Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,434
Ahsante kwa kuwauliza hilo,Mafia oyeeee. Nalog offmbona anawajengea shule hapo mafia na nyumba hamsini za walimu hamsemi???
wajf wengine acheni kuleta chuki zenu binafsi humu,
Ahsante kwa kuwauliza hilo,Mafia oyeeee. Nalog offmbona anawajengea shule hapo mafia na nyumba hamsini za walimu hamsemi???
wajf wengine acheni kuleta chuki zenu binafsi humu,
huyu mama lazima tumletee zengwe wakijifanya na userikali wao tunawarogerea mbali.Nalog off
Well another week another Dr Dau thread
Isnt this amazing?
Tatizo hapa mleta hoja hana data wala taarifa za ukweli kuhusu hii issue na kama anazo basi kwa makusudi anajaribu kupindisha ukweli
Kilichotokea ni kuwa viwanja vilitangazwa pale kilindoni Mafia
Dr Dau aliomba akakosa lakini ndugu yake Mbaraka aliomba akafanikiwa kuupata
Huyu Mbunge wa Mafia bwana Buji ili kumnyamzisha naye alipewa yeye na mkewe mpya
Madiwani 5 nao walipewa ili wasinyamazishwe
Lakini suala la msingi hapa ni kuwa kwa sababu Mafia ni kisiwa kidogo na hakuna rasmlimali ya mtu zaidi ya kuwa na Kiwanja au ardhi na waliolalamika ksi Dr Dau pakee bali ni wananchi wa Mafia kuwa priority hawakupewa wao bali wa watu ambao hawana ukazi mafia lakini pia hawana nasaba na pale ili hali wenyeji walioomba wamenyimwa
Na kwa kuongeza tuu ni kuwa idara ya ardhi pale Mafia kumejaa ufisadi wa kupindukia. Imagine mtu kama mbunge wa Songea DEVOTH LIKOLOLA anapewa kiwanja lakini mzaliwa pale Mafia na aliyeoomba kihalali alikosa.
Wananchi wa Mafia waliiolalamika na si Dr Dau pekeee.
As I type imeundwa tume kuchunguza hili suala
Tusisahau kuwa huko nyuma hao maofisa pale wilani wanaogawa kiufisadihivi viwanja Kisiwani Mafia ndio hao hao walioidhinisha lile TAMASHA LA MASHOGA pale kisiwani
kwanini mafia au kwasababu ni kisiwa kidogo?Imani yako itakuponya!La kwa Mtajwa juu ya udini nimesikia sana hilo jambo hasa kwenye Shirika lake la nssf!Waswahili husema lisemwalo lipo na kama halipo laja!Kwa NSSF jaribu kufanya situation and root cause analysis utaona!nafakiri ndio yaliyofika mafia
ni kweli kabisa wamejimegea viwanja kama hawana akili nzuriWana jf naona mnamsakama sana huyu Dr.Dau hata kama ana mchango mkubwa katika shughuli za maendeleo hasa ya nchi yake.
Hivi ni watu wangapi hujenga na kuimarisha miji yao wanayotoka? Yaani kuwatetea watu wa Mafia ili waweze kupata ardhi ndogo ya kumiliki katika maeneo yao pia ni udini?
Hebu acheni kueneza sumu mbaya.Nani asiyejua kuwa ni viongozi wangapi wa serikali wamemaliza viwanja vyooote vya mji wa Dar es Salaam na wenyewe wamebakia weupeeeeeeeeeeeeeeeeeee wanakimbilia maporini tena wanawacheka kwa kufanya hivyoooooo.
Sasa wameingia Mafia pia wagawane wawaache wa Mafia pia weupeeeeeeeeeeeee.Mambo haya mpaka lini.
Alichofanya Dr.Dau ni kizuri sana tena saaaaaaaaaaaannnaaaaaaaaaaaa cha kuwaokoa wanyonge wa Mafia ili wapate ardhi ya kuishi.Nawaambia watanzania wenzangu wa Mafia waungane na Mzee Dau kufanikisha uwezekano wa kurudisha ardhi yao kwao.
