Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

Shahidi wa tuhuma zangu ni wewe maana umeshakiri humu kuwa ni kweli Dr Dau kaandika barua husika na zoezi limesitishwa la kugawa viwanja Mafia. Nakala ya barua ya Dr Dau anayo jamaa yako Rumba mwambie akupe nayo uiweke humu JF.

umeleta tuhuma hapa JF, umeambiwa ulete uthibitisho umeshindwa sasa tatizo lako ni nini?

kama huna cha kusema bora ungenyamaza tuu
 
sasa mbona mwanzisha thread haleti ushahidi wa ku support hoja zake?

watu wanachoka kusubiri

Mkuu unachotaka wewe ni ushahidi upi? Umekiri mwenyewe kuwa ni kweli Dr Dau kaandika barua kuhusu huo mchakato na mpaka wakati huu tumezuiwa tusilipie hivyo viwanja mpaka ufanyike uchubguzi, then what do you want me to say?
Umeweka hapa mpaka na majina ya waliogawiwa viwanja Mafia na madai mengi tu, sasa nikupe nini tena mkuu? Tena umethibitisha kabisa upo kwenye "payroll" ya Dr Dau pamoja na kina Rumba maana ndio mliopiga picha majina pale ofisi za ardhi! Na nakala ya barua alioandika Dr Dau mnayo maana Rumba anatembea nayo huku akiwatisha "watumishi" wa Mafia kwamba wao wanaweza fanya lolote!! Na sasa kwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri na bibi Ardhi Mafia wanataka kuhamishwa mnazidi kutamba kwamba ni kazi yenu! I have nothing more to say!!
 
umeleta tuhuma hapa JF, umeambiwa ulete uthibitisho umeshindwa sasa tatizo lako ni nini?

kama huna cha kusema bora ungenyamaza tuu

Soma kuanzia mwanzo mpaka mwisho na kama kweli ni "great thinker" utaona kama kunahitaji uthibitisho, otherwise ndio wale wa mpaka utafuniwe ndio umeze!!
 
Couple of things that need to be adressed hapa maana naona ukweli unataka kuuupindisha kwa kusudi.

1. Mbaraka Dau kama alivyo Omari Kimbau, Khalfani Mwembamba, Mr White, SY na bila kumsahau bwana Bulji ni Mtanzania na anayo kila haki ya kugombea ubunge kokote kula atakako ndani ya Tanzania kwani ni haki yake kikatiba na ametimiza masharti yote ambayo anatakiwa kuyatimiza ili kugombea ubunge.

Hivyo bas, Muba ni khiari yake binafsi kugombea au kutogombea na its beggars belief kutaka kuwafanya watu humu ndani waamini kuwa Muba hana akili au uwezo wa kufikiria mpaka Dr Dau aamuliwe maamuzi yake. I can understand vita yenu lakini tafadhali acha hii character assassination kwani hii vita huiwezi na mbaya zaidi nakujua kuwa wewe hutofurahi kuona unapakaziwa kama unavyompakazia Mbaraka.

Namba zake unazo, je ushajaribu kumpigia simu kumuuliza huu uvumi unaomletea humu?

2. Hivi wewe unanini na wanaonunua nyuma? why this obsession na wenzako kununua nyumba kihalali? Unasema amenunua nyumba kinondoni ,viwanja 30 na amenunua nyumba DOodoma...je unaweza kutuletea ushahidi kuthibitisha haya unayoyasema, na ushahidi tunaoomba ni:

Kwanza kabisa kabla hatujaendelea kuna maswali lazima tujiulize:

Je Dr Dau anayo haki ya kununua nyumba Kinondoni?

Je Dr Dau anao uwezo wa kununua nyumba?

Je Dr Dau anao uwezo wa kununua nyumba kihalali?

Je kweli kanunua nyumba Kinondoni?

Je hiyo nyumba iko kinondoni ipi?

Kiwanja namba ngapi?

Kaununua lini?

Je kainunua kisheria?

3. Tuletee ushahidi kuthibitisha kuwa Dr 30 kanunua viwanja 30 Kigamboni

a)tunaomba namba ya hivyo viwanja

b) Je kanunua kihalali?

4. Unasema Dr Dau kanunua nyumba ya NSSF Dodoma

a) Tunaomba utuletee ushahidi

b) Je kainunua kihalali?

