ukitaka kujua hawa watu wanafiki badala ya kutueleza anaendeleaje wanatuporomoshea matusi tu,FF
maneno yako ni makali lakin huo ndio ukweli
hawa watu ni wanafiki kwa kweli . hayo mashangingi ya milion 120 . ni project mbali mbali ambazo kwa bahat mbaya sana hizo hela haziwafikii walengwa