Napatwa na woga kwa hiki ulichochangia Mzee M/kijiji. Huu si mchango wa caliber yako hata kidogo. Na hii sasa inadhihirirsha kuwa ukombozi wa mlalahoi wa Tanzania hautafanikiwa kwa kuwa watanzania si wamoja abadan. Miongoni mwa tatizo linalopigiwa kelele na wanaharakati wengi hapa nchini ni mgawanyo usio sawa wa raslimali za nchi hususan kwa watu wa daraja la chini. Hawa hawana access ya makazi bora, lishe bora, mavazi bora, elimu bora nk. Hivyo tambua kuwa mtetezi yeyote wa equal sharing ya resources za nchi ni lazima afikirie namna atakavyoweza kuwawekea mazingira ya kupata huduma hizi kwa kada ya watu hao. Viwanja/Ardhi/Makazi ni miongoni mwa masuala hayo. Sasa kwa kesi ya mafia hoja ni kwamba, wale indigenous people; yaani wakazi walio wengi ni maskini ikiwa pamoja ni maskini wa makazi bora ambayo yanaanzia na viwanja. Hivyo mpango wa ugawaji viwanja ni dhahiri ulipaswa kutoa vipaumbele kwa wakaazi wa mafia(regardless dini yao au asli yao). Nasema mkaazi wa mafia na si mpita njia wa mafia kama watumishi/watu wa mahoteli ambao wengi wao wana possibility ya kuondoka katika muda fulani na huenda wameshajenga base katika maeneo mengine waliyochagua wenyewe katika safari yao ya kikazi na si kwa yeyote mwenye uwezo wa kununua/kumiliki kutokana na hadhi yake(kumbuka watumishi walio wengi katika ngazi za wilaya wanakuwa na jukwaa moja kwa kuwa wanakuwa na sifa/hadhi na elimu inayolingana hivyo kuwa rahisi kupata accessibility ya mambo flani) na kwa kiasi fulani kuwatenga wakaazi wa wilaya au eneo hilo. Sina maana kuwa asiye mkaazi hawezi kupata au hana ruhsa ya kupata, nazungumzia suala "priority" kwa wakaazi wa kudumu wa eneo hilo ima kwa wao wenyewe au kwa uzao wa asli ya familia yake kwa sababu kwa nature ya Tanganyika ilivyo wana competition capability ndogo ukilinganisha na watumishi ambao hawa watumishi mimi nawaona kama ni daraja la kati kwa mfumo wa maisha ya Tanganyika na wengi wao wanamiliki makaazi/wana uwezo wa kufanya hivyo pia katika maeneo mengine ya nchi yetu na kupelekea kile kinachoitwa "hoarding" ya viwanja. Matokeo yake tukiamua kutumia nguvu ya ushindani, tutajikuta huyu mkaazi wa mafia(kumbuka siyo mafia tu ni popote Tanzania mfumo ntakaouunga mkono ni huo) hatofaidika hata na raslimali nyepesi kabisa ambayo ni makazi, yes hana uwezo wa kupanda gari kwenda kigoma kununua kiwanja na kuanzisha maisha na hata uwezo akiwa nao nguvu za kiuchumi zinamzuia kutokana na namna alivyoandaliwa! Ni bahati mbaya tu haya yanatokea pwani kwa sababu harakati za maisha tuliyonayo zinawavutia zaidi watu pwani kuliko bara, lakini am sure ingelikuwa kinyume tatizo hilihili lingelijitokeza. Hivyo bac, equity isipoangaliwa tutafika pahali mtanzania X ana access ya makazi zaidi ya kumi katika maeneo tofauti na mtanzania y atakuwa hana access ya makazi hata alipozaliwa kitu ambacho kitaleta matabaka ya ajabu sana huko mbeleni. MM, najua ww ni Mtanzania, pamoja ya kwamba labda wewe na mimi hatujakulia vijijini, lakini huko vijijini(kuanzia ngazi za wilaya wakaazi wa