Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Limbani, Nov 9, 2011.

 1. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Wakuu,
  Jamaa huyu ambaye ni Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhani K. Dau amezuia mchakato wa ugawaji wa viwanja Mafia sababu yeye na mdogo wake Mbaraka hawajapata viwanja vyote wanavyovitaka!!
  Madai yake kwamba waliopewa si "wenyeji" wa Mafia bali tu ni watumishi wa serikali walioletwa Mafia hivyo hawana "haki" ya kuwa na viwanja Mafia. Pia suala la "udini" limeingia kwamba waliopewa eti wengi ni wakristo!!

  Dr Dau kaandika barua Tamisemi na sehemu nyingine akipinga kwamba utaratibu haukufuatwa kugawa viwanja Mafia.

  My take: sisi watanzania ambao tunafanya kazi Mafia hatuna haki kama watanzania? Kupata kiwanja Mafia ni lazima uwe resident wa Mafia? And if so is Dr Dau a resident of Mafia? Na mtumishi wa serikali aliyekaa miaka 15 Mafia siyo mkazi wa Mafia?

  Mnatukwaza sisi watumishi wa serikali ambao hata "hatujui" kesho tutakuwa wapi!!?
   
 2. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  It is a shame to start to put citizen into tribal areas. What I thought is a norm for people to settle anywhere in the country seem to be violated by the "natives of mafia". this in my opinion is utterly rediculos.
   
 3. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 2,797
  Likes Received: 1,972
  Trophy Points: 280
  Dau ni mdini no one
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu ningeamini thread yako lakini hili la kusema eti hataki kwa sababu waliopewa viwanja ni wakristo, unadanganya umma na kutukosanisha waTZ. sidhani kama Dr. Dau ni mjinga kiasi hicho mpaka awakatae waTz wenzake kwa sababu ya dini zao. Hebu weka ushahidi hapa kuthibitisha kuwa udini ilikuwa kigezo. Hivi nyinyi wapu.mbavu mnaopost huu udini hapa utatufikisha wapi?
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nendeni mahakamani kama mnafikiri amefanya kitu kinyume cha sheria.
   
 6. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi naamini kila anayemuona mwenzake kwamba ni mdini basi na yeye ni mdini...ni kama ukisema mwenzako mchawi..basi bila shaka na wewe ni mchawi....
   
 7. n

  nyundo Senior Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2007
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa sidhani kama kuna ukweli wowote, kwani mimi naifahamu sana hiyo mafia na viwanja vimegaiwa mara nyingi na hao wanaoitwa wakristo ndio wanavyo na wamejenga nyumba na wanafanya makazi, Maeneo ya kigamboni, hospitali na dongo, kote kuna viwanja, ambavyo wafanyakazi wa serikali wengi ambao si wazawa wa kisiwa cha mafia ndio waliopata. ila hapa kuna watu wanafanya business sasa. kama mjuavyo, Mafia ni kisiwa, na ardhi ni limited. kwa hiyo kama utaratibu haukuwa mzuri na busara kutumika kwenye kugawa maeneo basi kuna ambao watapata viwanja 10 na wengine watakosa kabisa. hivi ndivyo wafanyakazi wa idara ya ardhi wanavyofanya, wana kaupendeleo flani ambao kwa wale ambao ni low income group wanaweza kukosa maeneo.
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hawana lolote ujue wanatafuta namna kupendelewa na Dau ni mtu asiye penda injustice...

  Wameanza kelele itabidi mzoee kutopendelewa aagh!
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wewe ndio mdini mkubwa nyama..fu
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ndugu ngwendu nikutoa mashaka, udini wa Dr Dau is beyond words! Ongea na watu NSSF watakueleza ujio wake hapo na mtazamo wake kuhusu 'makafiri'. Sick sick sick!
   
 11. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Dr Dau ni mtu makini sana na mchapakazi.Tatizo ninaloliona ni kwa baadhi ya watu kuwaandama viongozi waislam hasa wale wachapakazi bila hoja za msingi.Sijasikia mtu akilaumu uchapaji kazi wa Dr Dau zaidi ya hoja butu ati ni mdini.Dau ameongoza NSSF kwa mafanikio makubwa sana na naona watu wa aina yake kama yule wa NHC ndio wa kuwapa nchi.Maana tayari kuna kitu tangible wamefanya na tumekiona.sio tunashabikia MAHABUSU kila kukicha wale wa CDM ati CV zao wamejitoa mhanga kuwa wajelajela.upuuzi huu ndg zangu ktk imani ya ujamaa.
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hoja dhaifu ya udini wewe na hao wenzako ndio wadini wakubwa..lol
   
 13. N

  NgomaNgumu Senior Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haidhaniwi kua Tanzania kuna sheria inayomzuia mtu kumiliki idadi fulani ya viwanja na kama zipo basi more likely watu wa idara ya ardhi ndio watakua wahusika wakuu na sio Dr Dau.

  Linalofahamika ni kua muanzisha mada inawezekana ana chuki banafsi na Dr dau kwakua hathibitishi madai yake kwa dalili kua Dr amefanya hivyo anavyodai na nini hakutoa result kimetokea baada ya Dr kushauri hivyo. Kwa maana hiyo madai ya muanzisha mada hayana msingi na kama atajulikana ni vizuri akaonywa kwani amemtuhumu mtu bila ushahidi wakutosha ingawaje ni mapema kukadiria madhara yatakayotokea kwa kauli yake ya uzushi.

  What is certanly true is that, it is just an idea which cannot be taken serious, unless there is enough evidence to support his argument.
  Dr Dau is wrongly accused and the claim is bogus. It can be concluded that there is no need to waste time on this. Dr Dau has many thing to do since he responsible for the whole sub Sahara plus Tanzania. We need leader like him, he has proved beyond reasonable doubt that he is capable.
   
 14. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Thanks wakuu kwa michango yenu, viwanja vimegawiwa Mafia maeneo ya Magemani lakn zoezi limesimamishwa baada ya Dr Dau kulalamika "juu" kwamba wakazi wa Mafia hawajapewa hivyo viwanja bali ni wageni ambao wengi ni watumishi wa serikali.
  Bado hatujanyang'anywa hivyo viwanja hivyo hatuwezi kwenda mahakamani lakn itakapobidi tutaennda.
   
 15. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Soma vizuri post yangu, sio unakurupuka tu!!! Mimi mstaarabu siwezi kukutukana.
   
 16. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Tunasubiri tunyang'anywe mkuu, then tutaenda!
   
 17. I

  IFRS 9 Senior Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyie kila k2 Dkt Dau,au kwa sababu ni muislamu? Mbona viongoz wa Ppf wala rushwa ya ngono hamsemi?
   
 18. M

  Mrume Member

  #18
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku zote hakuna sumu mbaya kama hii mnayoipandikiza ya udini yote ni kwasababu hamjajua madhara yake, tafuteni hoja za msingi ndio tuweze kuzijadili hv mimi leo nikienda Mkoa Kilimanjaro kutaka kiamba nikakosa nitasema nimenyimwa kiwanja Kilimanjaro kwasababu ni Muislam. Nafasi za kazi zinazogaiwa TRA kila kukicha na sisi tunaona asilimia karibu 80 ni kutoka mikoa miwili tu, nadhani mngelipigia kelele na ili tungeona kuna usawa. Kwa hiyo suala la udini sio zuri sisi wengine tumechangia dini wazazi wengine Waislam na wengine Wakiristo, chonde chonde jamani tujaribu kufikiria kabala ya kuropoka.
   
 19. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Awapeleke Al Shaababy awape viwanja.
   
 20. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mbona anawajengea shule hapo mafia na nyumba hamsini za walimu hamsemi???
  wajf wengine acheni kuleta chuki zenu binafsi humu,
   
Loading...