Kwani Mzanzibari gani mlimpa Uraisi wa TANZANIA nitajie mmoja tu ! 100 dolar nitakupa !
mkuu Mzee Mwinyi kwani sio mzanzibar ? au ulimaanisha nini kusema hivyo?
MI MGENI HAPA
Kwani Mzanzibari gani mlimpa Uraisi wa TANZANIA nitajie mmoja tu ! 100 dolar nitakupa !
I thought Dr. Shein can be a good candidate not to forget Salim Ahmed Salim, Dr. Asha Rose.
Mwigulu Nchemba. Kwi kwi kwi teh teh teh!
nakubaliana na wewe...jamaa ajakaa kifisadi hata kido wala hana ukapuya hata kidogo.
Sijasikia kashfa yoyote ya Dr Bilal. Haropoki upuuzi wala mambo yasiokuwa na msingi. Hana biashara ya mipasho. Hana makuu na yuko very humble. It's very easy for someone like him to connect with wananchi especially at the grass root level. Kwa upande wa CCM kama atagombea huyu na akina Migiro, January, Mwigulu, Nyalandu, Nchimbi, etc. ,basi I'd rather nimpigie huyu kura ingawa alitukomesha sana wana-udsm kwenye kunji na mabomu na FFU miaka ile alipokuwa ni katibu mkuu wa wizara ya elimu ya juu pale Jamhuri street.
Kuna habari nimezinasa kwa kujulishwa na chanzo changu kuwa Yule Mwenza wa Kikwete Dkt. Mohammed Gharib Bilal atagombea Uraisi wa Tanzania ,huenda nikakubaliana na chanzo hicho kwani siku hizi Bilal amekuwa akionekana sehemu nyingi na karibu anatembelea kila mkoa kiaina na kuhudhuria mambo mengi.
![]()
ila kiukweli rais anae faa kutokea CCM ni Dr Shein....
Wazanzibar hatuwezi kuwapa urais tena.
Kwani mkuu CDM hakuna mtu mwengine wa kugombea zaidi ya Dr Slaa? Hebu tuleteeni choice nyingine banaa.Dr.shein sawa lakini huyu mhhhh!!! Dr.slaa ni habari tofauti hapa mjini, hakunaga
Mwislam yeyote hana nafasi ya kuwa rais wa Tanzania 2015. Rais ajaye ni LAZIMA awe Mkristo ili aukate mtandao wa Kiislam uliowekwa serikalini na Alhaj Kikwete.
Dr.shein sawa lakini huyu mhhhh!!! Dr.slaa ni habari tofauti hapa mjini, hakunaga
Dr Shein sawa...jamaa anafaa kabisa ila maccm hayawez mpa,
dada vip Lowassa, Membe...au sababu hawatoki zenji au ume waukumu kwa Majina yao....? haya fanani na uya pendayo?
Mwislam yeyote hana nafasi ya kuwa rais wa Tanzania 2015. Labda wakagombee urais wa madrassa!I thought Dr. Shein can be a good candidate not to forget Salim Ahmed Salim, Dr. Asha Rose.
Mwigulu Nchemba. Kwi kwi kwi teh teh teh!
I thought Dr. Shein can be a good candidate not to forget Salim Ahmed Salim, Dr. Asha Rose.
Mwigulu Nchemba. Kwi kwi kwi teh teh teh!
Ajabu ni kua huyu ni mzee kuliko slaa,lakini slaa anaonekana kachoka zaidi ya huyu...
Mbona Mwigulu umemcheka????
Mwislam yeyote hana nafasi ya kuwa rais wa Tanzania 2015. Labda wakagombee urais wa madrassa!
Unamfahamu Robert Mugabe?He is too old for the post, I think.