kawaida wana hali mbaya hivyo lazima wasaidiwe njia bora za kupata mahitaji yaliyo katika maeneo yanayowazunguka hili haliepukiki. Kwa namna fulani, tofauti baina ya mtanzania na asiye mtanzania ni sawa na tofauti baina ya Mkigoma na Mkilimanjaro; wote ni wanadamu wenye mahitaji yaleyale wanaotofautishwa na mipaka ambyo ni man made lakini wanaharakati popote duniani wanataka priority kwa raslimali za nchi yake ianzie kwa wananchi wa Nchi hiyo simply kwa kuwa asiye raia wa nchi ile inaaminika kuwa jukumu la kufaidika na keki ya dunia linaweza pia kufanywa na nchi ambayo yeye raia! Please MM na wana JF wengine, tufikie pahali tuwe fair kama tunataka umoja haya mambo ya uislamu/ukristo/umachame/umakuwa hayataondoka asilani hivyo tukubali tu sote ni watanzania lakini tunaotoka sehemu tofauti ndani ya nchi so suala la kudai ubaguzi katika masuala ya ki-equity kama hili halitatusaidia. Kwa kumalizi mimi binafsi naunga mkono kipaumbele cha viwanja kianze kwa wakaazi wa kudumu wa eneo hilo (popote Tanzania) ili waweze atleast kupata hiyo haki yao ya makazi kwa kwani haki nyingine tayari zinachukuliwa na mafisadi ili kutotoa nafasi kwa wengine kuanza kupata haki ya ku-hoard na kufanya biashara wakati wengine wanatafuta haki ya kulala tu. {Usiwafanye sehemu ya watu fulani wawe na hali ya juu sana kwa kupitia mgongo wa kuwafanya watu wengine wawe na hali ya chini sana}
Kama mkazi wa Mafia anaomba kiwanja na anakosa na mkazi wa nje anapata kisa ni MBUNGE, clearly kuna mambo mawili kisheria.
La kwanza, sheria imevunjwa na haki ya mtu nyang'anywa na la pili sheria itakua na loophole kuachia ufisadi ufanyike. Sasa wale ambao ni "wataaalumu" wa sheria tunaomba watuangaze.
Kusema kuwa bwana Dau ni mdini si hoja ya msingi katika mada hii. Swala la msingi ni kwamba inakuaje mkazi wa Mafia anakosa kiwanja na anaenda kupewa mtu ambaye si mkazi. Kumbuka, wakazi wa Mafia wengi hali zao ni dhoofu. Na yule ambaye anauwezo wa kutoka alikotoka na kuja Mafia kuchukua ardhi inadhihirsha kuwa anauwezo wa kifedha kuliko a normal Mafian. Sasa je priority apewe mtu mwenye hela au mkazi wa Mafia?
It seems wanaJF are so blinded by hatred on bwana Dau on the basis of his religious belief. Mambo ya NSSF na ugawaji wa ardhi Mafia, mambo ya dini na ugawaji wa ardhi Mafia yanaingiaje. The guy anatetea haki ya an average Mafian watu hamtaki. Sasa ni kitu gani hasa mnataka?
ahsante kwa orodhaTunaenda na jf style
invisible unaweza kuiweka top kama kiambatanishi.....
![]()
![]()
![]()
View attachment 41088
View attachment 41086
View attachment 41083
hawa dawa yao ni kuwaletea uzushi mpaka basiJamani bora kuuliza na mkaeleweshwa basis ya malalamiko ni nini.
Ninafahamu fika kuwa idadi ya waombaji ilikuwa ni kubwa sana ukilinganisha na viwanja vilivyopo. Hivyo basi, isingekuwa rahisi kwa kila aliyeomba akapata mahitaji yake. Kwa mantiki hiyo, sisi wakazi wa Mafia INCLUDING huyo Dr Dau hawana tatizo la kukosa kiwanja na tunaamini kabisa hata wenzetu hao waliokosa viwanja kama kama wengine , hawana tatizo na hilo.
