Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Mtatuambia ukweli tuu, mara uchumi umekuwa ktk rate ya 6 mara 7.
Haya 2020 haipo mbali.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.


Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
 
Back
Top Bottom