Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!

Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!

Status
Not open for further replies.
-
27913_10200109945770629_458955774_n.jpg



FMES - SAUTI YA UMEME!!
Haya 'maigizo' yangependeza zaidi kama nae angekaa chini kabisa!
 
Bast means the part of a vascular bundle consisting of sieve tubes, companion cells, parenchyma, and fibers and forming the food-conducting tissue of a plant 2. any of several strong, woody fibers, as flax, hemp, ramie, or jute, obtained from phloem tissue and used in the manufacture of woven goods and cordage..
 
Utumbo huu kawasimulie wastaafu wa EAST AFRICA, au kama unaweza wasiliana na marehemu mwangosi (MUNGU AMREHEMU) kuhusu upendo wa huyu mnafiki, jamaa ni noma hayo ni mambo ya pozi za picha, usinunuliwe kwa tabasamu tamu be a man
 
Mpka leo hajua kama mwangosi ali uawa, lakini kwasababu hakuwa mtu wa bongo movie, alafu ndiyo unakuja kutulete utumbo wa hali ya juu, tumia akili yajo hata kidogo ndiyo utajua karibia Africa nzima tunaongozwa na watu wenye rioho za naman gani
 
- SAWA SAWA MKUU SANA, KUNA HAWA WANASIASA UCHWARA HAPA BONGO KWA KWELI SIKU WAKIPEWA NCHI KABLA HAWAJAAPISHWA NAHAMIA MALAWI SIKU HIYO HIYO!

Es!



SO,WEWE UKIHAMIA MALAWI SISI TUNAPOTEZA NINI??

NENDA TU MWANAKWENDA..!!

:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
Bast means the part of a vascular bundle consisting of sieve tubes, companion cells, parenchyma, and fibers and forming the food-conducting tissue of a plant 2. any of several strong, woody fibers, as flax, hemp, ramie, or jute, obtained from phloem tissue and used in the manufacture of woven goods and cordage..
Mkuu umesahau "Collenchyma" yaani nimecheka karibu nife! Umenikumbusha mbali sana - mwalimu wetu wa Kike wa Kihindi alivyo kuwa anatamuka terms hizo.
 
FMES,
Umenikumbusha kauli ya Prof Mark Mwandosya alipotoka India kwa mara ya kwanza baada ya kulazwa kwa muda mrefu alipokuwa akiongea na wafanyakazi wa wizara ya maji. Namnukuu kwa nukuu ambayo sio kamili: "Mnaweza kumsema Rais wetu Kikwete kwamba hajafanya hili, kashindwa lile,..., lakini huyu baba ni binadamu sana, ni mtu sana".

Nami nakubaliana na Prof Mwandosya. Jamaa anahangaika sana na matatizo ya watu bila kujali hadhi, daraja, utajiri, heshima aliyonayo mtu. Ni mvumilivu pia. Sio kwamba ameshindwa kututafuta tunaombeza na kumtukana humu kwenye mitandao na kwingineko.

Alinishangaza zaidi hivi karibuni alipomteua Mangula kuwa makamu wake wa CCM bara!
 
FMES,
Umenikumbusha kauli ya Prof Mark Mwandosya alipotoka India kwa mara ya kwanza baada ya kulazwa kwa muda mrefu alipokuwa akiongea na wafanyakazi wa wizara ya maji. Namnukuu kwa nukuu ambayo sio kamili: "Mnaweza kumsema Rais wetu Kikwete kwamba hajafanya hili, kashindwa lile,..., lakini huyu baba ni binadamu sana, ni mtu sana".

Nami nakubaliana na Prof Mwandosya. Jamaa anahangaika sana na matatizo ya watu bila kujali hadhi, daraja, utajiri, heshima aliyonayo mtu. Ni mvumilivu pia. Sio kwamba ameshindwa kututafuta tunaombeza na kumtukana humu kwenye mitandao na kwingineko.

Alinishangaza zaidi hivi karibuni alipomteua Mangula kuwa makamu wake wa CCM bara!

Willium ...kwani Kikwete anataka kuomba third term???? Kama legacy ipo ni ipo tu wall haina haja ya kuitafuta kwa toshi.....yeye ajitahidi kufanya kazi kwa bidii hiii miaka 2 iliyobaki...mwaka 2016 tutaungana kwa pamoja hapa inshaalah kuimba sifa za Kikwete na kumtetea!!
 
Willium ...kwani Kikwete anataka kuomba third term???? Kama legacy ipo ni ipo tu wall haina haja ya kuitafuta kwa toshi.....yeye ajitahidi kufanya kazi kwa bidii hiii miaka 2 iliyobaki...mwaka 2016 tutaungana kwa pamoja hapa inshaalah kuimba sifa za Kikwete na kumtetea!!
Wala hana mpango wa third term. Yeye sio Mzee Abdoulaye Wade wa Senegal. Mikakati yake ya sasa ni kuiacha CCM ikitawala nchi hii kama alivyoikuta.
 
Ni msanii tu,hao viwete anawatumia tu kujitafutia sifa asizo nazo alishawahi piga picha ka kaa chini kabisa na watu wa dizaini hiyo aki-hadaa kuwa atawaletea ''maisha bora kwa kila mtanzania '',akafeli kabisa,mara muda si mrefu akabadili wimbo ukabadilika ikawa maisha bora kwa kila mfanya kazi nalo pia wamechemsha mpaka sasa MAISHA YA WAFANYAKAZI BADO NI KINDAWILI haya boreki bali yana didimia kwa kuwa uchumi unaopanda wa nchi hii umeshikwa na MAFISADI wachache.

Kutowashughulikia maadui wake kwenye chama chake si kuwa kawapa demokrasia bali hawa wezi,maana wengi wao ni MAFISADI na serikali yake ilishasema ikiwashughulikia WEZI/WACHOTA MALI ZA UMMA uchumi wa nchi utayumba.sasa we umekuja na story hii inamaana haya huyajui ama umetumwa ku mkogesha?,si mka koge mjengoni....! kule Makinda anasabuni za ku-kogesha,safisha mpaka kuchubua watu wachafu,weusi,na MAFISADI we wasubiri nini? wahi nafasi ni chache maana anawaogopa makamanda wa magwanda mjengoni.
 
He is the best kwa sababu ya kucheka cheka kwake au? sikia nikuambie jamaa anatukanwa na kukaa kimya ni kwasababu anatukanwa kwasababu ya umburura wake na hata ye mwenyewe anajiona kuwa ni mburura hivyo hana sababu ya kukasirikia umburura wake.
 
Hakuna kiongozi yeyote wa CHADEMA au CUF mwenye karama hii ya JK. Jamaa wanajifanya wako serious hadi vitandani!
 
Rais Dk Kikwete ni muungwana sana sana, hatutapata rais Tanzania kama yeye itatuchukua muda mrefu sana, natamani katiba mpya ibadilishe vipindi vya urais kutoka 10 yrs to 20 yrs ili tuendelee kuwa nae.
Twambie rafiki yako nasi tutakwambia tabia zako.....KILAZA
 
Mkuu Field Marshall ES,

Rais Kikwete as a person wala sina tatizo naye. Inawezekana kabisa ni mtu mzuri tuu, nikiwa na maana ni mtu wa watu. I don't know him personally, but I won't dispute anyone who says that he is a good man. In fact, I would be surprised if he wasn't.

Kitu kingine labda ambacho anaweza kuondoka nacho na watu wengi wakaja kumkumbuka huko baadae ni uhuru wa vyombo vya habari. I remember kuna mtu mmoja ambaye anautaka sana Urais, wakati akiwa serikalini, he issued a statement and circulated it in various media outlets as a paid advert, threatening to take legal action against a newspaper that had published a story relating to his office (not him personally).

He said that the paper should not have interpreted the minister's answer because its task is reporting, not interpreting news, especially when such news seems to scandalise the government of the day.

He gave the paper a five-day ultimatum, during which it should have apologised and retracted the story; otherwise he would have advised relevant authorities to take necessary action. Kwa staili hiii, kama huyu waziri akija kuwa Rais kuna uwezekano akawa anaipa JF ultimatum za aina hii.

President Kikwete is termed a friend of the media na kama angekuwa ana-act kama huyo presidential ambitious, sijui angefungia magazeti mangapi? Rais Kikwete anatambua mpaka kuwepo kwa "viwanda vya uongo". However, this is not because he has done anything to safeguard the media, but because he has managed to manipulate them to his political advantage over his competitors (inside and outside CCM) for the last 10 years. Whether this can be taken as a positive thing, I don't know but we have exercised some form of free speech tena against him personally.

But the only thing which will badly go down with President Kikwete ni kuwa wengi tutamkumbuka kama Rais ambaye hakuwa a leader. Wengine wanaweza kwenda a step further na kusema he will not be remembered as a state man.

As J. Rufus Fears (a professor of an incredibly manly subject: the history of freedom) said, a politician and a statesman are not the same thing. A statesman is a free leader of a free people and he must possess four critical qualities: bedrock of principles, moral compass, vision, and the ability to build a consensus to achieve that vision.

President Kikwete has been struggling to build consensus among Tanzanians to achieve our vision. Naamini hata yeye akishastaafu, atakaa chini na ku-reflect about his leadership na atakuta kuwa kuna issues nyingi sana ambazo, a leader or stateman, he should have acted, or at least acted in a different way.

Hakuna Rais ambaye ni perfect. Lakini Rais anatakiwa siyo tuu kuwa mtu wa watu, but a good leader, a stateman, who can lead his/her people to the right direction for the betterment of every individual in the territory.
 
Kama ulivyosema ''HE IS THE BAST EVER"
 
Field Marshall ES Idd Amin you must be sick. Ana nini cha mno? To me Kikwete is the worst president ever. What a political-cum-historical accident! Those regarding Kikwete as the best are but jerks and goons.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom