FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 733
EMT,
Mie sikupingi. Ila nabakia kusema kuwa Jakaya Kikwete ni Muungwana.
Thats all
Mie sikupingi. Ila nabakia kusema kuwa Jakaya Kikwete ni Muungwana.
Thats all
FMES,
Unajichosha bure na hawa jamaa. nashindwa kuelewa kwanini hawakuelewi au hawakusomi.
Labda wana matatizo.
Kwa wana JF wa zamani na hata wale wa BCS na baadaye Economicforums kwa mzee Iddy Simba watakubaliana na sisi kuwa JK tulimpa jina la MUUNGWANA.
Kusema JK sio Muungwana ni kuwa na chuki binafsi. mapungufu yake anayo kama binadamu na hata wewe na mimi tunayo ila the bottom line inabakia jamaa ni Muungwana.

- One thing ninataka kuamini ni kwamba wote hapa tunakubaliana kwamba toka ashike madaraka hakuna hata moja zuri alilolifanya, lakini kama lipo lisemwe hapa! Labda tukimuwahi kabla hajajitokeza tunaweza kupunguza some nonsense kwenye majibu yake na pia tutawasaidia ma-Prosecutors wetu, hasa DPP na Hosea kuanza kutayarisha kesi againts mafisadi!
Respect.
Field Marshall Es!

- kwa kuanza ninasema kwamba Rais, ameshindwa kuwachukulia hatua za kisheria wahusika wote wa ubaradhuli wa Richimond, ambao umeliletea hasara kubwa sana taifa letu, na haya yamethibitishwa na bunge letu kupitia kamati yake maalum ya Mwakyembe.
- Kamati hii ilifanya uchunguzi wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya bunge laetu la jamhuri na kutoa mapendekezo kadhaa kuhusu watuhumiwa na adhabu wanazostahili, lakini mpaka leo serikali na hasa Rais, wameshindwa kuwachukulia hatua za kisheria, hasa zilizopendekezwa na bunge.
- Kwa kutowachukulia hatua wahusika, Rais amelidharau bunge la wananchi wa Tanzania na hata sisi wananchi tuliowachagua, na pia aamedharau sheria za jamhuri, hili ni tatizo lake Rais either anawaogopa watuhumiwa wa Richimond, au ni marafiki zake, au hajui wajibu wake kama Rais kwamba ndiye The Law Chief Enforcer wetu.
- Sasa hii ni moja ya sababu muhimu ya baadhi yetu wananchi kuamini kwamba serikali yake yaani Rais Kikwete, imeshindwa uongozi na ikibidi yeye na wenzake waachie ngazi, maana tunao wananchi wengi sana wenye uwezo wa kuongoza ipasavyo, ambao wataziheshimu sheria zetu badala ya kuzichezea kwa kutumia mahela yetu mengi sana kuigharamia kamati ya uchunguzi kama ya Mwakyembe na kuishia kuificha uvunguni ripoti yake.
Respect.
FMEs!
Arifu nilishasema hakuna mtoto wa malecela kilaza kama huyu Field Marshall ES...hawa ndio wale ndio mzee ndio mzee kuna siku wataambiwa gobnoa watasema ndio mzeee.....Mkuu najaribu kulinganisha hii post na hii nyingine ya mwaka 2009. Can you clear this contradiction please?
Otherwise, hata Rais Kikwete mwenyewe atakuona ni hypocrite wa hali ya juu na kwamba sasa unajikombakomba kwake kiaina.
Rais Kikwete ana ubinadamu.
Wakuu JF salaam,
- Wote tumeyasikia yote yaliyosemwa kwenye kongamano la Mwalimu's Foundation, infact hata Mangula naye amejitokeza na kusema yake kuhusiana na ubovu wa serikali ya sasa chini ya uongozi wa Rais wetu Mheshimiwa Kikwete, na cha kutisha sana ni pale Rais aliporudi nchini na kudai kwamba anajitayarisha kuwajibu wale wote tunaohisi kwamba uongozi wake una matatizo, na akadokeza kwamba wengi tunaomkosoa tunasumbuliwa na chuki za binafsi.
- Ninasema hivi, wakati Rais anajitayarisha kujibu mapigo ni vyema na sisi wananchi tukaweka wazi our case against Rais na serikali yake, tena with facts! Sasa tafadhalini sana ndugu zangu tujitahidini kuweka facts za mapungufu ya Rais wetu wa sasa, yaani Mheshimiwa Kikwete na serikali yake toka ashike madaraka, miaka minne iliyopita!
- One thing ninataka kuamini ni kwamba wote hapa tunakubaliana kwamba toka ashike madaraka hakuna hata moja zuri alilolifanya, lakini kama lipo lisemwe hapa! Labda tukimuwahi kabla hajajitokeza tunaweza kupunguza some nonsense kwenye majibu yake na pia tutawasaidia ma-Prosecutors wetu, hasa DPP na Hosea kuanza kutayarisha kesi againts mafisadi!
Respect.
Field Marshall Es!
- Sawa kila bin-adam ana mapungufu yake so is our president, lakini kuna one thing ni kwamba ataenda down on our history kama ni the best ever President, mkomavu na msikivivu kuliko wote tuliowahi kuwa nao, ukisoma magazeti ya kila siku, ukisoma mitandao ni matusi tu ya kumtukana mpaka nguoni, lakini hana hiyana na wote wanaomtukana. Tunaona kila siku anakutana nao, anaongea nao wengine ndani ya chama wanajifanya maadui zake lakini hana hiyana nao!
- Unatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na wengine, infact wale wanaomrushia matusi rais kila siku, thubutu uwaguse wao, yaani ni balaa! jamani jifunzeni toka kwa Rais kwamba siasa sio vita wala ugomvi, ndio manakwama kwenye ndoto zenu maana hamjaiva bado, hamjakomaa bado, bado hamjui Demokrasia na maana yake, shida yenu ni madaraka tu, mimi nasema mkishika nchi nahamia Malawi!!
![]()
FMES - SAUTI YA UMEME!!