Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
Kaisahihishe,..njiwa pori wewe...
sidhani hii hukumu kama ipo sahihi
sidhani hii hukumu kama ipo sahihi
anatia huruma sana jamaa hadi anasema 'mi narudi kwenye utaalam wangu wa mambo ya madini'..hadi huruma aisee yaani jamaa sio politician kabisa kwani anajiumauma tu..teh teh
Ninasikia tetesi kuwa Mbunge wa Igunga Dk. Kafumu kapigwa chini,
je tetesi hizi ni za kweli? mwenye taarifa tafadhali!
Daaaaah huyu jamaa cjui yuko wapi
![]()
sidhani hii hukumu kama ipo sahihi
Wabongo bana ona walivyojaa hapa, na kwenye kupiga kura mngekuwa mna juhudi hizi ingekuwa powa sana.
There are currently 1886 users browsing this thread. (436 members and 1450 guests)
kuna watu ni wabunge tangu mimi sijazaliwa, mpaka sasa wao tuuuuuuuuuuuuuuuuuu. kwani hakuna wengine? Jimbo nililotoka mimi karibu kila uchaguzi anatoka mbunge mwingine ingawa ni wa chama hicho hicho[/Q
Makinda, et al
Kashavuliwa ubunge as per radio one breaknews. Alipoanza kumkataa Judge wenye macho tukajua maana yake nini. Ila tamaa za kisiasa mbaya sana. Dr. Kafumu (PhD) Commissioner wa nishati na madini anaenda kugombea ubunge. What a shame. Kwa wanaofanya kazi serikalini wanajua who is a commissioner. Very senior fellow