Another bilion 20 zinaenda kuteketea tena Igunga. nadhani tubadili katiba sasa mtu akivuliwa ubunge basi anayemfuatia kwa kura nyingi ndo achukue ubunge
wana ccm walivyo mazoba na majinga yatampokea kwa shangwe akirudi igunga. sasa na nafasi aliishaiachia serikalini itabidi awe mwenyekiti wa serikali ya mtaa
There are currently 2617 users browsing this thread. (538 members and 2079 guests).......ni idadi kubwa sana wanafuatilia hukumu hii
Hivi yule ustaadh aliyemegewa mkewe na Mwigulu Nchemba alilipwa fidia yake yote ya milioni 4?
Yah yah yah i said b4 my people.......
Nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu!
![]()
Team ya Kamfumu Igunga iliwaza vema sana ambao ni Mwigulu, Lusinde, mkapa, Magufuli, Easter Bulaya, na kubwa jinga Tyson
Wapi FMES na William Malecela?