5. Unadai kuwa Dr Dau ni mbaguzi wa kidini.

Tafhadali tunaomba utuletee ushahidi wa kuthibitsha hili

6. Unasema Dr Dau ni mbaguzi wa kikabila

Tafadhali tunaomba ushahidi wa kuthibitisha hili

7. Unasema Dr Dau ni mbaguzi wa kimaendeleo

Kwanza huna ushahidi kuthibitisha hili. Hili nalizungumzia kama ninavyomfahamu yeye binafsi na pia kama mpenda maendeleo na bila kubagua.
Kuna mengi ambayo kashawafanyia wa Tanzania bila kuwabagua kwa namna yoyote ile. Kama asingekuwa mpenda maendeleo asinge fanya yote hayo anayowafanyia wana Mafia wote na hili sihitaji kulisema sana hapa kwani mwenye macho haambiwi ona.

8. Dr Dau hajawahi na hakuwahi kuwanyanganya ROMAN Catholic church chochote Mafia na kama unao ushahidi ulete hapa tuujadili.

9. MIDEF nijuavyo mimi inamipango si ya kujenga VETA peke yake bali nijuavyo ina mipango ya waiunua akina mama na wanamafia ambao wanataka kusoma kwenye Polytechnic na baadae College ambayo itajengwa pale, Sasa kama wameweza kujenga hiyo Shule Bweni je watashindwa kujenga college Kilindoni? Tatizo hapa unataka kupotosha uma ukweli ni kuwa serikali ilitoa ahadi ya kupeleka umeme kwenye eneo linalotakiwa kujendwa hicho chuo lakini so far mpaka sasa Mbunge na DC na hao wengine waliokutuma kuja humu hawana nia ya kupeleka umeme pale sasa unategemea watu watasoma vipi elimu hiyo ya ufundi bila umeme?

10. Unasema Omari kimbau amezafanyia mengi Mafia lakini cha ajabu hutuambii yepi makubwa aloyafanya?

11. Unasema kuwa Mbunge Bulji kayafanyia mengi Mafia mbona hutaki kuyasema?

Hakuna anyekataa hilo

kinachiulizwa ni je taratibu zilifuatwa?

Je wametumia vigezo vipi kugawa hivyo viwanja?

Hana jipya mie nishampiga maswali hayo and I can bet you kuwa hatojibu maswali yote 11 niliyomuuliza

Good points

Good point

Cha ajabu hakuna aliyewahi kulalamika kuwa Dr ni mdini na wala hakuna anayelalamika kuwa Dr si mchapakazi

Mambo haya alipelekewa Mkapa alipokuwa rais, alichowaambia wale wamebea wapeleke ushahidi kuwa Dr Hafanyi kazi na anafanya udini pale.
HAKUNA ALIYERUDI!

Acha kutuchosha na riwaya za kumtetea jamaa yako.

huyo mbaraka kama anataka kugombea ubunge mbona hasemi na kwa nini anajificha jificha?

huyo mr white na SY ni nani?

mbona mnazungumza kwa methali ?
 
Mkuu unachotaka wewe ni ushahidi upi? Umekiri mwenyewe kuwa ni kweli Dr Dau kaandika barua kuhusu huo mchakato na mpaka wakati huu tumezuiwa tusilipie hivyo viwanja mpaka ufanyike uchubguzi, then what do you want me to say?
Umeweka hapa mpaka na majina ya waliogawiwa viwanja Mafia na madai mengi tu, sasa nikupe nini tena mkuu? Tena umethibitisha kabisa upo kwenye "payroll" ya Dr Dau pamoja na kina Rumba maana ndio mliopiga picha majina pale ofisi za ardhi! Na nakala ya barua alioandika Dr Dau mnayo maana Rumba anatembea nayo huku akiwatisha "watumishi" wa Mafia kwamba wao wanaweza fanya lolote!! Na sasa kwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri na bibi Ardhi Mafia wanataka kuhamishwa mnazidi kutamba kwamba ni kazi yenu! I have nothing more to say!!

