Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Hapana! Hizo zote hapo juu ni cha mtoto! Hii hapa chini ndiyo iliyovunja rekodi!
There are currently 3565 users browsing this thread. (557 members and 3008 guests)
Mkuu Tumbiri, PhD. Ni wakati sasa umefika walioko madarakani wajue kuwa watanzania wa leo jioni si wale wa jana asubuhi. Saa ya mabadiliko, yaja. Saa ya ukombozi na matumaini yaja. Tumenyonywa vya kutosha kupitia wachache waliovunja Azimio la Arusha na kuleta la kwao la Zanzibar ambalo limeleta madaraja ya watu Tanzania. Maskini wa kutupwa (kwa sasa 67.9% wanaishi below 1.25 a dollar per day, in average maana wening hata dola robo hawana kwa siku as per the Poverty and Human Development Report, 2011) na wachache wananeema ambao like 0.001% na waliobaki hawaeleweki middle income or what? It is done, and changes must!!