini
 
B
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Bashe na zitto wanatiba ya uchumi wasikilizwe tuache kutumia ukali kufokafoka hakusaidii
 
Kuna kitu kinaitwa ''AN ENTREPRENEUR AND HIS ENVIRONMENT'' hakija kaa sawa Kwenye uchumi wa Tanzania kwenye Kitabu changu ninacho kiandika nimejaribu kuelezea vizuri
Shusha nondo hata kdogo mkuu!
Maana napenda haya mambo ya entrepreneurship hatari!
 
Back
Top Bottom