au inawezekana akawa ni Dr Dau mwenyewe maana haiwezekani mtu anashinda usiku na mchana kazi kumtetea Dau kama huamini tazama threads zote za Dau utamwona huyu . mimi sijamaliza kuzisoma lakini ushahidi ndivyo unavyoonyesha kuwa huyu inawezekana kabisa akawa ni Dau mwenyewe na kama yuko kwenye payroll kama ulivyosema basi sina la kusema zaidi ya kuwa kazi anayofanya ni kubwa kwa niaba ya fisadi mwenzie

labda wana JF wanaweza kuniweka sawa
 
Limbani unaumiza kichwa chako na wapambe haelewi anchokizungumza ili mradi amtetee anaempa kula nina imani kwa maelezo yako we ni msomi tunaoelewa tumekusoma tusubiri tunyang'anywe viwanja aadhirike huyo mungu mtu wao.....!
 
Hamna cha upambe wala nini, panapo ukweli lazima usemwe. mimi c mtu wa mafia lakini naifahamu mafia. hata hivyo, Dr. Dau simfahamu zaidi tu ya kumuona kwenye TV. hata hivyo, mambo mengi yaliyoongelewa kuhusu Dau yana ama harufu ya majungu au hofu tu. Kwanza madai kwamba RC walinyang'anywa kiwanja ni madai yasiyo na msingi....Kanisa Katoliki Mafia lina maeneo mengi sana hivyo ikiwa Tereni walinyang'anywa kwa ajili ya chuki za kidini kama Limbani anavyotaka tuamini basi wangenyang'anywa na maeneo mengine. Likewise, madai kwamba RC walinyang'anywa hilo eneo na Dau hajafanya chochote kuendeleza; nayo si madai ya kweli kwani kwa mtu anayeyafahamu majengo ya pale Tereni tangu zamani hawezi kuthubutu kusema kwamba hapajaendelezwa....ukweli ni kwamba ukarabati unafanyika kwa lengo lile lile la kuanzisha VETA! Madai kwamba Dr. Dau anatumia karata ya viwanja ili kumpaisha mdogo wake Mbaraka kwenye mbio za ubunge nayo ni madai yasiyo na msingi kwani Mtu kama Dr. Dau ndani ya Mafia hana sababu ya kutumia turufu ndogo kama hiyo. Buji mwenyewe anajua, kwamba Dau akiingia pale, yeye hana chake na ndio maana unakuta haziivi kabisa kati yao!!! Suala la kutotenda haki kwenye ugawaji wa viwanja, linaonekana lina mashiko. List kusheheni watu wa halmashauri tena wengine kutoka idara ya ardhi ni jambo linalotia shaka endapo hapakuwa na mgongano wa maslahi. Mathalani, mfanyakazi mmoja hapo wa Idara ya ardhi anaonekana kupata viwanja viwili; huoni kuna walakini hapo?! Nilikuwepo wakati wa uthaminishaji wa kule bondeni ili kupisha ujenzi wa bandari; zoezi lilitawaliwa na ufisadi wa kutisha huku mtendaji mmoja wa Idara ya Ardhi akilipwa cheki ya Sh. 15,000,000/= kutoka kwa mmoja wa waliokuwa wamejenga eneo hilo. sasa kama sio ufisadi kuwa nini?!
 
Habari ya Tereni mleta habari hawezi kuijibu ndio maana nilimpa mtego aieleze na ajikusanye kabla hajajakunijibu lakini kama unavyoona kakimbia ameishia kulalamika nje ya ulingo

hii ndio JF ni nguvu ya hoja inayotawala humu
 
Limbani unaumiza kichwa chako na wapambe haelewi anchokizungumza ili mradi amtetee anaempa kula nina imani kwa maelezo yako we ni msomi tunaoelewa tumekusoma tusubiri tunyang'anywe viwanja aadhirike huyo mungu mtu wao.....!

msomi tangu lini akazungumza bila ushahidi?
 
Huyo wa Dubai ndiye mbunge mtarajiwa au?

Acha kutuchosha na riwaya za kumtetea jamaa yako.

huyo mbaraka kama anataka kugombea ubunge mbona hasemi na kwa nini anajificha jificha?

huyo mr white na SY ni nani?

mbona mnazungumza kwa methali ?

au inawezekana akawa ni Dr Dau mwenyewe maana haiwezekani mtu anashinda usiku na mchana kazi kumtetea Dau kama huamini tazama threads zote za Dau utamwona huyu . mimi sijamaliza kuzisoma lakini ushahidi ndivyo unavyoonyesha kuwa huyu inawezekana kabisa akawa ni Dau mwenyewe na kama yuko kwenye payroll kama ulivyosema basi sina la kusema zaidi ya kuwa kazi anayofanya ni kubwa kwa niaba ya fisadi mwenzie

labda wana JF wanaweza kuniweka sawa

Umeamua kubadili majina au umetumwa?

sasa sikiliza wewe wasiliana na wenzio hata in private kisha mkirudi jaribuni ku co ordinate war strategy zenu mkiwa tayari hata mkija na na nondo mpya mie nitakuwa nawasubiri tuu kwani najua vita vya majini hamviwezi, vita vya ardhini vimewashinda na hali kadhali vita vya angani najua hamsubutu kuvianzisha

sasa wewe, bulji, DC, na jamaa yenu wa wa Dodoma woote unganeni kisha mkiwa tayari mrudi kama bado kaeni pembeni otherwise mtakuja kuaibika
 
Ndugu yangu naona unajichanganya, soma posts zote na ona kama kuna sehemu ni memention kuhusu Tereni. Hilo mnalileta wenyewe mi sikutaka kuzungumzia hilo hapa. Hoja yangu ilikuwa kwenye ugawaji wa viwanja vya Magemani, narudia tena someni vizuri posts zangu! Inaonekana hapa mmekutana na wenzenu mnaopigana kwa ajili ya 2015 ndio mnafunguka na mengi kama ya "ushoga", "tereni", n.k.

Kuhusu ushahidi wa tuhuma za Dr Dau kuingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia mwenyewe umekiri na umeweka mpaka majina ya waliopewa viwanja kuthibitisha madai ya Dr Dau!! Angalia hii post yako ya mwanzo;

"Well another week another Dr Dau thread

Isnt this amazing?

Tatizo hapa mleta hoja hana data wala taarifa za ukweli kuhusu hii issue na kama anazo basi kwa makusudi anajaribu kupindisha ukweli

Kilichotokea ni kuwa viwanja vilitangazwa pale kilindoni Mafia

Dr Dau aliomba akakosa lakini ndugu yake Mbaraka aliomba akafanikiwa kuupata

Huyu Mbunge wa Mafia bwana Buji ili kumnyamzisha naye alipewa yeye na mkewe mpya

Madiwani 5 nao walipewa ili wasinyamazishwe

Lakini suala la msingi hapa ni kuwa kwa sababu Mafia ni kisiwa kidogo na hakuna rasmlimali ya mtu zaidi ya kuwa na Kiwanja au ardhi na waliolalamika ksi Dr Dau pakee bali ni wananchi wa Mafia kuwa priority hawakupewa wao bali wa watu ambao hawana ukazi mafia lakini pia hawana nasaba na pale ili hali wenyeji walioomba wamenyimwa

Na kwa kuongeza tuu ni kuwa idara ya ardhi pale Mafia kumejaa ufisadi wa kupindukia. Imagine mtu kama mbunge wa Songea DEVOTH LIKOLOLA anapewa kiwanja lakini mzaliwa pale Mafia na aliyeoomba kihalali alikosa.

Wananchi wa Mafia waliiolalamika na si Dr Dau pekeee.

As I type imeundwa tume kuchunguza hili suala

Tusisahau kuwa huko nyuma hao maofisa pale wilani wanaogawa kiufisadihivi viwanja Kisiwani Mafia ndio hao hao walioidhinisha lile TAMASHA LA MASHOGA pale kisiwani"
 
This is crap, if not give bring evidence like copy of the letters mentioned. Investigate before unavyotoa pumba zako
 
This is crap, if not give bring evidence like copy of the letters mentioned. Investigate before unavyotoa pumba zako

Ha ha haaaa naogopa kutukana!! I am the victim of this, need more evidence? Chicken head..
 
Muda wa kuburuzwa sasa umekwisha! Wale ambao walizoea kufanya maovu sasa muda huo umekwisha, kama kiongozi anataka heshima basi atende haki, kinyume na hapo basi asubiri matusi, kuzomewa, na mengine mengi!
 
Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe, wanaokosea wawajibishwe lakn pia tusibaguane kwa sababu ya maeneo tofauti tuliyotoka!
 
Back
Top Bottom