Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!

Status
Not open for further replies.

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Apr 27, 2006
12,655
938
- Sawa kila bin-adam ana mapungufu yake so is our president, lakini kuna one thing ni kwamba ataenda down on our history kama ni the best ever President, mkomavu na msikivivu kuliko wote tuliowahi kuwa nao, ukisoma magazeti ya kila siku, ukisoma mitandao ni matusi tu ya kumtukana mpaka nguoni, lakini hana hiyana na wote wanaomtukana. Tunaona kila siku anakutana nao, anaongea nao wengine ndani ya chama wanajifanya maadui zake lakini hana hiyana nao!

- Unatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na wengine, infact wale wanaomrushia matusi rais kila siku, thubutu uwaguse wao, yaani ni balaa! jamani jifunzeni toka kwa Rais kwamba siasa sio vita wala ugomvi, ndio manakwama kwenye ndoto zenu maana hamjaiva bado, hamjakomaa bado, bado hamjui Demokrasia na maana yake, shida yenu ni madaraka tu, mimi nasema mkishika nchi nahamia Malawi!!27913_10200109945770629_458955774_n.jpgFMES - SAUTI YA UMEME!!

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,911
Labda hii sio sehemu yake...labda.
Tulipokuwa watoto tuliambiwa tuoshe miguu yetu vizuri kabla ya kwenda kulala. Sababu ya kuosha miguu ni kuwa kama miguu yako ni michafu na itatoa harufu, panya watakuja kula miguu yako. Nilishangaa ni jinsi gani panya ataweza kukun'gata miguu na kuchukua vipande vya mwili wako bila wewe mwenyewe kustuka! Niliambiwa kuwa kabla ya kukuuma, panya hukupuliza na ule upepo unakupoza kiasi ambacho hata akikun'gata husikii maumivu. Ila ukizinduka asubuhi utakumbana na vidonda miguuni.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Mkuu rombo

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
1,556
419

malezi mazuri ya wazazi huzalisha fikra nzuri naunga mkuno hoja yako
 
Mimibaba

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
4,558
1,285
Siyo tu Kikwete ni the bast ever!! naongezea Kikwete ni mwanaharamu aliyekamilika kama ulikuwa na maana hiyo maana sikuelewi kabisa
 
Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,872
8,686
FMES usisahau wanataka kupigana vita na Malawi...watakufuata huko huko,lol!
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
305
Rais Dk Kikwete ni muungwana sana sana, hatutapata rais Tanzania kama yeye itatuchukua muda mrefu sana, natamani katiba mpya ibadilishe vipindi vya urais kutoka 10 yrs to 20 yrs ili tuendelee kuwa nae.
 
Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,190
286
- Sawa kila bin-adam ana mapungufu yake so is our president, lakini kuna one thing ni kwamba ataenda down on our history kama ni the best ever President, .......

FMES - SAUTI YA UMEME!!Mkuu FMES,
Naona umechelewa kidogo muda wa kujipendekeza ukakupita. Haya ulitakiwa uyafanye wakati ule Kikwete alipokuja NY akakuambia kuwa urudi TZ ili akupe ulaji. Wewe uling'ang'ania kubangaiza NY mpaka akagawa karibu kila kitu. Sasa ndio umerudi TZ na kuanza kujipendekeza wakati yeye jua ndio linazama na anajiandaa kung'oka....... Ningekushauri utafute mtu mwingine wa kujipendekeza kwake ambaye labda atashinda 2015, otherwise utasota sana hapo bongo.

Hayo unayomsifia JK kuwa nayo yamemsaidia yeye binafsi, lakini hayajaisaidia nchi.
 
Field Marshall ES

JF-Expert Member
Apr 27, 2006
12,655
938
Rais Dk Kikwete ni muungwana sana sana, hatutapata rais Tanzania kama yeye itatuchukua muda mrefu sana, natamani katiba mpya ibadilishe vipindi vya urais kutoka 10 yrs to 20 yrs ili tuendelee kuwa nae.

- SAWA SAWA MKUU SANA, KUNA HAWA WANASIASA UCHWARA HAPA BONGO KWA KWELI SIKU WAKIPEWA NCHI KABLA HAWAJAAPISHWA NAHAMIA MALAWI SIKU HIYO HIYO!

Es!
 
Son of Alaska

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
2,813
1,034
I ADMIRE your guts,FMES-mpaka kieleweke-end product ni kikwete will have no option but sign a memo ambayo itaku ellevate.The wise always say"the are many ways to get to ones destination"
 
Field Marshall ES

JF-Expert Member
Apr 27, 2006
12,655
938
Mkuu FMES,
Naona umechelewa kidogo muda wa kujipendekeza ukakupita. Haya ulitakiwa uyafanye wakati ule Kikwete alipokuja NY akakuambia kuwa urudi TZ ili akupe ulaji. Wewe uling'ang'ania kubangaiza NY mpaka akagawa karibu kila kitu. Sasa ndio umerudi TZ na kuanza kujipendekeza wakati yeye jua ndio linazama na anajiandaa kung'oka....... Ningekushauri utafute mtu mwingine wa kujipendekeza kwake ambaye labda atashinda 2015, otherwise utasota sana hapo bongo.

Hayo unayomsifia JK kuwa nayo yamemsaidia yeye binafsi, lakini hayajaisaidia nchi.

- Naona unayajua sana mambo ya kujipendekeza mpaka sheria za kujipendekeza unazijua vizuri, pole sana sio wote wenye hizo tabia kumbe wewe una siasa za kujipendekeza sasa unaamini wote tuna siasa kama zako za kujipendekeza? pOLE SANA BRO, ILA BY THE WAY SIJAWAHI KUISHI HUKO UNAKOSEMA NA WALA SIJAWAHI KUWA NA UHUSIANO NA WEWE WALA JK HAYO YAKO NI MAJUNGU MAANA SIKUJUI NA WEWE HUNIJUI!

- WEWE NI KUBWAJINGA NA MIMI NI FIELD MARSHALL ES WAZEE WA SAUTI YA UMEME!!

Es!
 
Field Marshall ES

JF-Expert Member
Apr 27, 2006
12,655
938
Tuliwahi kuambiwa humu kwamba FMES ni mke wa W.J. Malecela wa hapa JF. Kama ni kweli bila shaka watakuwa wameambukizana hata kuongea pumba

- haiwezi kusaidia anything, hoja ni ukomavu wa Rais JK hayo mengine unapaswa kujua by now kwamba ni waste hatishiki mtu wala hayana faida kwa Taifa, so ongea hoja huna kaaa pembeni!

Es!
 
Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,232
1,464
Kawaulize wasaidizi wake, wanavyo wazungusha hao watu wanamna hiyo pale ikulu wakitaka mwona rais? huyo mzee masikini hata alicho aidiwa sijui kama atakuja kipata?
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

7 Reactions
Reply
Top Bottom