Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Mleta hoja kashindwa kurudi kwani majina ya waliopewa viwanjahayo hapo juu
DC, MP na Mkurugenzi wa manispaa wanahaha kumtafuta RK akubali walau kiwanja kimoja ili yaishe
mwenyewe kakataa na hataki kuhongwa kiwanja