Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Dokta Mpango atumbuliwe haraka sana hawezi kupingana na takwimu za dokta Abbas,Prof.Mukandara,Prof. Qorro,Prof.Mkumbo na wasomi wa hali ya juu duniani waliosema juzi pale UDSM kuwa uchumi unakua kwa kasi kubwa muno na tunatakiwa tutembee vifua mbere.
Ina maana yeye kasoma chuo gani,cha kata?
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .

Mmh nikikumbuka yaliyojiri kwenye kongamano la Chuo kikuu, pitia tathminiya miaka 3 ya Msemaji wa serikali na hii kauli ya dr Mpango nabaki kinywa wazi!?
Na kweli YAJAYO YANATATANISHA!!!
 
Dr Mpango ni muongo,anamgombanisha Rais na wananchi atumbuliwe haraka sana,hali ya uchumi ni nzuri mno,Rais kafanya kazi nzuri sana kuinua uchumi.
By jingalao,Barbarosa,magonjwa mtambuka,muda wote,Rutashoborwa,stroke and other Lumumba crazies.
Raia mzalendo wa nchi ya ulimwengu wa tatu
 
Dokta Mpango atumbuliwe haraka sana hawezi kupingana na takwimu za dokta Abbas,Prof.Mukandara,Prof. Qorro,Prof.Mkumbo na wasomi wa hali ya juu duniani waliosema juzi pale UDSM kuwa uchumi unakua kwa kasi kubwa muno na tunatakiwa tutembee vifua mbere.
Ina maana yeye kasoma chuo gani,cha kata?

Inawezekana ni tatizo la coordination, hakuna link shauri ya hofu kuu inayotawala NJI hii kwa sasa!!!
 
Mmh nikikumbuka yaliyojiri kwenye kongamano la Chuo kikuu, pitia tathminiya miaka 3 ya Msemaji wa serikali na hii kauli ya dr Mpango nabaki kinywa wazi!?
Na kweli YAJAYO YANATATANISHA!!!
Yatatanishe mara ngapi?
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Atwambie walilozipeleka 1.5trn mafisadi wakubwa nyie mnao kuficha kwenye kivuli cha uzalendo fake
 
Back
Top Bottom