Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

260461_413251362064814_805574447_n[1].jpg
baada ya ushindi tunakula bata
 
Mwigulu Nchemba anatakiwa avikwe bendera ya CCM halafu atembee kama mbwa..
 
Hapa anafikiria posho na pesa ya mfuko wa jimbo ndio iko njiani itoke mwisho wa mwezi, hamna kitu. Namshangaa Mukama haogopi magaidi wa Chadema walioingizwa kutoka Afghanstan?

Halafu hilo pambe lililosimama nyuma ya Mukama ndio lina hasira kuliko Kafumu mwenyewe, maana lilikuwa limeshajiandaa kunywa bia za bure baada ya Ushindi wa Kafumu na mbaya zaidi ile ajila ya mpambe kupiga mizinga ndio imekwisha rasmi.




 
Kauli ya Lema tafadhali na hili anasemaje? nani aliyetoa maelekezo ya kutenguliwa ubunge wa KAFUMU?

Kwa jinsi livyokuwa imekaa vibaya haikuweza kuwa rahisi kwa sane person apindishe.Bastola, vitisho vy akunyimwa pesa za maendeleo, mapanga Guest house, kifo cha mwanachama, kurushia risasi pakiwepo akina Ester Bulaya..ni Ngumu.Pia kuna Prof...(aka Mzee wa Kiswahili,Aka.Mzee wa nyumba za umma) SAFARI.

On contrary ushahidi wa namna hiyo haukuwepo kwa Lema.
 
Aisee aliyeahidi kunywa sumu sio Mwigulu, ni Lusinde. Mwigulu yeye ana kesi nyingine tu ya kulipa fidia kwa kulala na mke wa ustadh (bila shaka katika kulala alimvua hijab !!)

Itakuwa alimsomea albadri ndo mana jamaa anatapatapa kama paka aliye na mwiba wa samaki kooni. nlikuwa najiuliuza kwanini huyu mchumi wa darasa la kwanza ni unconsious nshapata jibu.
my take:
jamani tusipende kuchezea wake wa maostazi cheki kijana mwenzetu anavyotoka povu
 
hukumu ya igunga leo..kashinje vs kafumu,

....kwakweli mpaka sasa hivi mbunge wa ccm ameshindwa kumleta shahidi ambaye angetoa taswira njema kwa ushindi wa kafumu.

Kwani bwana magufuli, ambaye yeye ametajwa kwenye kesi mara kadhaa; kwamba alikuwa akitoa ahadi ambazo alikuwa akitoa mbele ya jukwaa.. Kwa hali hiyo mgombea wa chadema anasema alikuwa anatoa kama nani? Waziri au mpiga debe wa ccm?

Kwakweli kesi imekaa patamu sana...kama haki ikitendeka ...basi jimbo tutalajie kuwa wazi katika hukumu ya leo..!!!

=======
updates
=======

magari ya polisi, gari la maji washa, naona ndo yanawasili hapa mahakamani, ila bado hatujaingia ndani ya ukumbi wa mahakama, pia watu bado si wengi sana.


- mahakama imemvua ubunge dr. Kafumu!



viva cdm!
 
Leo siwaoni kina Rejao, Ritz, Nape siku hizi kahama JF au naye kaomba aondolewe hisa zake kama Le mutuz, du kweli leo mko hoi. Poleni sana. Na mkikosea Arusha uchaguzi ukiitishwa mnandondoka chali kabisa. Na mh. Lema muda wa kugombea ukifika akigombea atashinda tena kuzidi ile ya 2010.
 
wana jf nasikia peter dalali kafumu ameangukia pua, je ni kweli? Naomba mnipe habari ya uhakika.:flypig:
 
Siku zote haki huwa haipotei na hususani unapomshirikisha mungu katika mambo yako,hii yote imesababishwa na kiburi na ujeuli wa Magufuli na kwa hili CCM na hasa Kafumu wana kila sababu ya kumuona Magufuli ni msaliti katika kesi hii. Lakini kwetu sisi ni sherehe kwa kwenda mbele peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeepooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz HUU WIMBO MZURI SANA ANAPOIMBA MWIBA NA REJAO
 
Nilitabiri haya tarehe 31 March 2012!

Mbunge wa Igunga aliyeingia kwa uchaguzi mdogo uliofanyika mwaka jana Dr. Dalaly Kafumu imeelezwa kuwa amekalia kuti kavu baada ya makamanda kadhaa wa Chadema kufungua kesi ya kupinga ushindi wake. Imeelezwa kwamba kilichopelekea kufungua kesi hiyo ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za uchaguzi ikiwemo waziri wa ujenzi (Magufuli) kutumia ofisi ya serikali kisiasa kwa kuahidi kujenga barabara na daraja kushawishi achaguliwe Dalaly, Kada wa ccm (Rage) kutishia kwa bastola na polisi kutochukua hatua zozote, Daftari la wapiga kura kuchakachuliwa na kuonesha kwamba zaidi ya makada 2000 wa cdm kuonekana wamefariki huku wakiwa hai na wenye afya njema (baadhi yao ndo hao waliofungua kesi).

Source: High Court Registry Tabora.

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/242188-dalaly-kafumu-amekalia-kuti-kavu-igunga.html

kweli ccm ni maiti anaye tembea
 
Kafumu kafumuliwaaaaaaaaaaaaaaa, kavuliwa Gamba ila kagoma kuvaa Gwandaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
There are currently 3153 users browsing this thread. (569 members and 2584 guests)

There are currently 3102 users browsing this thread. (564 members and 2538 guests). Wageni jiandikisheni ili mfaidi uhondo. It is less than 5 minutes register for free.

There are currently 2618 users browsing this thread. (543 members and 2075 guests)

There are currently 2690 users browsing this thread. (546 members and 2144 guests). Haswa JF ni jumba la habari. Wageni tunaomba mjiunge sasa ili mfaidi mengi mno ikiwa ni pamoja na kutoa mchango wa mawazo yako hapa jamvini. We love you visitors.

There are currently 2617 users browsing this thread. (538 members and 2079 guests) Ni idadi kubwa sana wanafuatilia hukumu hii

There are currently 2622 users browsing this thread. (543 members and 2079 guests)

There are currently 2293 users browsing this thread. (496 members and 1797 guests)

Nahisi hii ni REKODI

Hapana! Hizo zote hapo juu ni cha mtoto! Hii hapa chini ndiyo iliyovunja rekodi!

There are currently 3565 users browsing this thread. (557 members and 3008 guests)
 
Back
Top Bottom