Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Dk. Dau anapita Mafia na kutamba kwamba hakuna mtu wa kumshughulisha, maana hata huyo Jakaya Kikwete nampa misaada. Katika uchaguzi mkuu uliyopita, amekipa chama zaidi ya Sh. 100 milioni. Hata mawaziri hawawezi kumshughulisha kwa kuwa yeye anawapa maekelezo. Anasema hababaishwi hata na jeshi, ndiyo maana meli ya Kasa inayomilikiwa na jeshi ilipoondoka Mafia bila kupakia magari yake, aliamrisha mkuu wa majeshi na kuirejesha meli hiyo iliyokuwa imekaribia kufika Dar es Salaam kuja kuchukua magari yake mawili aliyokwenda nayo Mafia kuyatumia wakati yeye na ndugu yake **** walipoenda kutoa msaada kwa CCM ili kutengeneza mazingira mazuri ya ubunge 2015.
what about hilo la DC kuuza magofu ya kihistoria na shule iliyojengwa kwa nguvu za wananchi kwa wazungu?