Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!

Status
Not open for further replies.
527274_484521311588696_795057682_n.jpg
 
- haiwezi kusaidia anything, hoja ni ukomavu wa Rais JK hayo mengine unapaswa kujua by now kwamba ni waste hatishiki mtu wala hayana faida kwa Taifa, so ongea hoja huna kaaa pembeni!

Es!

Ukomavu wake umeisaidia nini nchi hii?
Ukomavu wa kumsaidia mlemavu mmoja?

Very low...
Huu ni wakati wa kupambana na mfumuko wa bei....ungeweka issue inayoonyesha strategy za kupunguza mfumuko wa bei hata kwenye bidhaa za kawaida ningekuona una akili kidogo.

Hapa umechemka, umejipendekeza kwa ngamia dumeatoe maziwa umpatie mgonjwa wako.
 
Chinekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Field Marshal ES umerudi? Karibu tena mana huwa ukiaga hata kwa kutumia media lakini ni lazima urudi tu!! Hapa mtakuja!!! Sasa naona debe umelianza haswa!!! About to hit 2015!!! Ha ha ha ha!! Welcome Bro!!
 
Field Marshal ES, the Sauti ya Umeme hizo picha za evidence hapo niaje??????????????? Tena mambo ni mabaya zaidi!! Cha msingi usianzishe thread ambazo unajua kabisa ni uchokozi na watu tunaweza kuanika hadi yale ya ndani ya aibu halafu mkaanza tena kututafuta kwa darubini zenu!!!! Hakuna jipya man!!!
 
Kikwete is One of the most unsuccessful president of Tanzania ever to be.
 
- Well, ni mtizamo wako na tatizo ni kuna wakati wa kila kitu kwenye maisha, kwenye hii thread the ishu ni picha na one great skill ya JK nayo ni Mvumilivu wa kutukanwa, Mvumilivu wa maadui wake kisiasa, na pia msikivu anapokosolewa, I mean hata kama humpendi kama unavyosema mwenyewe lakini huwezi kuyakataa haya in him ambayo ndio hasa the goal of this thread!

- Under Mkapa sikusikia Kiongozi hata mmoja wa Taifa akikamatwa na kufikishwa mahakamani, sasa Mkapa anakuwaje better than huyu anayeonyesha kujali sheria? Tatizo kubwa la Taifa letu ni kwamba Marasi wote wamekabidhiwa Taifa lisiloheshimu Sheria na huyu ni wa kwanza kuonyesha heshima kwa sheria japo kidogo lakini anaweka njia, ni lini under Mkapa uliwahi kulalamika kwamba Kiongozi flani hafai akatolewa? I mean Mkapa alikuwa na mazuri yake na mabaya yake na Jk pia ana mazuri na mabaya yake!

- Lakini muhimu hapa ni kuelewa the mada inayoendana na picha, kila ishu na mahal;i pake na wakati wake!! ni muhimu sana kwa Great Thinker kuelewa hilo!!

Es!

hakuna mahala niliposema namchukia JK...far from it. afterall he's an old friend fyi.

nilichokisema ni kuwa he has failed us as a nation. with so many opportunities at our disposal we should have been until this minute able to have hauled ourselves from that povert dogfight.
mkapa started something and one would expect his successor (JK, slaa, whoever) to build on this foundation - which never happened under JK! and that to me is a bigger picture of things than kuwa "mvumilivu, msikivu, etc"

nakubaliana na wewe kuwa kila mtu ana mazuri na mabaya yake. correct. but wait a minute...one has to assess which outweighs which before using any superlatives!

pia kumbuka driving force ya watu kupelekwa mahakamani kwenye regime ya JK si JK. ni ile infamous "list of shame"! pale ndipo pandora box ilipofumuka and subsequently JK had no choice but save his and CCM's face by play-acting to send people to court.

remind me by the way..who's has been jailed todate? who? and when I say "who" ninamaanisha "WHO" siyo "who".
 
Chinekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Field Marshal ES umerudi? Karibu tena mana huwa ukiaga hata kwa kutumia media lakini ni lazima urudi tu!! Hapa mtakuja!!! Sasa naona debe umelianza haswa!!! About to hit 2015!!! Ha ha ha ha!! Welcome Bro!!

- Kelele za mlango1 ha! ha! ha ni waste!!

Es!
 
Field Marshal ES, the Sauti ya Umeme hizo picha za evidence hapo niaje??????????????? Tena mambo ni mabaya zaidi!! Cha msingi usianzishe thread ambazo unajua kabisa ni uchokozi na watu tunaweza kuanika hadi yale ya ndani ya aibu halafu mkaanza tena kututafuta kwa darubini zenu!!!! Hakuna jipya man!!!

- Sijaona anything kushindana na hii picha naona watu wanajaribu kuw akama waganga wa kienyeji kule kwa pharao! ha! ha! ha!

27913_10200109945770629_458955774_n.jpg
 
hakuna mahala niliposema namchukia JK...far from it. afterall he's an old friend fyi.

nilichokisema ni kuwa he has failed us as a nation. with so many opportunities at our disposal we should have been until this minute able to have hauled ourselves from that povert dogfight.
mkapa started something and one would expect his successor (JK, slaa, whoever) to build on this foundation - which never happened under JK! and that to me is a bigger picture of things than kuwa "mvumilivu, msikivu, etc"

nakubaliana na wewe kuwa kila mtu ana mazuri na mabaya yake. correct. but wait a minute...one has to assess which outweighs which before using any superlatives!

pia kumbuka driving force ya watu kupelekwa mahakamani kwenye regime ya JK si JK. ni ile infamous "list of shame"! pale ndipo pandora box ilipofumuka and subsequently JK had no choice but save his and CCM's face by play-acting to send people to court.

remind me by the way..who's has been jailed todate? who? and when I say "who" ninamaanisha "WHO" siyo "who".

- Kwa leo nipo hapa kwenye hii thread kuongelea uvumilivu wake, usikivu na kuheshimu uhuru wa wananchi, hayo mengine please fungulia thread yake tukutane huko, ila hapa understand the ishu!!

Es!
 
- Ok no what Mengi has to do na tabia za Rais kuwa msikivu, mwenye huruma na mwenye kuheshumu uhuru wa wananchi kutoa mawazo yao? Eti what has Mengi have anything to with that?

Es!
tusijaze watu bure hapa kwa consavation zisizokuwa na mantiki
Mbutha.......... ! kwani waTanzania tunataka USIKIVU WA RAISI? UCHESHI, UPOLE, HURUMA, UKARIMU Au!!!!!!!!!!.........
Kweli Hamjisomi hizo si sifa za watumishi wa Dini? Basi 2015 Mchagueni Awe Imamu Itapendezaaa! Sisi tunataka Raisi asiecheka na watu kwasababu wote tunajua "Ukicheka na Fisi utavuna Mabua" Hizo sifa mnazompa Hakuna hata moja inayo saidia angalau kujenga kisima cha maji sana sana kututia hasara tu
 
- Integemea wewe unataka nini toka Rais wako, sio wote lazima tuwe na mawazo kama yako ndio tuwe sawa, wengine kama mimi tunaheshimu sana Rais msikivu, na anayeheshimu mawazo ya wananchi wake, tuliwahi kuishi enzi zile haya yalikuwa hayaruhusiwi ndio maana tunaheshimu sana!!

ES!
 
Hata wapinzani moyon mwao wanamkubali JK, hata mimi namkubali Jakaya Mrisho Kikwete yeye ndo aliyeleta uhuru wa maoni na yeye ndo uhuru huu unamwandama, nayeye ndo anastahamiri kila kitu. Jakaya Mrisho Kikwete anastahili pongezi JK tutakukumbuka daima, Mwenyezi mungu akujalia afya na uzima hakika tunakukubali JK uteteleki kwa kelele za watu wala ufadhaiki wengne walifunga Uhuru wa maoni kwa kuogopa kuandamwa lakini wewe ni SIMBA USIYETISHIKA NA SWALA,
 
hakuna mahala niliposema namchukia JK...far from it. afterall he's an old friend fyi.

