The game of thrones.
Ili dunia na ncha zake wajueswali aliwezaje kumobilese itv asubuhi ile na kufika eneo la tukio au alijua nini kitatokea akawaweka standby
Mkuu Pasco, ni kwamba gari la mama Helen lilikuwa limesimama kwenye Taa za junction ya Agha Khan na Ali Hassan Mwinyi likiwa linaelekea Posta.
Taa ziliporuhusu gari za Ali Hassan Mwinyi road kuondoka ndipo gari ya Dr. Helen ilianza kuondoka, wakati huo kulikuwa na gari inatokea baharini imekuja speed kuwahi ipite kabla taa hazijazuia ndipo ikaigonga gari ya Dr. katikati ya junction.
OMG! it was bad,mungu awaepushie madhara makubwa.
Ile Sehemu Mbona Kama Haiko hatarishi Kihivyo? Wagongaji na Gari Yao Wamekamatwa Ama wamekimbia? Watu wameshaanza Kuleta Sarakasi...
silinatumia mafuta oil na bima, kuna maceo wanatumia magari ya kawaida tena wazungu na wengine ni watoto wa hao donors. mbona waziri mkuu wa Holland anatumia baiskeli, waziri mkuu wa korea ya kusini anatumia usafiri wa umma, mtoto wa samsang anapanda economy class.
Huyu ndie alieshauri na kumtafuta Dr.Ulimboka aingoze Mgomo wa kudai Maslahi ya madaktari wa Serikalini wakati Ulimboka hakuwa Mtumishi Serikalini alikuwa Mtumishi kweny NGO ya nje ya nchi lengo ni kuhakikisha mgomo ule udumu mpaka Wananchi wakose Uvumilivu iliposhindikana wakapanga hujuma dhidi ya Ulimboka ionekane Serikal imemdhuru Madakatari wazidi kuichukia Serikal lakini Baada ya Ulimboka kupona na kujua ukweli wote alijitoa kabisa kwny hizo harakati na hata mahusiano na Maelewano na Waliomchochea yalikufa kabisa hataki hata kuwaona. We mtu atupwe mabweoande halafu mtu wa kwanza kufika kumuokoa awe Hellen kijokisimba akiwa na mlolongo wa Vyombo vya habari na kamera kuanzia kulekule porini!!! Pole ndugu kupoteza Mzazi
Kwahiyo ni kwa ubavu na sio kwa nyuma
silinatumia mafuta oil na bima, kuna maceo wanatumia magari ya kawaida tena wazungu na wengine ni watoto wa hao donors. mbona waziri mkuu wa Holland anatumia baiskeli, waziri mkuu wa korea ya kusini anatumia usafiri wa umma, mtoto wa samsang anapanda economy class.
Acha wivu wa kijinga hlf kunbuka yeye kalinunua kwa hela zake na kila kitu anakilipia yeye binafsi
Ni ubavu Mkuu, ajari nimeishuhudia japo majeruhi sikuwakuta.
Mtoto wa bhakresa anaendesha lombardine, mengi ana benz bullet proof hatuhoji tunajua ni mapato ya kazi zao, huyu anaishi kwa misaada ya wahisani anakula jasho la wajane na watoto wa mitaani, yaani anaishi kwa migongo ya masikini haya maisha ya kifahari namna hiyo hapana kabisa.
Huyu mama alikuwa anapinga matumizi ya mashangingi kumbe na yeye analo, mungu kamuumbua.
ndo maana nasema kumbe masikini tumebaki wachache, sasa nakubaliana na magufuli masikini ni 28% ya watanzania.