Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Jaji atakuwa siyo mwenye postgraduate dip ya sheria,lkn pia tukubali
ukweli pamoja na kuwepo majaji wa voda fasta aliowataja kamanda Lisu,wapo pia
Majaji wa ukweli wazalendo na wanaokerwa na mwenendo wa serikali ya magamba.
 
No matter mtatoa lugha ya matusi(lusinde),No matter mtamvisha mmbwa bendera ya CDM(nchemba) but you cannot stop the whirlwind of revolt
 
Utenguzi wa ushindi wa Igunga ni ushindi wa wanyonge dhidi ya wababe wanaotumia nguvu ya wanyonge kuwaangamiza wanyonge haohao. That is what I can say at the moment.
 
Nilitabiri haya tarehe 31 March 2012!

Mbunge wa Igunga aliyeingia kwa uchaguzi mdogo uliofanyika mwaka jana Dr. Dalaly Kafumu imeelezwa kuwa amekalia kuti kavu baada ya makamanda kadhaa wa Chadema kufungua kesi ya kupinga ushindi wake. Imeelezwa kwamba kilichopelekea kufungua kesi hiyo ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za uchaguzi ikiwemo waziri wa ujenzi (Magufuli) kutumia ofisi ya serikali kisiasa kwa kuahidi kujenga barabara na daraja kushawishi achaguliwe Dalaly, Kada wa ccm (Rage) kutishia kwa bastola na polisi kutochukua hatua zozote, Daftari la wapiga kura kuchakachuliwa na kuonesha kwamba zaidi ya makada 2000 wa cdm kuonekana wamefariki huku wakiwa hai na wenye afya njema (baadhi yao ndo hao waliofungua kesi).

Source: High Court Registry Tabora.

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/242188-dalaly-kafumu-amekalia-kuti-kavu-igunga.html
 
Hii ni taarifa niliyoiona ITV mda huu, taarifa kamili zitapatikana mda si mrefu. Nathubutu kusema kua mahakama imefanya jambo la kishujaa sana, sikutegemea kama ingeweza kuwakatili hawa magamba maana mara nyingi wao ndio wamekua juu ya sheria.
kwa sasa mkuu mahakimu na majaji wameanza KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI, 2015 sio mbali sana wataweka wapi nyuso zao?.
 
first eleven aliomfumua Kamfum na kumponza Kamfumu ni-:
1. Mwigulu
2.
Lusinde
3. Nape
4. Magufuli
5.Mkapa
6.DC Hawa
7. Bakwata Igunga
8.Wassira
9. Ester Bulaya
10. aliekuwa mbunge wa Sumbawanga...
11......

huyo mkapa sidhani kama atarudia kubebeshwa gunia la misumari.!
 
Sisi tunae Mungu, wao wana MAHERA! Gari imeangukia upande wa dereva. Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!
 
Pole sana Dkt Dalaly Peter Kafumu. Sasa sijui utaenda wapi maana kule kwenye Ukamishna wa Madini tayali yupo Mhandisi Ally Samaje
 
There are currently 3102 users browsing this thread. (564 members and 2538 guests). Wageni jiandikisheni ili mfaidi uhondo. It is less than 5 minutes register for free.
 
Pole sana Dkt Dalaly Peter Kafumu. Sasa sijui utaenda wapi maana kule kwenye Ukamishna wa Madini tayali yupo Mhandisi Ally Samaje

Atajuuuuuuuuta kumfahamu churaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Ataomba yale makombo ya ubwabwa aliwahonga wapiga kura.
 
Pakajimmy,Rutashubanyuma na bila kumsahau dada yangu wa ukweli Preta leo nitakua maeneo ya Arusha Night Park AKA !!!!!! Baa kwa ushindi huu huru kutoka mahakami! Karibuni wote Samaki wa Foil na bia Barrrrrrrrrriiiiiid!

Vipi Gordons itakuwepo ?.Siku hizi nimehamia XL Pub mitaa ya Stadium unapata kinywaji na wakati huo huo unafaidi mpira bila chenga.
 
Mwigulu Nchemba umeunde mahakamani ukakate rufaa kama una jeuri cdm moto mkuli huwezi kulinganisha na vichoro vya kyengege _ makunda huwaonei huruma wanakijiji wako wanahangaika na maiskeli usiku kucha kwenda kuchota maji kijiji cha mgundu umekalia wake za watu
 
Ilikuwa wazi toka awali kwamba kwa rafu za wazi zilizochezwa na sisiem lazima jimbo liwe wazi. Kitu cha kuomba ni kuwa uchaguzi uitishwe haraka ili walau mbunge mpya apate muda wa kufanya kitu.
 
Mkuu bdo sidhani kama ni busara kucopy majina yote.Tafadhali ifute post #690 kupunguza usumbufu kwa wasomaji.
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli kafumu KAFUMULIWA
Seria ni msumeno...hukata kotekote....
 
Nimefurahi mpaka hamna!Taswira ya uchaguzi mkuu 2015!CCM wengi wataangukia pua!CDM JUU,Heko kwa Prof Safari aliyesimamia yote.
 
Back
Top Bottom