Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Kuna habari nimezinasa kwa kujulishwa na chanzo changu kuwa Yule Mwenza wa Kikwete Dkt. Mohammed Gharib Bilal atagombea Uraisi wa Tanzania ,huenda nikakubaliana na chanzo hicho kwani siku hizi Bilal amekuwa akionekana sehemu nyingi na karibu anatembelea kila mkoa kiaina na kuhudhuria mambo mengi.