Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
Daraja la MBUTU mpaka leo halijajengwa! Wakati wa kampeni za Arumeru Mashariki waliamua kutafuta Mkandarasi, wakamsaundisha ili ionekane kuwa amechukua kazi na angeanza kujenga!
Picha nyingi zikapigwa na Waandishi wa habari wakafanya kazi yao...kumbe ni KAPUTI.
UWONGO HAUDUMU!
Kandarasi ya daraja la mbutu walipewa wakandarasi wazawa (group of companies 10 plus)
Mmoja wao nilimuuzia machine ya kufanyia kazi lakini hadi sasa ameshindwa kuichukua kwa kushindwa kufanya down payment, Magufuli bado hajasomeka!
Sidhani kama sasa litajengwa baada ya hiki kichapo cha mahakama kuu.