Kitu ambacho kinachotatiza hapa kama ileee ya TAMASHA LA MASHOGA MAFIA mwaka jana, (na ndiyo msingi wa malalamiko ya Dr Dau na wenzake ) ni kuwa ofisi ya Mkurugenzi haikuweka wazi vigezo vilivyotumika kugawa viwanja hivyo. Hali hii inatia mashaka hasa ukizingatia kuwa wengi waliopewa viwanja hivyo si wakazi wa Mafia ambayo ki jiografia ni kisiwa kidogo ambacho hakina raslimali yoyote ile zaidi ya ardhi ndogo iliopo na na baya zaidi wengi wa hao waliopewa ni watumishi wa Halmashauri na hasa watumishi wa Idara ya Ardhi, jambo ambalo ni kinyume kabisa na misingi ya Utawala Bora [principles of good governance].
Cha kijiuliza DC wa Mafia bwana Mangochie Manzie, Mbunge wa Mafia bwana Abdulkarim Shah (Bulji) pamoja na madiwani wanatekeleza ilani ya Chama gani? Kwa sababu ni wazi kuwa hawa hawa mwaka jana walipigania TAMASHA LA MASHOGA liende kisiwani Mafia, mwaka huu wameamua kujipatia viwanja wao na wake zao KIFISADI bila kuweka maslahi ya wana Mafia kwanza kama wakazi wa pale
ilificha ubadhirifukuna hoja mbili kuu za msingi ambazo nashangaa hutaki kuzi address:
1. Hawa hawa waliopitisha hii kitu ndiio hao hao walioleta TAMASHA LA MASHOGA kisiwani Mafia mwaka jana. Je hawa watu wana maslahi na wakazi wa Mafia?
Je hawa watu kwa mtazamo wako wanayo moral authority ya kuamua nani apewe nini Mafia ? Je wewe unaunga mkono ushoga?
2. Wengi wa waliopewa hivyo viwanja ni staff wa Halmashauri pale na je huoni kama kuna conflicts of interests?
3. Hujauliza kwa nini idara ya ardhi Mafia ilificha na haikutoa vigezo vya kutoa hivi wiwanja sasa wewe huoni hapo kuna matatizo ya transparency?
well saidOf course anyone can settle anywhere in the country lakini that doesnt mean locals should not be consulted before these decisions are made. The future is an ecologically protected Island such as Mafia ought to contain smaller, less crowded, more socially cohesive, sustainable and greener communities and thats what the locals are fighting for
haiwezekani na inauma sana,nakusanya nguvu nije kuleta ukombozi.Nalog offTatizo ni kuwa hao wanaogawa ardhi na ni hao hao walioleta tamasha la mashoga Mafia. Lakini tatizo kubwa zaidi ni kuwa ugawaji wa viwanja hivyo ulikuwa:
1. hauna misingi ya utawala bora,
2 ulijaa upendeleo
3. ulijaa vishawishi vya rushwa.
4. Haukuwa transparent
5. Haukufanyika public consultation
6. Haukuzingatia mazingira
Hata ingekuwa ni kijiji chenu haiwezekani ukakubali tuu watu waje wapewe bila wenyeji kuulizwa ukizingatia SPECIAL case ya kuwa sehem yenyewe ni kisiwa tena kidogo mno
Tuache SIASA DR DAU kwa sababau anamleta ndugu yake MBARAKA KUGOMBEA UBUNGE MAFIA ndo anayajua haya yote anasahau nyy amenunua nyumba kinondoni,ana viwanja 30 kgamboni amejiuzia nyumma za NSSF Dodoma je huko kwao huyo ni mbaguzi wa kidini na kabila maendeleo ya mafia kayapeleka kwao bweni shule na msikiti kajenga kwao kawanyang'anya eneo ROMAN CATHOLIC kamweka mpiga kelele wake RHUMBA alidai MIDEF itajenga chuo cha VETA mpaka leo miaka mi3 hana alokifanya mnatetea nn we mlete ndugu yako sisis ndo wamafia tutachukua tutaweka waaaaa na pesa zenu tutakula kama za OMARY KIMBAU BULJ mafia kama GADDAFI tutakufa naye aloyafanya makubwa....
Tuache SIASA DR DAU kwa sababau anamleta ndugu yake MBARAKA KUGOMBEA UBUNGE MAFIA ndo anayajua haya yote anasahau nyy amenunua nyumba kinondoni,ana viwanja 30 kgamboni amejiuzia nyumma za NSSF Dodoma je huko kwao huyo ni mbaguzi wa kidini na kabila maendeleo ya mafia kayapeleka kwao bweni shule na msikiti kajenga kwao kawanyang'anya eneo ROMAN CATHOLIC kamweka mpiga kelele wake RHUMBA alidai MIDEF itajenga chuo cha VETA mpaka leo miaka mi3 hana alokifanya mnatetea nn we mlete ndugu yako sisis ndo wamafia tutachukua tutaweka waaaaa na pesa zenu tutakula kama za OMARY KIMBAU BULJ mafia kama GADDAFI tutakufa naye aloyafanya makubwa....
Tuache SIASA DR DAU kwa sababau anamleta ndugu yake MBARAKA KUGOMBEA UBUNGE MAFIA ndo anayajua haya yote anasahau nyy amenunua nyumba kinondoni,ana viwanja 30 kgamboni amejiuzia nyumma za NSSF Dodoma je huko kwao huyo ni mbaguzi wa kidini na kabila maendeleo ya mafia kayapeleka kwao bweni shule na msikiti kajenga kwao kawanyang'anya eneo ROMAN CATHOLIC kamweka mpiga kelele wake RHUMBA alidai MIDEF itajenga chuo cha VETA mpaka leo miaka mi3 hana alokifanya mnatetea nn we mlete ndugu yako sisis ndo wamafia tutachukua tutaweka waaaaa na pesa zenu tutakula kama za OMARY KIMBAU BULJ mafia kama GADDAFI tutakufa naye aloyafanya makubwa....
Mke wa bulj ni mtanzania ana haki ya kupata kiwanja na devotha likokola sio mchina muache ubaguzi nyoooooooo
Umesema mengi hapa nenda taratibu na kwa kituo.. what happened?
Huonekani kujenga hoja za maana ktk mazungumzo yako na unataja vitu vingi bila kua na ushahidi. Kwa mfano unasema kua anamleta ndugu yake mbaraka kugombea ubunge sasa katika hilo kosa liko wapi. Sio mtanzania? hafai kugombea au nini hasa tatizo jaribu kuongea kwa point.
Baadae ukasema amenunua nyumba kinondoni sasa mtu director wa kampuni ni ajabu au kosa kununua nyumba tena sehemu kama kinondoni? Kaangalie nyumba za maofisa wadogo tu mbezi beach. Haya unadai ana nyumba 30 kigamboni bila kuto ushahidi na kama ushahidi upo basi pia maswali mengine yatajitokeza kama vile hizo nyumba amenunua, amekopa au amepangisha. Kama anayopesa ya kununua nini tatizo?
Kitu kingine unadai amejenga shule kwao hiyo inaonyesha ni mtu makini na ni mtu anaekumbuka wema sasa ulitaka ajenge wapi. Muhimu watu wa Mafia ndio wanaosoma. Unadai amewanyang'anya wakatoliki eneo. Kilchotokea ni kua alifanikiwa kupata yeye baada ya kutoa maelezo yanayoridhisha kua anataka kufanya nini, hilo ni kawaida sana kwani kiwanja ni lazima kilikua kipatiwe mmoja kati yao na yeye aliweza kuridhisha kua malengo yake ni muhimu. Kule juu unasema amejenga shuel na msikiti kwao hapa chini unaipinga kwa kusema ameahidi kujenga VETA hajafanya chochote, jaribu kutafuta sababu kwani ushahidi wa kua alijenga shule unampa nguvu kua na hiyo VETA kama aliahidi atafanya. Umejimaliza kabisa ulipotaja kua unaleta uchochezi kwa malengo ya kula pesa pale uliposema 'na pesa zenu tutakula' Watu wa Mafia hawana maslahi na uchochezi wako kwa kua unaonekana unajali sana maslahi yako binafsi.
Ndugu JF Senior Expert Member, yawezekana umelalamikiwa na hao unaowaita wafanyakazi wa NSSF kuhusiana na udini wa Dr Dau kama unavyodai. Na hii ni kwa sababu Mkurugenzi huyu hakimpiti kipindi cha SWALA hata kama kuna wateja. Ikifika muda wa ibada anaacha ofisi kwa muda na kwenda kutekeleza jukumu hilo muhimu sana kwa kila aliye Muislam. Watz wengi hasa wa sampuli yako wanakerwa na utaratibu huu. Jamani, dk 10 tu mtu akiitumia kumwabudu Mola wake munambandika label ya udini kwa kila jambo la haki analosimamia na ambalo watu wanakwenda kinyume nalo? Acheni hizo. It's completely unfair! Tukiwaita wale anaovaa rozari wakiwa ofisini kuwa ni wadini tutakuwa tumewatendea haki?
Mimi namung'unya karanga naitazama sinema hii yaani -Dah, Udini umefikia hapa! basi kwisha kazi.. nchi imelogwa na aliyeiloga kisha kufa!
Nyie kila k2 Dkt Dau,au kwa sababu ni muislamu?
Mbona viongoz wa Ppf wala rushwa ya ngono hamsemi?
- Dr. Dau kweli ni mdini. Angalia jinsi alivyo wasambalatisha wakurugenzi wakristo aliowakuta. Mmoja alimhamishia Arusha kwa meneja na mwingine Mwanza kuwa meneja. Wa Arusha akaamua kuwa mjasiliamali, akajua kamhamishia Moshi. Wa Mwanza, mkono wa Mungu ukamchomoa, ni DG wa Mfuko mwingine.
- NSSF katika ajira mpya 50, wawili tu wanaweza kuwa wakristo nao ni wale wenye majina mtambuka eg Maneno, Mashaka, Rehema, etc
Bado utasema PPF haisemwi?
- Uongozi wa PPF umesemwa sana kwa rushwa ya ngono. Hi sasa ratio ya wasichana kwa wavulana wanaoajiliwa, wasichana ni 90%. Usaili hufanyika kwenye guest Houses, ajira PPF. Nenda kawaone jinsi nidhamu ilivyo shuka ya uvaaji nguo pale PPF hasa siku ya Ijumaa. Tulio ofisini wanyonge tunateseka na vimini, hata swaumu zetu huingiliwa.
- DG wa PPF bwa. Erio ni Mzinzi haswa, hakuna asiyejua. Pamoja na kutembeza kwa kila amtamaniye, sasa hivi bango lipo kwa binti mmoja ambaye kaka yake ni bosi pale EWRA na Risk Director, sub single Uphoo. Waziri wa Fedha ana share na Mbunge wa Kinondoni Bw. Azan kwa PR Manager wa PPF. Mwenyekiti wa Bodi Bw. Kapalata, anatafuna binti mmoja aitwaye Winie Lusingu. Huyu hujitangaza kwa sana. Akiwa temporaly employed alikuwa anasoma IFM full time na kulipwa mshahara PPF, 2008-2009, kisa hakuna wa kugusa kipusa cha Mwenyekiti wa Bodi.
- DG wa PPF Erio, kampa ukurugenzi mpenzi wake Uphoo Swai bila kufuata taratibu za kuitangaza nafasi ili ishindaniwe. Kwa jinsi penzi lilivyo kipofu, pamoja na kelele za uanzishwaji wa kurugenzi hiyo kuwa wazi hakujali. Governance iko wapi PPF.
MODERATOR ANA FICHA THREADS ZA PPF ZENYE KUELEZEA UZINIFU NA UFISADI
Tatizo lililojitokeza sasa hivi ni mazingira ya rushwa kwa moderators wetu hapa JF. Sasa hivi karibu kila thread inayoongelea PPF wameziblock. Hazifunguki hata ukiingilia kwenye google ukifungua inakupa majibu kuwa hujajisajili. Ukilog in unaambiwa huna preverage ya kuzisoma hizo. Je ni akina nani wenye hiyo preverage ya kusoma threads za PPF?
Tunaomba MODs waseme kuwa PPF ni MALAIKA wasiguswe hapa JF. Au ndio sponsors? Please Tuambiwe.
Couple of things that need to be adressed hapa maana naona ukweli unataka kuuupindisha kwa kusudi.
1. Mbaraka Dau kama alivyo Omari Kimbau, Khalfani Mwembamba, Mr White, SY na bila kumsahau bwana Bulji ni Mtanzania na anayo kila haki ya kugombea ubunge kokote kula atakako ndani ya Tanzania kwani ni haki yake kikatiba na ametimiza masharti yote ambayo anatakiwa kuyatimiza ili kugombea ubunge.
Hivyo bas, Muba ni khiari yake binafsi kugombea au kutogombea na its beggars belief kutaka kuwafanya watu humu ndani waamini kuwa Muba hana akili au uwezo wa kufikiria mpaka Dr Dau aamuliwe maamuzi yake. I can understand vita yenu lakini tafadhali acha hii character assassination kwani hii vita huiwezi na mbaya zaidi nakujua kuwa wewe hutofurahi kuona unapakaziwa kama unavyompakazia Mbaraka.
Namba zake unazo, je ushajaribu kumpigia simu kumuuliza huu uvumi unaomletea humu?
2. Hivi wewe unanini na wanaonunua nyuma? why this obsession na wenzako kununua nyumba kihalali? Unasema amenunua nyumba kinondoni ,viwanja 30 na amenunua nyumba DOodoma...je unaweza kutuletea ushahidi kuthibitisha haya unayoyasema, na ushahidi tunaoomba ni:
Kwanza kabisa kabla hatujaendelea kuna maswali lazima tujiulize:
Je Dr Dau anayo haki ya kununua nyumba Kinondoni?
Je Dr Dau anao uwezo wa kununua nyumba?
Je Dr Dau anao uwezo wa kununua nyumba kihalali?
Je kweli kanunua nyumba Kinondoni?
Je hiyo nyumba iko kinondoni ipi?
Kiwanja namba ngapi?
Kaununua lini?
Je kainunua kisheria?
3. Tuletee ushahidi kuthibitisha kuwa Dr 30 kanunua viwanja 30 Kigamboni
a)tunaomba namba ya hivyo viwanja
b) Je kanunua kihalali?
4. Unasema Dr Dau kanunua nyumba ya NSSF Dodoma
a) Tunaomba utuletee ushahidi
b) Je kainunua kihalali?
5. Unadai kuwa Dr Dau ni mbaguzi wa kidini.
Tafhadali tunaomba utuletee ushahidi wa kuthibitsha hili
6. Unasema Dr Dau ni mbaguzi wa kikabila
Tafadhali tunaomba ushahidi wa kuthibitisha hili
7. Unasema Dr Dau ni mbaguzi wa kimaendeleo
Kwanza huna ushahidi kuthibitisha hili. Hili nalizungumzia kama ninavyomfahamu yeye binafsi na pia kama mpenda maendeleo na bila kubagua.
Kuna mengi ambayo kashawafanyia wa Tanzania bila kuwabagua kwa namna yoyote ile. Kama asingekuwa mpenda maendeleo asinge fanya yote hayo anayowafanyia wana Mafia wote na hili sihitaji kulisema sana hapa kwani mwenye macho haambiwi ona.
8. Dr Dau hajawahi na hakuwahi kuwanyanganya ROMAN Catholic church chochote Mafia na kama unao ushahidi ulete hapa tuujadili.
9. MIDEF nijuavyo mimi inamipango si ya kujenga VETA peke yake bali nijuavyo ina mipango ya waiunua akina mama na wanamafia ambao wanataka kusoma kwenye Polytechnic na baadae College ambayo itajengwa pale, Sasa kama wameweza kujenga hiyo Shule Bweni je watashindwa kujenga college Kilindoni? Tatizo hapa unataka kupotosha uma ukweli ni kuwa serikali ilitoa ahadi ya kupeleka umeme kwenye eneo linalotakiwa kujendwa hicho chuo lakini so far mpaka sasa Mbunge na DC na hao wengine waliokutuma kuja humu hawana nia ya kupeleka umeme pale sasa unategemea watu watasoma vipi elimu hiyo ya ufundi bila umeme?
10. Unasema Omari kimbau amezafanyia mengi Mafia lakini cha ajabu hutuambii yepi makubwa aloyafanya?
11. Unasema kuwa Mbunge Bulji kayafanyia mengi Mafia mbona hutaki kuyasema?
Hakuna anyekataa hilo
kinachiulizwa ni je taratibu zilifuatwa?
Je wametumia vigezo vipi kugawa hivyo viwanja?
Hana jipya mie nishampiga maswali hayo and I can bet you kuwa hatojibu maswali yote 11 niliyomuuliza
Good points
Good point
Cha ajabu hakuna aliyewahi kulalamika kuwa Dr ni mdini na wala hakuna anayelalamika kuwa Dr si mchapakazi
Mambo haya alipelekewa Mkapa alipokuwa rais, alichowaambia wale wamebea wapeleke ushahidi kuwa Dr Hafanyi kazi na anafanya udini pale.
HAKUNA ALIYERUDI!
Wakuu,
Jamaa huyu ambaye ni Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhani K. Dau amezuia mchakato wa ugawaji wa viwanja Mafia sababu yeye na mdogo wake Mbaraka hawajapata viwanja vyote wanavyovitaka!!
Madai yake kwamba waliopewa si "wenyeji" wa Mafia bali tu ni watumishi wa serikali walioletwa Mafia hivyo hawana "haki" ya kuwa na viwanja Mafia. Pia suala la "udini" limeingia kwamba waliopewa eti wengi ni wakristo!!
Dr Dau kaandika barua Tamisemi na sehemu nyingine akipinga kwamba utaratibu haukufuatwa kugawa viwanja Mafia.
My take: sisi watanzania ambao tunafanya kazi Mafia hatuna haki kama watanzania? Kupata kiwanja Mafia ni lazima uwe resident wa Mafia? And if so is Dr Dau a resident of Mafia? Na mtumishi wa serikali aliyekaa miaka 15 Mafia siyo mkazi wa Mafia?
Mnatukwaza sisi watumishi wa serikali ambao hata "hatujui" kesho tutakuwa wapi!!?
Tuache SIASA DR DAU kwa sababau anamleta ndugu yake MBARAKA KUGOMBEA UBUNGE MAFIA ndo anayajua haya yote anasahau nyy amenunua nyumba kinondoni,ana viwanja 30 kgamboni amejiuzia nyumma za NSSF Dodoma je huko kwao huyo ni mbaguzi wa kidini na kabila maendeleo ya mafia kayapeleka kwao bweni shule na msikiti kajenga kwao kawanyang'anya eneo ROMAN CATHOLIC kamweka mpiga kelele wake RHUMBA alidai MIDEF itajenga chuo cha VETA mpaka leo miaka mi3 hana alokifanya mnatetea nn we mlete ndugu yako sisis ndo wamafia tutachukua tutaweka waaaaa na pesa zenu tutakula kama za OMARY KIMBAU BULJ mafia kama GADDAFI tutakufa naye aloyafanya makubwa....