Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!

Status
Not open for further replies.
Kiss my black ash

J.K anatakiwa kufanya kazi. Nothing more, nothing less. Anatakiwa kuweka interest za nchi na wananchi wake mbele na sio za familia yake, rafiki zake au investor. Hiyo kucheka Cheka na vibwagizo vingine kila mtu inaweza kufanya kwa muda wake. Actually hata Sisi wananchi tunafanya Hiyo kila siku kila hakuna wa kutupiga picha.
Kwa hiyo usimfanye kuwa yeye huko juu ya kila mtu kwa ukarimu. It is nonsense. He needs to do the job we have asked him to do.

There, you have it.

- Duh! now what this have anything to do with the mada? The Mada is about JK kuwa msikivu, mvumilivu and anayehshimu uhuru wa maoni ya wananchi, I mean I am reading you right?

Es!
 
- sawa sawa mkuu sana, kuna hawa wanasiasa uchwara hapa bongo kwa kweli siku wakipewa nchi kabla hawajaapishwa nahamia malawi siku hiyo hiyo!

Es!
mbona unajishuku na wewe unakesi ya kutujibu nini maana! Tutakapowapa nchi watu wengine 2015 hata mkiamisha na ofisi zenu mtalipa kodi zetu zote mlizo gawana kuanzia dowans, epa, richmond, rada ndege ya raisi
then ndio mtajibu vizuri alicho wafanya
*dr ulimboka
*said kubenea
na wengine wengi tu yaani labda mkajifiche kuzimu hivyo hutakimbia peke yako mtakimbia wengi tu
 
- Duh! now what this have anything to do with the mada? The Mada is about JK kuwa msikivu, mvumilivu and anayehshimu uhuru wa maoni ya wananchi, I mean I am reading you right?

Es!

That's part of his job. What's so hard about that. What has he done after hearing people concerns? People are getting poor, education quality is going down, corruption is of the roof, police are killing innocent people every day, public services are terribly worse than ever, etc.

So, he got nothing accomplished other than showing of his face and trips to western countries.
 
mbona unajishuku na wewe unakesi ya kutujibu nini maana! Tutakapowapa nchi watu wengine 2015 hata mkiamisha na ofisi zenu mtalipa kodi zetu zote mlizo gawana kuanzia dowans, epa, richmond, rada ndege ya raisi
then ndio mtajibu vizuri alicho wafanya
*dr ulimboka
*said kubenea
na wengine wengi tu yaani labda mkajifiche kuzimu hivyo hutakimbia peke yako mtakimbia wengi tu

- Sina kesi yoyote ya kujibu anything or anybody, isipokuwa ninaamini kwamba Taifa langu linahitaji mabadiliko lakini Chadema hamna hayo mabadiliko, so mkiweza kuwadanganya wananchi mkashika nchi nitahamia Malawi!!

Es!!
 
- Well, cant beat the picture bro,

27913_10200109945770629_458955774_n.jpg
Mwambie awaite Ikulu watu aina hii walioko hapa Dar peke yake. Atapata picha nzuri zaidi. Mzee wetu Mengi anakula nao chakula mara moja kila mwaka. Sielewi kama ni masharti ya mganga wa utajiri wake au ni "roho nzuri" kama hii ya JK!
 
That's part of his job. What's so hard about that. What has he done after hearing people concerns? People are getting poor, education quality is going down, corruption is of the roof, police are killing innocent people every day, public services are terribly worse than ever, etc.

So, he got nothing accomplished other than showing of his face and trips to western countries.

- That is the luxury of Democracy for you to have one look while I can have another, cause if we can discuss by dataz you know that all you have said can be diminished in a minute, I understand the President has some weaknesses but it is none of what you have mentioned and infact this is not the right place I mean this subject of the matter is not about his weaknesses rather one of his strength, feel free to start a new thread on his weaknesses!!

- A great thinker should be able to understand the time and place of everything in life! ha! ha1 ha!

Es!
 
Mwambie awaite Ikulu watu aina hii walioko hapa Dar peke yake. Atapata picha nzuri zaidi. Mzee wetu Mengi anakula nao chakula mara moja kila mwaka. Sielewi kama ni masharti ya mganga wa utajiri wake au ni "roho nzuri" kama hii ya JK!

- Ulianza vizuri sana lakini kama kawaida kwa sababu ya kuzoea sana majungu you cant help yourself, matokeo the thing got messed up na kuwa majungu matupu!!

Ukinisoma kwa kukatakata sentensi namna hii hautanielewa au utanielewa unavyotaka ambalo ndilo tatizo lako kubwa hasa unapobanwa kwa hoja.
 
quote_icon.png
By WildCard

Mwambie awaite Ikulu watu aina hii walioko hapa Dar peke yake. Atapata picha nzuri zaidi. Mzee wetu Mengi anakula nao chakula mara moja kila mwaka. Sielewi kama ni masharti ya mganga wa utajiri wake au ni "roho nzuri" kama hii ya JK!

- Ninapobanwa na hoja za mganga wa kienyeji? Kweli unategemea mimi nijadili hoja za waganga wa kienyeji? duh!

Es!
 
- Sina kesi yoyote ya kujibu anything or anybody, isipokuwa ninaamini kwamba Taifa langu linahitaji mabadiliko lakini Chadema hamna hayo mabadiliko, so mkiweza kuwadanganya wananchi mkashika nchi nitahamia Malawi!!

Es!!
Yerewiiiiiii ! Mheshimiwa kumbe wewe haupo mbali sana na mimi ama hujanielewa kidogo. sasa kama taifa lako linahitaji mabadiliko je ndio hayo mabadiliko ya kujivua Gamba au mabadiliko gani. Hebu nijibu solution nzuri kwa mtu alie Baka kabinti ka miaka 5 ni kumshtaki na kumtenga mbali na jamii au kumwambia abadilishe nguo na kuendelea kuwa nae, Eti kwasababu tu huwa anasafisha barabara kwenye kijiji

HALAFU.......... unatakiwa ujue Vita ya sisiemu na Wananchi ni nzito kuliko vita vya sisiemu na chadema Kwahiyo tutakaoiondoa madarakani sisiemu ni sisi wananchi na sio chadema kwani ndugu mheshimiwa Mmeifanyia Dhambi gani Chadema? Maovu yenu ni Dhidi ya Wananchi na sio chadema, Hivyo sisi ndio tutawahukumu
 
- Ninapobanwa na hoja za mganga wa kienyeji? Kweli unategemea mimi nijadili hoja za waganga wa kienyeji? duh!

Es!
Nisome vizuri tu. Nikusaidie kidogo. Mzee Mengi anaandaa chakula kwa walemavu kama hawa zaidi 500 kila mwaka kwa gharama zake hapa Dar. JK kwa gharama zetu amemfikia mlemavu huyu. Atamnunulia bajaj kwa gharama zetu. Halafu wewe unaipa uzito sana picha hii ambayo nayo imepigwa na kusambazwa kwenye media kwa gharama zetu!

Angalau usingekuwa wewe FMES!
 
- Ok no what Mengi has to do na tabia za Rais kuwa msikivu, mwenye huruma na mwenye kuheshumu uhuru wa wananchi kutoa mawazo yao? Eti what has Mengi have anything to with that?

Turudi kwenye picha iliyobeba uzito wa thread yako hii. Bado unaipa uzito uleule au? JK angekuwa msikivu kama unavyotaka tuamini asingemteua Lowasa kuwa WAZIRI MKUU wa NCHI hii!
 
- That is the luxury of Democracy for you to have one look while I can have another, cause if we can discuss by dataz you know that all you have said can be diminished in a minute, I understand the President has some weaknesses but it is none of what you have mentioned and infact this is not the right place I mean this subject of the matter is not about his weaknesses rather one of his strength, feel free to start a new thread on his weaknesses!!

- A great thinker should be able to understand the time and place of everything in life! ha! ha1 ha!

Es!

You really crack me up. As a citizen, if I see my fellow citizen or family member going through hard time I can either help directly or take a bolder initiative to find a collective solution.

A step further, if I was a president, I have all the resources at my disposal to address the problem and find the solution.

Now you want us to look the picture at it's face value and that's the end of story.

That's not comedy Central. That's someone's life, his well being and there thousands like him.

So if you posted the picture to be discussed in one perspective only, you should have posted on "Baba huruma" forum.

We don't play with people lives here.
 
- Ok no what Mengi has to do na tabia za Rais kuwa msikivu, mwenye huruma na mwenye kuheshumu uhuru wa wananchi kutoa mawazo yao? Eti what has Mengi have anything to with that?

Es!

Duuh.. Kweli wewe nunda.. Mantiki ya wewe kupost hiyo picha c ilikuwa kumuonesha raisi wako kwamba ana huruma..? Anacikiliza.. Au..? Sasa Mkuu Wildcard anakuhabarisha kwamba Mengi kwa takribani miaka 17 sasa anawaalika walemavu kwa hela yake na kula nao chakula cha mchana..! unahama sasa na kwenda kwenye ucikivu na kuheshimu mawazo ya watu..!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom