Pole yake. Kumbe biashara ya kuuza siri za nchi inalipa. Hilo lilikuwa kali sana.
Alikua mpinga Lowasa nini?
Jamani kuna watu hatari hapa duniani,huyu mama naye siyo mtetezi wa kweli wa haki za binadamu,na yeye ni anatafuta maslahi yake tu,angalia mama anasukuma V8.
Ukali wake ni nini? Mbona ni gari la kawaida hilo. Ingekuwa Passo au Virtz pia mngesema tu. Badala ya kuombea wenzetu wapone haraka wewe umefanya hilo ni by the way cha kwanza kwako imekuwa ukali wa gariMtetezi ana gari Kali ivyo sikujua ilo.
Ila pole mama and get well soon
hii nchi tuache tu kuhubiri ufisadi, sikutegemea huyu mama angekuwa na gari kali namna hii, sasa naamini kuwa nchi hii masikini ni wachache mno wengine wanajifanyisha tu. Mleta story hebu tueleze alikuwa anaendesha mwenyewe kama nape? basi asijekuwa kajitoa muhanga zile computer zilizochukuliwa na kova zilikuwa na mambo mazito sana.
zile pesa za paralegal nadhani ndo matunda yake haya.
Tizama gari ya nape, nyumba ya deo, sasa gari la dr! hapana hii nchi mtetezi kabaki magufuli tu, nae akitutosa basi tena.