hukumu ya igunga leo..kashinje vs kafumu,
....kwakweli mpaka sasa hivi mbunge wa ccm ameshindwa kumleta shahidi ambaye angetoa taswira njema kwa ushindi wa kafumu.
Kwani bwana magufuli, ambaye yeye ametajwa kwenye kesi mara kadhaa; kwamba alikuwa akitoa ahadi ambazo alikuwa akitoa
mbele ya jukwaa..kwa hali hiyo mgombea wa chadema anasema alikuwa anatoa kama nani? Waziri au mpiga debe wa ccm?
Kwakweli kesi imekaa patamu sana...kama haki ikitendeka ...basi jimbo tutalajie kuwa wazi katika hukumu ya leo..!!!
Updates
magari ya polisi, gari la maji washa, naona ndo yanawasili hapa mahakamani, ila bado hatujaingia ndani ya ukumbi wa mahakama, pia watu bado si wengi sana.