Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!

Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!

Status
Not open for further replies.
Nenda ukonga gerezani ukamuulize papii kocha na babu seya kama huyu mchizi wako jk anajua fair play?
 
nenda ukonga gerezani ukamuulize papii kocha na babu seya kama huyu mchizi wako jk anajua fair play?

- Unajua kuna mambo huwa mnayapika yanatia kinyaa sana, watoto waliobakwa wapo wameonyeshwa mahakamani, Mwalimu aliyeshirikiana nao kuwabaka ametoa ushahidi wake mahakamani kwamba ni kweli aliwasaidia kuwabaka, watoto wameonyesha makovu ya maovu yote waliyotendewa ni rahisi kusema huu uongo kwa vile wale watoto sio ndugu zako wala hawakuhusu, ila wapo ndugu na familia ya wale watoto!

- Besides tabia kama hizi huwa zina history, yaaani huyu Rais angekuwa na mchirizi wa matukio kama haya kila mahali alipowahi kuwa kwamba anakuwa na mahawara ukiwagusa tu unapatwa na dharuba, ndio tatizo la kusema uongo na kumiliki viwanda vya uongo, unatunga uongo ambao hata kuuhallalisha huwezi, unapotaka kuaminisha wasomi kwamba maneno yako ni kweli unaleta evidence, kwamba huyu Rais ana hii tabia tizama aliwahi kuwa Tunduru alimfanyia hivi mtu flani, aliwahi kuwa Tabora alimfanyia hivi mtu flani, aliwahi kuwa Arsuha aliwahi kumfanyia exactly the same thing mtu flani, na sasa amewafanyia Nguza na watoto wake, then it will make a sense!

Otherwise ni nonsense at best!!

Es!
 
Smart move FEMEs, shifting the attention from your Malecela boys by starting a thread on JK!! Well done..
 
Mkuu, unaweza kubaki kama mmoja wa waliokuwa wana-JF makini au kuingia kundi la wababaishaji: uamuzi ni wako.

Hivi kweli na busara zako unadhani hizi photo-ops za Kikwete zinamsaidia vipi Mtanzania wa kawaida? Ni vema tusingeona picha za kuhadaa kama hiyo uloambatanisha lakini Rais akatumia madaraka na uwezo wake kupigania kumkomboa mlalahoi anayegubikwa na lindi la umaskini.

Hivi huyo mlemavu ni mwakilishi wa masikini wangapi? Halafu ukiangalia kwa makini picha hiyo inatoa taswira mbovu: Rais amekaa kwenye gari yake ya thamani na huyo mlemavu amekaa chini.Hiyo ni tafsiri nyepesi tu ya taswira.

Kikwazo kwa Tanzania yetu ni kuibuka kwa kundi la wachumia tumbo.Watu ambao japo wana upeo wa kutofautisha mambo lakini wanakuwa watumwa wa sifa na/au kujikomba.

Mkuu Mlalahoi habari za siku nyingi........

Nakubaliana na hoja yako.........lakini vipi linapokuja suala la kuwa JK ni mwanadamu kama wanadamu wengine.........kwa ile picha binafsi nilimuangalia JK kama nilivyo mimi...ambaye siku nyingine nawapita kama siwajui wale wanaohitaji msaada na siku nyingine nasimama na kutoa msaada......"moral".....what about that Mlalahoi..........
 
Smart move FEMEs, shifting the attention from your Malecela boys by starting a thread on JK!! Well done..

- Unajua it ia sad, the so called Wakombozi wanapokuwa na mawazo kama ya Watawala, ndio maana nimesema ni kweli tulianza wote, the goal was Ukombozi lakini siku zote nilikuwa CCM never even once have I ever betrayed anybody on that, ninaomba member mmoja tu humu ajitokeze na kusema mimi niliwahi kuwa Chadema, never! I am still the same today as I was then, mawazo yangu ni yale yale na nimesema always nina practice siasa za Realism sio siasa za kusadikika ambazo hazipo bongo!

- Nimseoma thread moja kule mtumzima na akili timamu anasema kwamba eti mimi ninatumwa na CCM kuja kuvuruga JF? I read that article na kujiuliza nani mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri hapa bongo? Nani mwenye uwezo wa kulikomboa hili taifa? My conclusion ni hakuna wote tupo sawa we cant think beyond our boxes, I mean JF tunaambiwa kila siku kwamba ni kitengo cha Chadema, iliposemwa kwa mara ya kwanza tumepigana kweli hapa kupinga, leo ndani ya hii very same forums mtumzima na akili zake anadai wale wote wasio na mawazo kama yake wametumwa na CCM, kilichonishangaza kuliko ni waliomuunga mkono na hivyo hoja, the very same people waliolala macho hapa kupinga hoja ya JF kuwa ni chombo cha Chadema, sasa you wonder nani atalikomboa hili taifa? Ukombozi sio kuja hapa nma kulia lia kiila siku kwamba kila kitu cha CCM ni kibaya hizo ni dalili za usomi uchwara, kwa sababu kama kweli ni msomi na umestaarabika kuna mazuri ni lazima uyakubali ili kuonyesha pia na mabaya, haiwezekani kwamb a katika Miaka 50 Taifa CCM haiona zuri hata moja! that is shallow thinking!!

- I am a free humna being and very independent, katika maisha yangu sijawahi kuamuliwa na anybody kufanya nisichokitaka kama huamini waulize waliojaribu kunishawishi anything ambacho sikutaka, lengo ni moja lakini haliwezi kufikiwa kwa kutunga tunga uongo kila siku, hakuna balance sasa hata wale walengwa wanaanza kuogopa, sasa unayetka kumkomboa anapoanza kukuogopa unamkomboaje? We have become so good wa kushambulia lakini sio kushambuliwa, we are so good wa kukosoa lakini sio kukosolewa, at one point people took us very seriously lakini sio sasa tena, Luis Farakhan sio tishio kwa US siku akiwa atakufa mara moja so is us, we are not a threat tena kama what we were once, tulipokuwa tunatishiwa hapa kila siku na Serikali not anymore maana muelekeo umekosekana!!

- Watu wanabururtwa tu kama upepo bila hata kujua wanachosimamia, mtu mzima anasema Nguza na watoto wake wanaonewa na Rais, wakati ushaidi wote wa mahakama upo wazi, mtu anasema Nape hamuwezi Slaa wakati ni majuzi tu wamekumbana kwneye Udiwani na Slaa/Chadema wakashindwa, sasa badala ya kutafuta hoja serious imegeuka kutafutana uchawi, hoja inatakiwa kujibiwa kwa hoja sio kumtafuta mtoa hoja ni dalili za kuishiwa hoja, sasa wananchi tunaowakomboa tunawaweka wapi? Mabingwa wa hoja tunapoanza kulia lia flani katuma na CCM, flani akatuma na Serikali? kumbe wote ni sawa tu, sasa kwa nini wananchi wasipigie kura CCM kama wote ni sawa tu!

- I mean badala ya kujibu hoja, oohhh wewe FMES ni William Malecela, ohhhhh wewe ni Mke wa William Malecela, ohhhh wewe ni Mwanamke yupo Ubalozi wetu New York, ohhh wewe this wewe that, this coming from wakombozi? Really? Wakombozi wa nini? People jipangeni tena, kama vile JF ambavyo haitumwi na Chadema so is mimi pia situmwi na anybody, nilichokataa njiani ni majungu na uongo ili kufikia lengo la ukombozi, kwa sababu uongo na majungu mengi tunayoyatunga hapa yanawaumiza wananchi wengi sana hapa bongo ambao hawana makosa kabisa, mimi ninakutana na wengi waliothirika na uongo na majungu mengi ya hapa, ndio nikaaamua to hell! nikavunja mawasiliano na wote tuliokuw apamoja hapa na sasa I do my thing, ukiamua kunifungia good for you ukiamua kufuta thread zangu good for you, ukiamua kuzificha thread zangu good for you, ila elewa kwamba sio wote wanaokuja hapa ni wajinga kuna wengi wenye akili and they learn something about you Mkombozi!!

- So brother again, FMEs ni Sauti ya Umeme have nothing to do na Malecela Boys kama ulivyosema infact inchekesha sana kwa wakombozi kwenda that low, badala ya kujibu hoja mnaanza kusingizia majina ya watu wasiohusika tena kwa mtu kama wewe ambaye tunatoka mbali sana na this game, jifunzeni uvumilivu katika siasa, jifunzeni kuishi na wasio na mawazo kama yenu, jifunzeni kusikiliza kama mnavyotaka kusikilizwa, jifunzeni maana ya Demokrasia maana bado inawasumbua sana tena wengi humu hata niliokuwa ninawaamini sana huko nyuma, kumbe Demokrasia bado hamuijui!!

MUCH RESPCT

FMES!!
 
- SAWA SAWA MKUU SANA, KUNA HAWA WANASIASA UCHWARA HAPA BONGO KWA KWELI SIKU WAKIPEWA NCHI KABLA HAWAJAAPISHWA NAHAMIA MALAWI SIKU HIYO HIYO!

Es!

Mkuu wewe Malawi mimi nitamia Somalia au Afghanstan nikawe teja tu itakuwa hakuna maana ya kuwa mtanzania tena; ila tu uzuri wenyewe CCM tuanaendelea na kuitawala nchi yetu hao vichaa na waendelee tu kuchangisha pesa wenzao tu kwa vigezo vya M4C sijui wanabadilisha kitu gani zaidi ya kubadili hali zao za maisha
 
JK ni kiongozi makini hata wapinzani wake wanalitambua.
 
Pata muda ujitafakari wewe binafsi,jiulize leo tu imepitaje kwako,umefanya haramu ngapi,wewe ni msafi kiasi gani kwa nafasi yako,mwisho kabisa uje utoe kibanz kwa JK baada ya kuanzia kwako.

Kifupi haramu kwangu ni haramu, natumaini Mungu amekujalia una kila stahili ya binadamu, sina kibanzi ndiyo maana naona vizuri JK alivyo; kama wewe huoni ni wewe na una haki hiyo.
 
Hivi sifa za raisi mzuri ni zipi? hivi kutojibu kasfa za wapinzani wake inatosha kum jaji kiongozi ni mbaya au mzuri?
 
- Sawa kila bin-adam ana mapungufu yake so is our president, lakini kuna one thing ni kwamba ataenda down on our history kama ni the best ever President, mkomavu na msikivivu kuliko wote tuliowahi kuwa nao, ukisoma magazeti ya kila siku, ukisoma mitandao ni matusi tu ya kumtukana mpaka nguoni, lakini hana hiyana na wote wanaomtukana. Tunaona kila siku anakutana nao, anaongea nao wengine ndani ya chama wanajifanya maadui zake lakini hana hiyana nao!

- Unatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na wengine, infact wale wanaomrushia matusi rais kila siku, thubutu uwaguse wao, yaani ni balaa! jamani jifunzeni toka kwa Rais kwamba siasa sio vita wala ugomvi, ndio manakwama kwenye ndoto zenu maana hamjaiva bado, hamjakomaa bado, bado hamjui Demokrasia na maana yake, shida yenu ni madaraka tu, mimi nasema mkishika nchi nahamia Malawi!!

27913_10200109945770629_458955774_n.jpg

[FMES - SAUTI YA UMEME!!

fair assessment....
lakini for once let's cut the bull. piority ya Watanzania si kuwa na raisi mpole (au msikivu kama ulivyochagua kumwita JK).

kwa mtu yeyote yule ambaye yuko responsible kwake mwenyewe binafsi au kwa taifa at large, priority kubwa ni kuiondoa nchi yetu from amongst the "poorest countries" dogfight. hiki ndicho kipaumbele ambacho nadhani JK ame-prove failure completely hususani pale alipoendlea kuendekeza tabia ya kuombaomba badala ya kutumia raslimali zetu wenyewe kujinasua mtegoni (uwezo huu tunao sana wala tusimung'unye maneno), huku wakati huo huo akiwaachia wanao-plunder mali na fedha za umma wanatembea kifua mbele na wengine kuendelea kutukuzwa.

for me, JK is a lot worse than Mkapa. na huu ndio ukweli!
 
- Well, ni mtizamo wako na tatizo ni kuna wakati wa kila kitu kwenye maisha, kwenye hii thread the ishu ni picha na one great skill ya JK nayo ni Mvumilivu wa kutukanwa, Mvumilivu wa maadui wake kisiasa, na pia msikivu anapokosolewa, I mean hata kama humpendi kama unavyosema mwenyewe lakini huwezi kuyakataa haya in him ambayo ndio hasa the goal of this thread!

