Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!

Status
Not open for further replies.
Chadema Ikulu.jpg
Mnatakia usikivu zaidi ya upi?
 
Wabongo kwa kujikomba na kutafuta ulaji.....utakuja jitu zima na uzee wake lipo tayari kutoa "shikamoo mzee" kwa kakijana eti kwa sababu kana nafasi fulani au hilo jitu zima linajaribu kuficha mauozo yake !!

Best president ever, really just coz of maisha bora kwa kila fisadi na vidosho...?? You must have been sick for a number of years !! This can only be said by mafisadi, or wale vilaza waliopewa u DC just for being friends with the only who know how to ishi mjini-mjini !!

In reality, it's the opposite, the worst ever !!! I can mentioned a few- lkn kujaza watoto na familia/ndg hata ktk uongozi wa chipukizi, kijiji, kata, tarafa hadi nec ! Biashara za kijambazi za huyo dogo... na yule teja, safari alfu za kutembeza bakuli, kuongopewa na danganywa kila siku, usanii uliotukuka (magamba vs hao hao aliowapigia kampeni yeye mwenyewe kwa kuwashika mikono na kuwaita wasafi- EL, Mrambas ect) ...I can go on and on..

- Sawa kila bin-adam ana mapungufu yake so is our president, lakini kuna one thing ni kwamba ataenda down on our history kama ni the best ever President, mkomavu na msikivivu kuliko wote tuliowahi kuwa nao, ukisoma magazeti ya kila siku, ukisoma mitandao ni matusi tu ya kumtukana mpaka nguoni, lakini hana hiyana na wote wanaomtukana. Tunaona kila siku anakutana nao, anaongea nao wengine ndani ya chama wanajifanya maadui zake lakini hana hiyana nao!

- Unatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na wengine, infact wale wanaomrushia matusi rais kila siku, thubutu uwaguse wao, yaani ni balaa! jamani jifunzeni toka kwa Rais kwamba siasa sio vita wala ugomvi, ndio manakwama kwenye ndoto zenu maana hamjaiva bado, hamjakomaa bado, bado hamjui Demokrasia na maana yake, shida yenu ni madaraka tu, mimi nasema mkishika nchi nahamia Malawi!!

27913_10200109945770629_458955774_n.jpg

FMES - SAUTI YA UMEME!!

Migrate to Malawi, die there and RIH (rot in hell) sir/Madame!!!
 
Wabongo kwa kujikomba na kutafuta ulaji.....utakuja jitu zima na uzee wake lipo tayari kutoa "shikamoo mzee" kwa kakijana eti kwa sababu kana nafasi fulani au hilo jitu zima linajaribu kuficha mauozo yake !!

Best president ever, really just coz of maisha bora kwa kila fisadi na vidosho...?? You must have been sick for a number of years !! This can only be said by mafisadi, or wale vilaza waliopewa u DC just for being friends with the only who know how to ishi mjini-mjini !!

In reality, it's the opposite, the worst ever !!! I can mentioned a few- lkn kujaza watoto na familia/ndg hata ktk uongozi wa chipukizi, kijiji, kata, tarafa hadi nec ! Biashara za kijambazi za huyo dogo... na yule teja, safari alfu za kutembeza bakuli, kuongopewa na danganywa kila siku, usanii uliotukuka (magamba vs hao hao aliowapigia kampeni yeye mwenyewe kwa kuwashika mikono na kuwaita wasafi- EL, Mrambas ect) ...I can go on and on..

- Mambo yote kule mjadala wa NApe hapa tisa twende kule usijaribu kubadilisha upepo!! ha! ha! maneno mengi hamna kitu!!

Es!
 
...Ehh twende kule wakati hapa umemwaga hizi pumba na unataka uachwe hivi hivi...? Siku hizi post za namna hii nyingi sana na inasemekana then watu wanazitumia kupeleka kuleeee kugangia njaa.. !!

Best ever president my masaburi !!!

- Sisi huwa hatutumii matusi hoja na facts, Rais ni msikivu na mvumilivu wa matusi yenu, sasa lia cheka hilo huwezi kubadilisha bro, naona unajaribu kutumia nguvu nyingi sana kuzima hoja wameshindwa wenye nguvu kuliko wewe tuliza boli, kule Nape amevua nguo KAtibu wenu ana kadi ya CCM na anaiulipia kila mwezi haya to autetezi au toa mayusi kuzima hiyo hoja!! ha! ha!

Es!
 
Nape ndo kawatuma au, maana naona hapa anatajwa sana..? BTW who the hell is he ..?

Huhitaji digirii kujua kuwa hana ujanja wala jeuri ya kujibu chochote sababu hao wanaomtukana au whatever, ni watu wake na ambao walifanya naye hayo hayo na mengine mengi. Sasa unategemea ajibu nn wakati anajua muosha huoshwa ??

