Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,679
- 4,381
..kwa kula na mafisadi eehn
Willium ...kwani Kikwete anataka kuomba third term???? Kama legacy ipo ni ipo tu wall haina haja ya kuitafuta kwa toshi.....yeye ajitahidi kufanya kazi kwa bidii hiii miaka 2 iliyobaki...mwaka 2016 tutaungana kwa pamoja hapa inshaalah kuimba sifa za Kikwete na kumtetea!!
salamu zangu mpeleke William Malecela na umwambie multiple ID SIO ISHU jF. SO BADILIKA NDUGU.
Mpka leo hajua kama mwangosi ali uawa, lakini kwasababu hakuwa mtu wa bongo movie, alafu ndiyo unakuja kutulete utumbo wa hali ya juu, tumia akili yajo hata kidogo ndiyo utajua karibia Africa nzima tunaongozwa na watu wenye rioho za naman gani
akutukanae hakuchaguli tusi!malezi mazuri ya wazazi huzalisha fikra nzuri naunga mkuno hoja yako
Mkuu mbona malawi ni mbali sana kwanini usiamie nchi jirani ya zanzibar
akutukanae hakuchaguli tusi!
Naunga mikono yt, huyu jamaa anaonekana kwa baadhi ya watu ni mbaya, lkn kama mwanadamu mwingine hakika, Rais wetu ni muungwana sn, siku zote wanaosema sn wakiwa Viongozi nchi itatetemeka, kwa kutumia dola kuongoza badala diplomasia, huyu mkuu wetu, ametukanwa sn na vibonzo lkn amekuwa mtulivu sijaona, dola naamini inatamani waambiwe muwekeni ndani mpaka nitakaporudi, za akina Ouko, lkn anasema waacheni ni uhuru wa kuongea, watalala wakisha sema ya mioyoni mwao, hatujawahi pata mtu kama huyu sijui huko mbele.
Wakenya walipokuwa wanamsifu nakusema tuna Rais mzuri sn mm ni mmoja sikujua sana lkn hakika anatufaa hata kwa miaka mingine kumi ijayo.
Hopefully "bast" is not synonymous to best!
Kwan Field Marshall ES- so hiyo picha imekutesa sana maana inaonyesha Rais msikivu na mwenye huruma!!
Es!!
Labda hii sio sehemu yake...labda.
Tulipokuwa watoto tuliambiwa tuoshe miguu yetu vizuri kabla ya kwenda kulala. Sababu ya kuosha miguu ni kuwa kama miguu yako ni michafu na itatoa harufu, panya watakuja kula miguu yako. Nilishangaa ni jinsi gani panya ataweza kukun'gata miguu na kuchukua vipande vya mwili wako bila wewe mwenyewe kustuka! Niliambiwa kuwa kabla ya kukuuma, panya hukupuliza na ule upepo unakupoza kiasi ambacho hata akikun'gata husikii maumivu. Ila ukizinduka asubuhi utakumbana na vidonda miguuni.
Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
Siyo tu Kikwete ni the bast ever!! naongezea Kikwete ni mwanaharamu aliyekamilika kama ulikuwa na maana hiyo maana sikuelewi kabisa
Kwan Field Marshall ES
tunahitaji raisi wa kuonea huruma na kusikiliza wenye matatizo au wa kutatua matatizo?. Kila mtanzania anajua matatizo ya nchi hii huitaji kutembea ili kuona matatizo ya Wa-Tz.
1.Je imemchukua miaka mingapi kukutana na huyu jamaa?
2.Ametumia shilingi ngapi kufika huko walipokutana ukilinganisha na gharama za safari moja ya kwenda USA?.
3.Safari zake zisizo na tija za kwenda kupanda mikokoteni ya farasi na kupiga picha zimemsaidia nini huyu unayemwona kwenye picha?.
4.Binafsi umejifunza nini kwa picha hii?.
Mimi nimejifunza kuwa raisi Dr. JK. naye ameona ni zamu ya Wa-Tz kutembeza bakuli kwake.
Kama vile nakupata mara ghafla sikuelewielewi vile mkuu! Hebu tukumbushane chaguzi zilizopita na kaulimbiu zake: 2005 ilikuwa ARI MPYA, NGUVU MPYA NA KASI MPYA, 2010 ikawa ARI ZAIDI, NGUVU ZAIDI NA KASI ZAID. Sasa tusaidie unavyohisi 2015 angekuja na kaulimbiu ipi na fungakazi 2020 ambayo utakuwa umeridhika kuwa kikomo cha uongozi wake iweje kaulimbiu? Tafadhali funguka tuone pengine na mimi nikavutika kuunga mkono wazo lako na ukizingatia hatujachelewa kuliingiza katika maoni ya katiba mpya!Rais Dk Kikwete ni muungwana sana sana, hatutapata rais Tanzania kama yeye itatuchukua muda mrefu sana, natamani katiba mpya ibadilishe vipindi vya urais kutoka 10 yrs to 20 yrs ili tuendelee kuwa nae.
kwa sanaa hizi kweli jk ni the 'bast' ever
Kama vile nakupata mara ghafla sikuelewielewi vile mkuu! Hebu tukumbushane chaguzi zilizopita na kaulimbiu zake: 2005 ilikuwa ARI MPYA, NGUVU MPYA NA KASI MPYA, 2010 ikawa ARI ZAIDI, NGUVU ZAIDI NA KASI ZAID. Sasa tusaidie unavyohisi 2015 angekuja na kaulimbiu ipi na fungakazi 2020 ambayo utakuwa umeridhika kuwa kikomo cha uongozi wake iweje kaulimbiu? Tafadhali funguka tuone pengine na mimi nikavutika kuunga mkono wazo lako na ukizingatia hatujachelewa kuliingiza katika maoni ya katiba mpya!