Huyu Mama ndie Mfadhili, mratibu na Muwezeshaji wa Mgomo wa Madaktari uliogharimu maisha ya watu wengi sana wasio na hatia. Alijaribu kukusanya watu kuandamana kama ile Arab spring kwa kigezo cha kupinga Mgomo wa Madakatari aliokuwa akiuratibu chinichini ili wamng'oe Jk kuanzia pale Palm beach lakini kutokana na Upevu wa kiakili wa wa tz mkusanyiko uliokutwa pale haukujaa walau defender mbili za Polisi.Mungu ampe afueni na ahudumiwe vyema na Madakatari akiona Serikal ya awamu ya 5 ccm ikichapa kazi ila ajue hii serikal sio ya jk iliyokuwa na uvumilivu wa kiwango cha juu sana cha uvumilivu kuwahi kutokea Africa nzima