Na where are the facts for god's sake ? Yaani hizi ndo unaita facts..... za kujiangusha angusha..?? Nani kashavua gamba au kujichubua ngozi. Seems like u moja wa wale wazee wa DSM anakokimbiliaga ambao huwaga wa kwanza kukenua mapengo yao na kupiga makofi just coz of pilau na buku .... !!

Mkuu kwa mujibu wa gazeti la Majira leo 5/12/2012, nina nukuu;

"Nape achekelea ukweli wa Slaa *Ampongeza kwa kukiri kumiliki kadi ya CCM *Amtaka awaeleze wananchi ameilipia hadi lini

Na Mwandishi Wetu

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bw. Nape Nnauye, amempongeza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa kukiri kumiliki kadi ya chama chao hadi sasa.

Alisema Dkt. Slaa ameanza kujifunza kusema ukweli baada ya kutambua uongo haulipi kwani kitendo cha kukiri kumiliki kadi
ya CCM ni cha kiungwana hivyo anastahili pongezi.

Bw. Nnauye aliyasema hayo Dar es Salaam jana baada ya Dkt. Slaa kujibu tuhuma zake kuwa, wapo baadhi ya vigogo wa CHADEMA ambao wanamiliki kadi za CCM na wanazilipia hadi sasa."
 
- Sawa kila bin-adam ana mapungufu yake so is our president, lakini kuna one thing ni kwamba ataenda down on our history kama ni the best ever President, mkomavu na msikivivu kuliko wote tuliowahi kuwa nao, ukisoma magazeti ya kila siku, ukisoma mitandao ni matusi tu ya kumtukana mpaka nguoni, lakini hana hiyana na wote wanaomtukana. Tunaona kila siku anakutana nao, anaongea nao wengine ndani ya chama wanajifanya maadui zake lakini hana hiyana nao!

- Unatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na wengine, infact wale wanaomrushia matusi rais kila siku, thubutu uwaguse wao, yaani ni balaa! jamani jifunzeni toka kwa Rais kwamba siasa sio vita wala ugomvi, ndio manakwama kwenye ndoto zenu maana hamjaiva bado, hamjakomaa bado, bado hamjui Demokrasia na maana yake, shida yenu ni madaraka tu, mimi nasema mkishika nchi nahamia Malawi!!

FMES - SAUTI YA UMEME!!

Mkuu najaribu kulinganisha hii post na hii nyingine ya mwaka 2009. Can you clear this contradiction please?

Otherwise, hata Rais Kikwete mwenyewe atakuona ni hypocrite wa hali ya juu na kwamba sasa unajikombakomba kwake kiaina.

Wakuu JF salaam,

- Wote tumeyasikia yote yaliyosemwa kwenye kongamano la Mwalimu's Foundation, infact hata Mangula naye amejitokeza na kusema yake kuhusiana na ubovu wa serikali ya sasa chini ya uongozi wa Rais wetu Mheshimiwa Kikwete, na cha kutisha sana ni pale Rais aliporudi nchini na kudai kwamba anajitayarisha kuwajibu wale wote tunaohisi kwamba uongozi wake una matatizo, na akadokeza kwamba wengi tunaomkosoa tunasumbuliwa na chuki za binafsi.

- Ninasema hivi, wakati Rais anajitayarisha kujibu mapigo ni vyema na sisi wananchi tukaweka wazi our case against Rais na serikali yake, tena with facts! Sasa tafadhalini sana ndugu zangu tujitahidini kuweka facts za mapungufu ya Rais wetu wa sasa, yaani Mheshimiwa Kikwete na serikali yake toka ashike madaraka, miaka minne iliyopita!

- One thing ninataka kuamini ni kwamba wote hapa tunakubaliana kwamba toka ashike madaraka hakuna hata moja zuri alilolifanya, lakini kama lipo lisemwe hapa! Labda tukimuwahi kabla hajajitokeza tunaweza kupunguza some nonsense kwenye majibu yake na pia tutawasaidia ma-Prosecutors wetu, hasa DPP na Hosea kuanza kutayarisha kesi againts mafisadi!

Respect.

Field Marshall Es!
 
Mkuu najaribu kulinganisha hii post na hii nyingine ya mwaka 2009. Can you clear this contradiction please?

Otherwise, hata Rais Kikwete mwenyewe atakuona ni hypocrite wa hali ya juu na kwamba sasa unajikombakomba kwake kiaina.

Mkuu kwa mujibu wa gazeti la Majira leo 5/12/2012, nina nukuu;

"Nape achekelea ukweli wa Slaa *Ampongeza kwa kukiri kumiliki kadi ya CCM *Amtaka awaeleze wananchi ameilipia hadi lini

Na Mwandishi Wetu

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bw. Nape Nnauye, amempongeza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa kukiri kumiliki kadi ya chama chao hadi sasa.

Alisema Dkt. Slaa ameanza kujifunza kusema ukweli baada ya kutambua uongo haulipi kwani kitendo cha kukiri kumiliki kadi
ya CCM ni cha kiungwana hivyo anastahili pongezi.

Bw. Nnauye aliyasema hayo Dar es Salaam jana baada ya Dkt. Slaa kujibu tuhuma zake kuwa, wapo baadhi ya vigogo wa CHADEMA ambao wanamiliki kadi za CCM na wanazilipia hadi
 
Field Marshall ES Mkuu acha kupotezea hoja kiaina. Hii thread haumhusu Nape au Dkt. Slaa. Hii thread inamhusu Rais Kikwete. Tena umeianzisha hii thread kwa madhumini ya kumsifu Rais Kikwete, na kweli umemsifu na kumtetea kwenye hii thread.

Lakini kuna post yako ya mwaka 2009 (naweza kutafuta nyingine kwenye JF Hansards kama unataka), nimeiweka hapo juu ambapo ulisema wazi kuwa toka Rais Kikwete "ashike madaraka hakuna hata moja zuri alilolifanya". Tena ukadai "kama lipo lisemwe hapa".

Sasa ukiangalia kuna contradiction ya wazi kabisa kati ya uliyoyasema mwaka 2009 na unayoyasema mwaka 2012. Kwa hiyo ni bora uka-clear or clarify on this matter.

Inawezekana kabisa tokea mwaka 2009 ulipoiweka hiyo post umeshabadilisha your views on President Kikwete. Hilo halina tatizo. Watu huwa wana-change mpaka sides, na siyo mawazo tuu.

So, ni bora utuambie when and why umebadilisha views zako juu ya Rais Kikwete. Otherwise, siyo tuu wanaJF bali hata Rais Kikwete mwenyewe atakuona huna maana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu acha kupotezea hoja kiaina. Hii thread haumhusu Nape au Dkt. Slaa. Hii thread inamhusu Rais Kikwete. Tena umeianzisha hii thread kwa madhumini ya kumsifu Rais Kikwete, na kweli umemsifu na kumtetea kwenye hii thread.

- Kwani wewe ni nani? ha! ha! wewe leo ni msemaji wa Rais JK? ha! ha! ha! ha!

Yaani kutaka clarification ya posts zako mbili zinazojicontradict ndiyo nimekuwa msemaji wa Rais?

Mbona wewe umeweka habari na Nape na Dkt Slaa; kwani wewe ni msemaji wao?

Jibu hoja. In Fact, wala siyo hoja, ni clarification tuu inatakiwa, kwamba post zako za zamani unaponda Rais lakini kwenye hii unamfagilia. When and why did you change your views on the President?
 
Mkuu najaribu kulinganisha hii post na hii nyingine ya mwaka 2009. Can you clear this contradiction please?

Otherwise, hata Rais Kikwete mwenyewe atakuona ni hypocrite wa hali ya juu na kwamba sasa unajikombakomba kwake kiaina.
mashetani huwa yapo hapahapa duniani! si jehanam, ASILANI NAKATAA!
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Mkuu wa mashetani aliitisha semina elekezi kwa mashetani wote Duniani na katika hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo alisema:-

"Tumeshindwa kuwazuia WANADAMU wasiende kwenye nyumba za IBADA" Tumeshindwa kuwazuia wasisome VITABU vyao vitakatifu na kufahamu ukweli"

Tumeshindwa hata kuwazuia wasiwe na mapenzi ya kweli kwa MITUME yao " "Mara wapatapo muungano wa kweli kwenye MAHUBIRI ya DINI zao, mamlaka yetu yatakuwa yamefika mwisho."

Kwa hiyo kuanzia sasa waacheni waende kwenye nyumba zao za IBADA, waacheni waendelee na karamu zao za upendo. LAKINI waibieni muda, ili wasipate nafasi ya kudumisha IBADA za kweli kweli kwa MOLA WAO MUUMBA...."

"Hiki ndicho ninachotaka mfanye." Alisema Mkuu huyo wa Mashetani:

"wataabisheni WANADAMU WOOTE wasipate kamwe kushikamana na DINI zao na wasifungamane katika KUMCHA MUNGU"

"Tutafanyaje jambo hilo?" mashetani yalimwuuliza kwa jazba. Shetani Mkuu aliwajibu:

"hakikisheni wanakuwa 'BUSY' (BUSY= Being Under Satan's York ) katika mambo yasiyokuwa na umuhimu katika maisha yao na muwanzishie mipango mingi sana isiyohesabika ili kujaza akili na ufahamu wao.

"Shindilieni habari na matukio mbalimbali ndani yafahamu zao kwa muda wa masaa 24."
 
Mkuu acha kupotezea hoja kiaina. Hii thread haumhusu Nape au Dkt. Slaa. Hii thread inamhusu Rais Kikwete. Tena umeianzisha hii thread kwa madhumini ya kumsifu Rais Kikwete, na kweli umemsifu na kumtetea kwenye hii thread.

Lakini kuna post yako ya mwaka 2009 (naweza kutafuta nyingine kwenye JF Hansards kama unataka), nimeiweka hapo juu ambapo ulisema wazi kuwa toka Rais Kikwete "ashike madaraka hakuna hata moja zuri alilolifanya". Tena ukadai "kama lipo lisemwe hapa".

Sasa ukiangalia kuna contradiction ya wazi kabisa kati ya uliyoyasema mwaka 2009 na unayoyasema mwaka 2012. Kwa hiyo ni bora uka-clear or clarify on this matter.

Inawezekana kabisa tokea mwaka 2009 ulipoiweka hiyo post umeshabadilisha your views on President Kikwete. Hilo halina tatizo. Watu huwa wana-change mpaka sides, na siyo mawazo tuu.

So, ni bora utuambie when and why umebadilisha views zako juu ya Rais Kikwete. Otherwise, siyo tuu wanaJF bali hata Rais Kikwete mwenyewe atakuona huna maana.

@E.M.T
Achana na watu wanaofikiria kwa "tumbo", wanasahau kuwa huwezi kubadilisha facts/history. CCM kama chama sio shida Bali viongozi wake ndio janga kwa taifa letu. Actually sidhani kwamba Kuna mabadiliko makubwa ya maadili toka baba wa taifa ang'atuke. Viongozi waliofuata ndio wanashindwa kusimamia hayo maadili na misingi ya chama. Leo hii hawa viongozi wakiweza kusimamia na kutekeleza hayo maadili CCM kitakuwa madarakani kwa muda.
Kwa Hiyo jamaa anafikiri sisi tunatetea chama fulani. No, tunaangalia utendaji na ufanisi. Sura ya mtu, kucheka, kununa, n.k haimsaidii mtanzania.
 
Huwa nasema hapa jamvini kuwa Watanzania tuna mtindo wa kusahau vitu mapema mno. Kwa kawaida ikitokea issue very serious inapigiwa kelele kama wiki hivi, baada ya hapo hutaisikia tena pamoja na kwamba hakutafutiwa solution.

Naweza ku-extend hii kwa baadhi ya members wa JF pia. Unakuta mtu aliandika huko view fulani kuhusiana na jambo fulani then baada ya miezi kadhaa unamkuta mtu huyo huyo ana completely opposite view na aliyoandika nyuma.

Ukijaribu kujua kama when and why amechange minds thoigh things are still the same anasepa. Wapo wengi tuu tulishawakamata kwa kutumia Hansards za JF. Yo Yo anamfahamu mmoja.
 
Huwa nasema hapa jamvini kuwa Watanzania tuna mtindo wa kusahau vitu mapema mno. Kwa kawaida ikitokea issue very serious inapigiwa kelele kama wiki hivi, baada ya hapo hutaisikia tena pamoja na kwamba hakutafutiwa solution.

Naweza ku-extend hii kwa baadhi ya members wa JF pia. Unakuta mtu aliandika huko view fulani kuhusiana na jambo fulani then baada ya miezi kadhaa unamkuta mtu huyo huyo ana completely opposite view na aliyoandika nyuma.

Ukijaribu kujua kama when and why amechange minds thoigh things are still the same anasema. Wapo wengi tuu tulishawakamata kwa kutumia Hansards za JF. Yo Yo anamfahamu mmoja.

That's true. Nchi yetu imefika hapa tulipo kwasababu ya watu kama hawa. Wao kila siku ni "Ndio mzee". Hata kama huyo mzee kakosea. Watu na PhD zako wanashindwa kumshauri kiongozi wake kwa kuogopa kupoteza vijaza tumbo lake. It is so disappointing.
Mwisho wao waja, watakosa vyote.
Good job my fellow citizen.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
FMES,

Unajichosha bure na hawa jamaa. nashindwa kuelewa kwanini hawakuelewi au hawakusomi.

Labda wana matatizo.

Kwa wana JF wa zamani na hata wale wa BCS na baadaye Economicforums kwa mzee Iddy Simba watakubaliana na sisi kuwa JK tulimpa jina la MUUNGWANA.

Kusema JK sio Muungwana ni kuwa na chuki binafsi. mapungufu yake anayo kama binadamu na hata wewe na mimi tunayo ila the bottom line inabakia jamaa ni Muungwana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom