Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Wakuu,
Jamaa huyu ambaye ni Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhani K. Dau amezuia mchakato wa ugawaji wa viwanja Mafia sababu yeye na mdogo wake Mbaraka hawajapata viwanja vyote wanavyovitaka!!
Madai yake kwamba waliopewa si "wenyeji" wa Mafia bali tu ni watumishi wa serikali walioletwa Mafia hivyo hawana "haki" ya kuwa na viwanja Mafia. Pia suala la "udini" limeingia kwamba waliopewa eti wengi ni wakristo!!
Dr Dau kaandika barua Tamisemi na sehemu nyingine akipinga kwamba utaratibu haukufuatwa kugawa viwanja Mafia.
My take: sisi watanzania ambao tunafanya kazi Mafia hatuna haki kama watanzania? Kupata kiwanja Mafia ni lazima uwe resident wa Mafia? And if so is Dr Dau a resident of Mafia? Na mtumishi wa serikali aliyekaa miaka 15 Mafia siyo mkazi wa Mafia?
Mnatukwaza sisi watumishi wa serikali ambao hata "hatujui" kesho tutakuwa wapi!!?
Well another week another Dr Dau thread
Isnt this amazing?
Tatizo hapa mleta hoja hana data wala taarifa za ukweli kuhusu hii issue na kama anazo basi kwa makusudi anajaribu kupindisha ukweli
Kilichotokea ni kuwa viwanja vilitangazwa pale kilindoni Mafia
Dr Dau aliomba akakosa lakini ndugu yake Mbaraka aliomba akafanikiwa kuupata
Huyu Mbunge wa Mafia bwana Buji ili kumnyamzisha naye alipewa yeye na mkewe mpya
Madiwani 5 nao walipewa ili wasinyamazishwe
Lakini suala la msingi hapa ni kuwa kwa sababu Mafia ni kisiwa kidogo na hakuna rasmlimali ya mtu zaidi ya kuwa na Kiwanja au ardhi na waliolalamika ksi Dr Dau pakee bali ni wananchi wa Mafia kuwa priority hawakupewa wao bali wa watu ambao hawana ukazi mafia lakini pia hawana nasaba na pale ili hali wenyeji walioomba wamenyimwa
Na kwa kuongeza tuu ni kuwa idara ya ardhi pale Mafia kumejaa ufisadi wa kupindukia. Imagine mtu kama mbunge wa Songea DEVOTH LIKOLOLA anapewa kiwanja lakini mzaliwa pale Mafia na aliyeoomba kihalali alikosa.
Wananchi wa Mafia waliiolalamika na si Dr Dau pekeee.
As I type imeundwa tume kuchunguza hili suala
Tusisahau kuwa huko nyuma hao maofisa pale wilani wanaogawa kiufisadihivi viwanja Kisiwani Mafia ndio hao hao walioidhinisha lile TAMASHA LA MASHOGA pale kisiwani