- Under Mkapa sikusikia Kiongozi hata mmoja wa Taifa akikamatwa na kufikishwa mahakamani, sasa Mkapa anakuwaje better than huyu anayeonyesha kujali sheria? Tatizo kubwa la Taifa letu ni kwamba Marasi wote wamekabidhiwa Taifa lisiloheshimu Sheria na huyu ni wa kwanza kuonyesha heshima kwa sheria japo kidogo lakini anaweka njia, ni lini under Mkapa uliwahi kulalamika kwamba Kiongozi flani hafai akatolewa? I mean Mkapa alikuwa na mazuri yake na mabaya yake na Jk pia ana mazuri na mabaya yake!

- Lakini muhimu hapa ni kuelewa the mada inayoendana na picha, kila ishu na mahal;i pake na wakati wake!! ni muhimu sana kwa Great Thinker kuelewa hilo!!

Es!
 
Hakuna asiekuwa na mazuri, na ni vyema kuyatambua na kuwa wakweli. Katika suala la freedom of speech kwa Tanzania ya leo basi ni kweli rais kajitahidi kuondosha ule ulimbukeni wa zidumu fikra za mtu fulani au ule utamaduni wa utukufu wa rais asiekubali watu kumtaja kwa mabaya. Yametunufaisha kama wananchi kuwa na uhuru wa kuongea ambao ni step moja kubwa ya demokrasia. kwa kuwa mtoa mada kaja na mazuri bbasi nimalizie kwa mazuri hayo, yapo mengi pia ya kujadiliwa bila ya bias kuutathmini utawala wake mpaka sasa..
 
",at one point people took us very seriously lakini sio sasa tena". Haya sio kweli. Kama ulikuwa na maana ya JF kama ilivyo sasa umeongopa. Hata wewe usingesusa na kurudi kila mara humu. CCM na serikali hawalali kwa sababu ya mtandao huu. Hatuna chombo cha habari cha maana na kilicho huru kama JF.

JF imeokoa na kuzuia maovu mengi sana yasifanyike NCHI hii. TANZANIA bila JF ni ngumu kidogo kuifikiria. Tatizo lako FMES na baadhi ya watu humu mlidhani mna hati miliki ya akili nzuri, mawazo mazuri,...., mlifika mahala mkadhani tunaweza kuimba tena ZIDUMU FIKRA ZA FMES!
 
- Well, ni mtizamo wako na tatizo ni kuna wakati wa kila kitu kwenye maisha, kwenye hii thread the ishu ni picha na one great skill ya JK nayo ni Mvumilivu wa kutukanwa, Mvumilivu wa maadui wake kisiasa, na pia msikivu anapokosolewa, I mean hata kama humpendi kama unavyosema mwenyewe lakini huwezi kuyakataa haya in him ambayo ndio hasa the goal of this thread!

- Under Mkapa sikusikia Kiongozi hata mmoja wa Taifa akikamatwa na kufikishwa mahakamani, sasa Mkapa anakuwaje better than huyu anayeonyesha kujali sheria? Tatizo kubwa la Taifa letu ni kwamba Marasi wote wamekabidhiwa Taifa lisiloheshimu Sheria na huyu ni wa kwanza kuonyesha heshima kwa sheria japo kidogo lakini anaweka njia, ni lini under Mkapa uliwahi kulalamika kwamba Kiongozi flani hafai akatolewa? I mean Mkapa alikuwa na mazuri yake na mabaya yake na Jk pia ana mazuri na mabaya yake!

- Lakini muhimu hapa ni kuelewa the mada inayoendana na picha, kila ishu na mahal;i pake na wakati wake!! ni muhimu sana kwa Great Thinker kuelewa hilo!!

Es!
Hivi yule waziri wa zamani wa ujenzi, Nalaila Kiula, alifikishwa mahakamani kipindi gani vile? Picha hiz za JK na watu wa aina ni nyingi tu. Za misibani ndio usiseme.
 
