HAKI IKO WAPI?
ikiwa HUKUMU ya kuhukumu juu ya TUHUMA zilizotolewa na CHADEMA kwamba UCHAGUZI MDOGO WA IGUNGA haukuwa HURU na wa HAKI hiyo hukumu si HUKUMU HURU na ya HAKI.
yaani kabla ya HUKUMU imeshajulikana nani atashinda KESI kwani HAKIMU alionyesha wazi yuko upande wa CHADEMA na ilikuwa haihitaji degree kuliona hilo na jambo la kushangaza zaid kuna muda HAKIMU aliigeuza MAHAKAMA kuwa jukwaa la KISIASA pale alipoanza KUHUTUBIA MAHAKAMANI mpaka baadhi ya wasikilizaji kumpigia MAKOFI pia alipokuwa akitumia KAULI ya kusema mimi naona na sio SHERIA inasemaje juu ya MALALAMIKO yote 16 lakini jambo lingine la kushangaza kabisa ni kwamba katika jumla ya MALALAMIKO ya CHADEMA 16 ni malalamiko 5 tu yaliyotolewa USHAHIDI na HAKIMU akaukubali kwamba USHAHIDI una nguvu MALALAMIKO 11 yote hakukubal... i USHAHIDI uliotolewa na upande wa WALALAMIKAJI, CHADEMA.