Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

Statement yangu itabaki vile vile ushahidi we unao na unajua kama unatumika kama mna uchungu na mafia muende mkafanye kazi wananchi wawaone sio mbwembwe na inaelekea hujui lolote kuh mafia unaelekezwa njooni tuwabamize na viwanja mlivyovilenga ili mmiliki ardhi mafia na nyie muonekane wamafia imekula kwenu kadhulumuni kwa wazee wa watu mashamba yao MNA ROHO MBAYA! eti watumishi na madiwani wanyang'anywe viwanja kwni wao hawana haki? msipende kuwa wapambe someni na nyie muweke legacy mafia hakuna legacy ya upambe.....

Burden of proof iko kwako kwa sababu wewe umeleta tuhuma sisi tumeomba ushahidi wa kuthibitisha hizi tuhuma zako sasa mbona unakuwa mnyonge?

Jibu maswali uliyoulizwa
 
Sasa latest za usiku huu ni kuwa Mafia kuna mfarakano mkubwa baina ya viongozi kule.

sasa kuna watu wanaleta tuhuma lakini hawana ushahidi wowote lakini mimi nitaendelea kuwapa updates na sasa majina ninayo za nani kapewa nini.

1. NAYLA ABDALLAH (no 12) na huyu ni mke wa Mbunge wa Mafia bwana BULJI

2. SUDI O SUDI (no 50) huyu ni DIWANI

3. HAJI NYIKOMBO (no 51) huyu pia ni DIWANI ( huyu hakuomba lakini kapewa ili kumpooza kwani anajulikana ni mkali na wanamuogopa sana

4. HASSAN BATAWI ( NO 53) huyu naye ni DIWANI

5. ZAINAB SHAHDADI (55) DIWANI

6. SADIKI SADIKI (no 62) DIWANI

7. ABDULKARIMA HASSAN SHAHA aka BULJI (68) huyu ni MBUNGE

Hao wote except NAYLA ambaye ni mke mdogo wa mbunge ni WAKAZI na WAZALIWA Mafia. Wamepinga wao kupewa hivyo viwanja kwa sababu kubwa waliyoitoa ni CONFLICT OF INTEREST kwani baadhi yao walishiri kwenye kikao cha ugawaji viwanja!

This is against GOOD GOVERNANCE
na if anything inaonekana ni UFISADI wa wazi na ndio msingi wa malalamiko ya Dr Dau na wenzake

Unless kuna mtu humu anaona process nzima ilikuwa sawa. As far as I understand and know ni kuwa Dr RAMADHANI KITWANA DAU ....HAJAPINGA wasio na dini, au wakristo kupewa ILA alichosema Dr ni kutaka kuelezwa ni VIGEZO gani vimetumika kwenye kugawa hivi viwanja.

Baya zaidi ni kuwa hao wagawaji....ndio hao hao waliopata! Infact WAO na WAKE ZAO!

Sasa hivi usiku mwingi wana JF lakini kesho nakuleeteeni mziki mpyaaa wa minutes za vikao na list ya hao watendaji wa halmashauri ambao walijigawia viwanja at the expense ya wananchi wa kawaida....
 
Sikatai wala simpingi Kaka yangu Dau kulalamika, ila anacholalamika kina ukweli, hivi ni MTZ gani asiyejua inapokuja issue ya kugawa viwanja kinachotokea, mfano mdogo, mie nahusika labda kwenye halmashauri husika, nitajigawia mie mwenyewe viwanja kadhaa labda vitatu, my wife, the kids, my father, my mother, brothers and sisters yaani in short kwenye karatasi wataonekana hao ndugu zangu but in reality ni vyangu kama unabisha tembelea eneo la tukio, WTZ tumerogwa na aliyeturoga kafa, na alikua mjane na mgumba so ajarithisha mtu tunguli..... TUNAZINDUKAJE?
 
Hao wote ni madiwani na huyo nayla ni mke mdogo wa bulj haujakosea onyesha kipengele kinachoonyesha hawana haki ya kumiliki ardhi?unasubiri mihhtasari ya halmashauri mnafiki mkubwa weee
 
Kama we ni mdau wa mafia unayajua na kama sio ulizia ni mengi mno siwezi yaorodhesha hapa .....
 
Hao wote ni madiwani na huyo nayla ni mke mdogo wa bulj haujakosea onyesha kipengele kinachoonyesha hawana haki ya kumiliki ardhi?unasubiri mihhtasari ya halmashauri mnafiki mkubwa weee

Unatakiwa uwe unasoma posts sasa majibu nilishakuandikia hapo juu ambapo nimesema hivi:

Hao wote except NAYLA ambaye ni mke mdogo wa mbunge ni WAKAZI na WAZALIWA Mafia. Wamepinga wao kupewa hivyo viwanja kwa sababu kubwa waliyoitoa ni CONFLICT OF INTEREST kwani baadhi yao walishiri kwenye kikao cha ugawaji viwanja!

This is against GOOD GOVERNANCE
na if anything inaonekana ni UFISADI wa wazi na ndio msingi wa malalamiko ya Dr Dau na wenzake

Unless kuna mtu humu anaona process nzima ilikuwa sawa. As far as I understand and know ni kuwa Dr RAMADHANI KITWANA DAU ....HAJAPINGA wasio na dini, au wakristo kupewa ILA alichosema Dr ni kutaka kuelezwa ni VIGEZO gani vimetumika kwenye kugawa hivi viwanja.
 
Unatakiwa uwe unasoma posts sasa majibu nilishakuandikia hapo juu ambapo nimesema hivi:

Hao wote except NAYLA ambaye ni mke mdogo wa mbunge ni WAKAZI na WAZALIWA Mafia. Wamepinga wao kupewa hivyo viwanja kwa sababu kubwa waliyoitoa ni CONFLICT OF INTEREST kwani baadhi yao walishiri kwenye kikao cha ugawaji viwanja!

This is against GOOD GOVERNANCE
na if anything inaonekana ni UFISADI wa wazi na ndio msingi wa malalamiko ya Dr Dau na wenzake

Unless kuna mtu humu anaona process nzima ilikuwa sawa. As far as I understand and know ni kuwa Dr RAMADHANI KITWANA DAU ....HAJAPINGA wasio na dini, au wakristo kupewa ILA alichosema Dr ni kutaka kuelezwa ni VIGEZO gani vimetumika kwenye kugawa hivi viwanja.

wewe ndio Dau mwenyewe?
 
Tunasubiri mihtasari ulotuahidi.........

Nasikia Mkurugenzi tayari amehamishwa!

Sabal kheir waheshimiwa

Ni kweli niliahidi kuleta listi na kwa kuongeza tuu JF imekuwa na members wengi sana Mafia kwa sababu ya thread hii...na mbaya zaidi ni kuwa jamaa wanahaha yaishe lakini ni sawa na maziwa yalomwagika.

Ile list ya wafanyakazi MAFISADI wa Halmashauri ya MAFIA wakiogawana viwanja hii hapa:

1. Oswin Kachenje S/N 27; Afisa Mipango Msaidizi

2. Chelu Mkombo S/N 24; Amehamishiwa Kisarawe yet kapata kiwanja

3. Simon Lendita S/N 25; Mwanasheria wa Halmashauri yuko masomoni yet kapata kiwanja

4. Nyabafa C Kigwa S/N 38; Amehamishwa yet kapata kiwanja

5. Makaroius Ngongi S/N 39; Ameacha kazi, ni mtoro amekimbia Mafia yet kapata kiwanja

6. Christopher Kitundu S/N 65; Ushirika yuko masomoni yet kapata

7. Bukuru Imani Bahati S/N 2; WWF

8. Clever Mwaikambo S/N 66; Hifadhi ya Bahari

9. Henjewele Joakim S/N 67; Afisa Ardhi (HUYU ITABIDI KUANZISHA THREAD YAKE SEPARATE ANA MAMBO MAZITO SANA)

10. Upendo Omari Lugongo S/N 3; Afisa Maji

11. Jeremia Tyembo S/N 6; Afisa Ugavi yuko masomoni yet kapata

12. Gelas Kyara S/N 8; Ujenzi

13. Michael Mdemu S/N 11; Bandari

14. Christopher Simbo S/N 14; Bandari

15. Rose Daniel Yangolo S/N 21; Afya

hizo namba ni namba za plots waliojigawia na mnaweza kuzitazama na viambatanisho vya hiyo list niliyopost hapo awali

Hapa kuna orodha ya watu 15 tu na ukiongeza madiwani jumla ni kama 22 hivi, lakini viwanja vilivyotolewa ni 75 kwa Magemani pekee. Bado kuna Vunja Nazi nako viwanja vimegawiwa!! Madai yenu hayana msingi kabisa...
 
Unahitaji uthibitishe madai yako kama anavyojibu mwenzako SR.

Hapa kuna orodha ya watu 15 tu na ukiongeza madiwani jumla ni kama 22 hivi, lakini viwanja vilivyotolewa ni 75 kwa Magemani pekee. Bado kuna Vunja Nazi nako viwanja vimegawiwa!! Madai yenu hayana msingi kabisa...

kwanza kuna maswali bado hujayajibu naomba kwanza utuletee ushahidi wa tuhuma zako kisha ndio twende mebele
 
Shahidi wa tuhuma zangu ni wewe maana umeshakiri humu kuwa ni kweli Dr Dau kaandika barua husika na zoezi limesitishwa la kugawa viwanja Mafia. Nakala ya barua ya Dr Dau anayo jamaa yako Rumba mwambie akupe nayo uiweke humu JF.
 
Tunaenda na jf style

kwa kuwa unaonekana kuwa unayajua sana yanayoendelea kwenye halmashauri huko Mafia unaweza kutuambia madiwani na watumishi wa ardhi wangapi wamejipatia ardhi kweli hiyo listi?

invisible unaweza kuiweka top kama kiambatanishi.....
attachment.php

attachment.php

attachment.php

View attachment 41088

View attachment 41086

View attachment 41083

Kaka unaua

Limbani haonekani!
 
Back
Top Bottom