- Sawa kila bin-adam ana mapungufu yake so is our president, lakini kuna one thing ni kwamba ataenda down on our history kama ni the best ever President, mkomavu na msikivivu kuliko wote tuliowahi kuwa nao, ukisoma magazeti ya kila siku, ukisoma mitandao ni matusi tu ya kumtukana mpaka nguoni, lakini hana hiyana na wote wanaomtukana. Tunaona kila siku anakutana nao, anaongea nao wengine ndani ya chama wanajifanya maadui zake lakini hana hiyana nao!

- Unatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na wengine, infact wale wanaomrushia matusi rais kila siku, thubutu uwaguse wao, yaani ni balaa! jamani jifunzeni toka kwa Rais kwamba siasa sio vita wala ugomvi, ndio manakwama kwenye ndoto zenu maana hamjaiva bado, hamjakomaa bado, bado hamjui Demokrasia na maana yake, shida yenu ni madaraka tu, mimi nasema mkishika nchi nahamia Malawi!!

27913_10200109945770629_458955774_n.jpg

FMES - SAUTI YA UMEME!!

Kiss my black ash

J.K anatakiwa kufanya kazi. Nothing more, nothing less. Anatakiwa kuweka interest za nchi na wananchi wake mbele na sio za familia yake, rafiki zake au investor. Hiyo kucheka Cheka na vibwagizo vingine kila mtu inaweza kufanya kwa muda wake. Actually hata Sisi wananchi tunafanya Hiyo kila siku kila hakuna wa kutupiga picha.
Kwa hiyo usimfanye kuwa yeye huko juu ya kila mtu kwa ukarimu. It is nonsense. He needs to do the job we have asked him to do.

There, you have it.
 
",at one point people took us very seriously lakini sio sasa tena". Haya sio kweli. Kama ulikuwa na maana ya JF kama ilivyo sasa umeongopa. Hata wewe usingesusa na kurudi kila mara humu. CCM na serikali hawalali kwa sababu ya mtandao huu. Hatuna chombo cha habari cha maana na kilicho huru kama JF.

JF imeokoa na kuzuia maovu mengi sana yasifanyike NCHI hii. TANZANIA bila JF ni ngumu kidogo kuifikiria. Tatizo lako FMES na baadhi ya watu humu mlidhani mna hati miliki ya akili nzuri, mawazo mazuri,...., mlifika mahala mkadhani tunaweza kuimba tena ZIDUMU FIKRA ZA FMES!

- Yale majungu majungu tu, ni lini nimewahi kususa hapa hebu onyesha evidence?

- Ni maneno ya kujifurahisha tu wala hayana evidence in it, mimi nina msimamo wangu ambao haujali urafiki wala uhusiano na mtu yoyote, sijawahi hata siku moja kulazimisha mawazo yangu hapa mimi ni independent bro siwezi kufanya nisichotaka kufanyiwa, na wala hata siku moja sijawahi kumfungia mtu humu au kufuta mawazo yake kwa sababu hayafanani ya yangu, kwenye hili kuna unaowaongeela not me1 ha! ha1 ha! ha! ha!

- Uhuru wa hiki chombo nini hasa kusingizia watu wasiokuwa na mawazo kama yako kwamba wametumwa na CCM, you call that Uhuru? ndio kuna tatizo kubwa sana la kulikomboa hili taifa bro, mimi siku zote ni mtu wa kuweka vitu na ninavyoviamini kwa kukosa hoja za kujibu ndio zinakuja blah! blah1 blah!, sihitaji kuwa na hati miliki ya anything either ninayo au sina ila siwezi kuilazimisha kwa kufunguia watu wenye mawazo tofauti na yangu, wewe unanijua sana ninasikiliza na ninajibu siajwahi kumogopa anybody, so hayo maneno yako kuna unaowalenga ila ulidhani yananihusu mimi bahaati mbaya sana sio mimi!1

- Effect tuliyokuwanyo JF at one point sio ya sasa tena bro, lakini pia ni Demokrasia tupu yaani kila mtu na mtizamo wake najua una sababu za mtizamo wako, niaamini na mimi ninazo sababu za mtizamo wangu, kwa sababu ninakumbuka niliyokuwa nikiyaona na kuyasikia then sio ya sasa, lakini ninaamini na wewe una sababu zako, otherwise lets keep on playing the game bro!!

Es!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom