I ADMIRE your guts,FMES-mpaka kieleweke-end product ni kikwete will have no option but sign a memo ambayo itaku ellevate.The wise always say"the are many ways to get to ones destination"
Mara zote ukitaka kupata umaarufu wa haraka, nenda kalie msibani! Kila mjinga atajua kuwa wewe ulikuwa karibu sana na marehemu.
Sina hakika kama picha hiyo inaendana na kilichoandikwa hapo.
hapo mkuu ilifaa iwe mkono.kwa sisi tuliokulia na kulelewa mijini inatupa maana nyingine.samahani kwa sahihisho langu.:becky:
Siyo tu Kikwete ni the bast ever!! naongezea Kikwete ni mwanaharamu aliyekamilika kama ulikuwa na maana hiyo maana sikuelewi kabisa
Wewe ama unajitafutia ban bila onyo, au unataka thread ifungwe.
Mkuu, unaweza kubaki kama mmoja wa waliokuwa wana-JF makini au kuingia kundi la wababaishaji: uamuzi ni wako.
Hivi kweli na busara zako unadhani hizi photo-ops za Kikwete zinamsaidia vipi Mtanzania wa kawaida? Ni vema tusingeona picha za kuhadaa kama hiyo uloambatanisha lakini Rais akatumia madaraka na uwezo wake kupigania kumkomboa mlalahoi anayegubikwa na lindi la umaskini.
Hivi huyo mlemavu ni mwakilishi wa masikini wangapi? Halafu ukiangalia kwa makini picha hiyo inatoa taswira mbovu: Rais amekaa kwenye gari yake ya thamani na huyo mlemavu amekaa chini.Hiyo ni tafsiri nyepesi tu ya taswira.
Kikwazo kwa Tanzania yetu ni kuibuka kwa kundi la wachumia tumbo.Watu ambao japo wana upeo wa kutofautisha mambo lakini wanakuwa watumwa wa sifa na/au kujikomba.
Dawa ya kukomesha usanii wa huyu FMES ni kucopy threads na post zake za nyuma kumuumbua labda akiri ametubu kwa hao mabwana zake wanaomuweka mjini! By the way Willy nini shughuli yako maalum toka urudi Bongo? Kazi huna unaganga njaa kama Tambwe Hiza bana!
Mkuu, unaweza kubaki kama mmoja wa waliokuwa wana-JF makini au kuingia kundi la wababaishaji: uamuzi ni wako.
Hivi kweli na busara zako unadhani hizi photo-ops za Kikwete zinamsaidia vipi Mtanzania wa kawaida? Ni vema tusingeona picha za kuhadaa kama hiyo uloambatanisha lakini Rais akatumia madaraka na uwezo wake kupigania kumkomboa mlalahoi anayegubikwa na lindi la umaskini.
Hivi huyo mlemavu ni mwakilishi wa masikini wangapi? Halafu ukiangalia kwa makini picha hiyo inatoa taswira mbovu: Rais amekaa kwenye gari yake ya thamani na huyo mlemavu amekaa chini.Hiyo ni tafsiri nyepesi tu ya taswira.
Kikwazo kwa Tanzania yetu ni kuibuka kwa kundi la wachumia tumbo.Watu ambao japo wana upeo wa kutofautisha mambo lakini wanakuwa watumwa wa sifa na/au kujikomba.
Halafu ukiangalia kwa makini picha hiyo inatoa taswira mbovu: Rais amekaa kwenye gari yake ya thamani na huyo mlemavu amekaa chini.Hiyo ni tafsiri nyepesi tu ya taswira.
Rais Dk Kikwete ni muungwana sana sana, hatutapata rais Tanzania kama yeye itatuchukua muda mrefu sana, natamani katiba mpya ibadilishe vipindi vya urais kutoka 10 yrs to 20 yrs ili tuendelee kuwa nae.
- so hiyo picha imekutesa sana maana inaonyesha Rais msikivu na mwenye huruma!!
Es!!
- Nyerere na Kambona walianza pamoja, lakini njiani wakaachana baada ya kugundua kwamba raangi zao hazifanani, sure mimi na wewe tulianza wote na wengine wengi lakini njiani nimegundua kwamba hatufanani na lengo sio moja, one thing kwenye maisha yangu sikubali kuburuzwa na mtu kwa nguvu, ndio maana njia imekuwa panda, lakini msimamo ni ule ule ila ukweli ni ukweli kwa maoni yangu kwamba:-
Dr. JK ni raais mkomavu sana kisiasa anaweza kuishi na matusi na wanaomtukana na anaweza kuwavumilia hata maadui zake ndani ya chama, unajua kwamba kwenye awamu ya kwanza haikuwa hivi ukisema tu unapotea mjini!!
Es!
Huna tofauti na wale watu wazima waliotoka nyumbani kwao na kwenda kusukuma gari la Jailo. kwa jinsi ulivyokuwa na uchu wa "kupewa madaraka", hata 0713 unaweza kutoa kwa urahisi mno. kuwa makini kumsifia mwanaume mwenzako...
nilipobold una uhakika?kubenea alimwagiwa tindikali kwa sababu ya kumkosoa jk na gazeti lilifungiwa miezi mitatu,ulimboka katekwa na kuteswa sababu ya kudai haki ya madaktari,..babu seya na wanae wote wamepelekwa jela maisha sababu babu seya alipendwa na kumtafuna hawara yake jk
kuna tofauti ya kuwa mvumilivu kwa maneno yanayoelekezwa kwako na kuwa kilaza,ukiwa kilaza hata hoja zinazoletwa kwako huwezi kuzijibu
wanafunzi wanapata mimba sababu ya kiherehere
foleni dar ni dalili ya maisha bora
sijui chanzo cha umasikini wa nchi yangu..
the list goes on and on and on
what do you expect from such bogus president???silence!!!!
ni mchumia tumbo W. J. Malecela...