nilichokisema ni kuwa he has failed us as a nation. with so many opportunities at our disposal we should have been until this minute able to have hauled ourselves from that povert dogfight.
mkapa started something and one would expect his successor (JK, slaa, whoever) to build on this foundation - which never happened under JK! and that to me is a bigger picture of things than kuwa "mvumilivu, msikivu, etc"

nakubaliana na wewe kuwa kila mtu ana mazuri na mabaya yake. correct. but wait a minute...one has to assess which outweighs which before using any superlatives!

pia kumbuka driving force ya watu kupelekwa mahakamani kwenye regime ya JK si JK. ni ile infamous "list of shame"! pale ndipo pandora box ilipofumuka and subsequently JK had no choice but save his and CCM's face by play-acting to send people to court.

remind me by the way..who's has been jailed todate? who? and when I say "who" ninamaanisha "WHO" siyo "who".

hayo yote yameletwa na JK coz ameleta uhuru wa maoni umepanuka zaidi kuliko kipindi cha nyuma angetaka angeziba kabisa hata nyie wa humu msingekuwa na pakusemea
 
Mnapo elekea mwakani mtasimamisha raisi body builder then mtaanza kumnadi kwa kusema
>Raisi mbavu nene
>Hatujawahi kuwa na raisi mwenye afya njema kama huyu kwani hata aliyepita alidondoka mara kadhaa
>Ni the best Ever anakifua kipana hata mataifa ya jirani na mrisi wengine wanamheshimu ni jambo la kutia moyo kweli

Mayooooooo!!!!!......... Tanzania ndio Kiongozi inaemhitaji huyu? TATIZO SIO KWAMBA NAKATAA KUWA USIKIVU, UKARIMU NIJAMBO JEMA, ILA SIO SIFA ZA KIONGOZI AMBAYE TANZANIA INAMHITAJI KWA SASA' KIONGOZI TUNAEMTAKA HATA ASIPOKUWA NA HATA MOJA YA SIFA HIZO HAITABADILI KITU, NA HIZO HAZIFAI KUWA KIGEZO CHA KUKUMBUKWA KWAKE KWASABABU SIO KITU TULICHOKUWA TUKIKIHITAJI BEFORE. HIVI KAMA KWENYE KAMPENI ANGEWAAHIDI HAYO MNAYO MSIFIA MNGEMCHAGUA? SASA UNANISHAWISHI VIPI MIMI NIKUBALIANE NA MTU ALIYENIAHIDI KUNIPELEKA KIBADA THEN ANANIPELEKA MATOMBO NA JE WEWE UNAE MSIFIA KUWA AMEFANYA VIZURI NIKUELEWEJE
AU SIO MTANZANIA MWENZETU WEWE NINAWASIWASI!!!!!!!!!!1 JAMAA KATUPOTEZA NISIPOSEMA KATUPOTEZA NIKAUNGANA NA WEWE KUWA NI MTU MZURI ITAPELEKEA KUHARIBU NCHI NA WEWE LAZIMA USTUKE KUWA WEWE UMERIDHIKA KWA SABABU MIEZI 2 BONGO 6 MBELE. hUATHIRIKI NA MGAO WA UMEME, HUATHIRIKI NA MIGOMO YA MADACTARI N.K WALA HUNA MTOTO SHULE YA KATA SIUNGI MKONO HOJA NDUGU MHESHIMIWA KUWA NA MOYO WA HURUMA JAPO KWA MBAAAALI 95% YA WAtANZANIA WANATESEKA VIBAYA SANA
 
- Ukiulizwa evidence najua huna hata moja ila ni majungu tu, kama una evidence weka hapa kama huna tuliza boli tu!1

Es!

nzeshi type!!! Halafu mtu kama huyu ndio analilia uongozi atiwakilishe kwenye bunge!!!! Umejaa kujikomba na majibu yasiyo na mbolea kama wavaa vidani wenzio,pana shaka hata kwa chips kuku waweza uza heshima yako,grow up bwana!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom