Dr. Bilal kugombea Urais Tanzania 2015

Dr. Bilal kugombea Urais Tanzania 2015

You too? How about Salim? I think the question is will a Zanzibari be acceptable to the Tanganyikans?

Mwinyi is a good example. Was highly accepted and highly respected apart from being later disliked by Nyerere, who was jealous of Mwinyi's popularity.
 
Unachosema mi nakubaliana na wewe EL kichwa sana na anajua kusoma upepo anaweza kumtanguliza Dr. ili apate upepo wa znz, maana hawa jamaa safari hii nao hawatawasikiliza CCM kama awamu zote mbili rais atoke bara na hii ya tatu tena!!? Haa, kwa hiyo anaweza kumtanguliza halaf EL akabakai pale PM au VP na akaendesha nchi na kufanya maamuzi makubwa.
 
He is too old for the post, I think.

Waulize wale second ladies wawili kabla hujamhukumu mzee wa watu! Pengine, pamoja na kwamba hawezi kuja na new ideas tatizo litakuwa ni mzigo mkubwa kwa walipakodi kutunza two first ladies! am just saying.
Watanganyika tuangalie new ideas badala ya zile zile, wale wale, kule kule, and more ..le ..les
 
Mwinyi is a good example. Was highly accepted and highly respected apart from being later disliked by Nyerere, who was jealous of Mwinyi's popularity.

umekmbia kunijibu....
 
Kuna habari nimezinasa kwa kujulishwa na chanzo changu kuwa Yule Mwenza wa Kikwete Dkt. Mohammed Gharib Bilal atagombea Uraisi wa Tanzania ,huenda nikakubaliana na chanzo hicho kwani siku hizi Bilal amekuwa akionekana sehemu nyingi na karibu anatembelea kila mkoa kiaina na kuhudhuria mambo mengi.

1.jpg

Kwa mara ya kwanza naona kile kitendea kazi chake hana.
 
He is too old for the post, I think.

Sasa hivi ana Miaka 68; lakini hizo MVI NYINGI ni Kichwa… jamaa ana ubongo haswa a NUCLEAR SCIENTIST from BECKLEY - CA… na aliondoka Zanzibar akiwa form 5 na miaka 22; karudi TZ chuo kikuu 1976… kwahiyo alifanya 1,2nd na Ph.D yake

Na tunakuja kuwa na 4 Nuclear Mines… Tunamuhitaji yeye… he´s good...
 
Nakubaliana na wewe hicho ni kichwa, in 2 years atakuwa 70. Not my choice of a President to be though.
 
Nakubaliana na wewe hicho ni kichwa, in 2 years atakuwa 70. Not my choice of a President to be though.
Kwa miaka 70 kuongoza term moja sio vibaya sana kama alivyofanya Mandela. Isitoshe jamaa ni kichwa mahiri hicho, so hapajaharibika kitu. Wakati mwingine ni kheri ya hao wazee kuliko vijana. Again, Dr. Bilal ni bora hata mara 10 million kuliko akina January
 
Mwinyi is a good example. Was highly accepted and highly respected apart from being later disliked by Nyerere, who was jealous of Mwinyi's popularity.
Sijui nisemeje?

Lakini kwa kifupi uko too negative on Nyerere (R.I.P)

Huyo ndie aliemchagua awe mrithi wake na leo unasema alimchukia?

Haya mambo ya udini yanaweza kusababisha mtu aharishe kupitia mdomoni bila kujijua...
 
Mwinyi is a good example. Was highly accepted and highly respected apart from being later disliked by Nyerere, who was jealous of Mwinyi's popularity.

Dr Shein Ndio alie Msafi Haswa
Ndani ya Ccm, hapendi uonevu,ni
mtu mwenue hofu na mungu,
hafanyi biashara, watoto wake ni
wengi na wasio penda makuu,
mkewe ni mama wa kiafri
haswaaa, hana mipasho wala
hachekicheki hovyo,Ana utu, sio
mdini na ni mchapa kazi,..lakini
kwa nini nyie MACCM msimteuwa
mtu huyu, mnakimbilia kwa akina
makamba.....tatizo lipo wapi?
 
tumejifunza kwa mwinyi makubwa sana kuhusu chuki za mzanzibari kwa dini ya kikristo. waislamu wa zanzibar wana dharau sana wakristo na heshima yao ndiyo hiyo ya kuruhusu kutukana yesu miaka kumi. ni bora kuvunja muungano kuliko kumpatia mzanzibari nchi. wasialmu wa bara hawana dharau kama wazanzibari. Hii sasa ni zamu ya mkristo kutawala, awe chadema au ccm.
 
mkuu katiba haijasema rais achaguliwe kutokana na dini yake ama anatoka sehemu gani ktk jamhuri ya muungano wa Tanzania. As long as ni mtanzania na ana sifa zote za kuongoza taifa hili na akalifanyia mema taifa hili ruksaaaaaa.
Ikitokea maraisi wakawa waislamu kwa mfululizo ruksaaa.
Ikitokea marais wakawa wakristo kwa mfululizo ruksaaaa
Ikitokea marais wakatoka visiwani kwa mfululizo ruksaaa.
Ikitokea wakatokea mrima kwa mfululizo ruksaaaaaa
 
Nakubaliana na wewe hicho ni kichwa, in 2 years atakuwa 70. Not my choice of a President to be though.

Lakini, Urais ni Hekima… na kama kweli hizo plants zitaanza kazi zinahitaji uangalizi wa technolojia ya hali ya Juu na yeye ana penda… alipokuwa Mbunge wa EAST AFRICA pale ARUSHA Wamejenga Tanzania Nuclear Atomic Energy Commission; ambayo wanapeleka wanachama wa nchi mbalimbali wanahudhuria The TAEC works for the safe, secure and peaceful uses of nuclear science and technology.

Dr. Bilal kwa kutaka kuwaondolea baadhi ya watu wasiwasi wa Nuclear alishiriki huo Mkutano na hotuba yake ilikuwa nzuri kweli… Ninaitafuta: washiriki wakawa wanashangaa a VP anajua mengi hivyo… wakaambiwa pia part time ni NUCLEAR SCIENTIST acha wacheke…''

Sasa kama Nuclear ndio itayokuwa inatuingizia fedha za kigeni nchini; na sisi na ulafi wetu lazima tuwe na mtu ETHICAL to run that business… sio sisi tunaokimbilia faida na kufunika kwenye matumbo yetu...

Kwahiyo saa nyingine Tactically AGE is not a factor if we need SAFELY..
 
Tanganyikans not existing ! Kuna WaTanzania tu ,napenda ufahamu ya kuwa kila Mzanzibari ni Mtanzania ila kila Mtanzania si Mzanzibari ! Jengine ulijue CCM wakimpitisha wao tu na kumkubali ndani ya genge lao basi ndie huyohuyo
wewe na kura yako si au haina umuhimu ,usifikiri Karume aliposema kura yake na ya mkewe zinatosha kumfikisha Ikulu ,hio ndio CCM ,ukipata green card ya Uraisi basi ujue umeukwaa !

Endelea kuota.
 
Mwinyi is a good example. Was highly accepted and highly respected apart from being later disliked by Nyerere, who was jealous of Mwinyi's popularity.

Mwinyi aliuzwa na Nyerere. Mzanzibari atakuwa na wakati mgumu sana kukubalika bara wakati huu wa vuguvugu la muumgano wa mkataba.
 
Back
Top Bottom